DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Bora CHADEMA wakose kura kuliko kumkosoa Lema Jamaa anapiga marungu ya ugoko kanipiga moja la mshahara wa Mwalimu daah siwezi tembea hapa lakini ukweli unauma na mzuri unaponyaLema anazungumza ukweli mchungu ambao unaweza kukigharimu hata chama chake.
Watanzania wengi ni watu wanaopenda kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa.
Lema anazungumza ukweli mchungu ambao unaweza kukigharimu hata chama chake.
Watanzania wengi ni watu wanaopenda kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa.
mm namuona ni mlalamikaji zaidi sio problems solverLema ana Akili nyingi Sana Kichwani na pia ana Huwezo mzuri wa kuchambua Mambo ya kiasiasa ,kiuchumi,kijamii na kiutamaduni.
Watz Wamefungwa Akili na wanaamini umasikini ni mpango wa Mungu kumbe sio kweli .
Nimeshtushwa alipoongelea Mwalimu kulipwa lakitano na Askari police anayeanza Kazi kulipwa laki nee. Sasa kwa huu mshahara huwezi hata kujenga nyumba Wala kusomesha watoto shule za maana zaidi ya kuendelea kuwa masikini wa kutupwa.
Kiufupi Chadema wamuongezee Lema ulinzi mkali maana huyu ndo nabii mbeba maono tuliyekuwa tunamsubiri mwana wa Adam
Nillikuwa sitaki kupiga kura lakini lazima nipige kura 2025 na ntaajiandikisha Arusha badala ya Bukoba Ahsante Sana Lema.
Tanzania Kila mtu anaakili sana piga hesabu watu wanavyomshangilia Zumaridi,watu wakiona mtu kashika vitu vya ajabu ajabu watakusanyika kumsikiliza.Lema ana Akili nyingi Sana Kichwani na pia ana Huwezo mzuri wa kuchambua Mambo ya kiasiasa ,kiuchumi,kijamii na kiutamaduni.
Watz Wamefungwa Akili na wanaamini umasikini ni mpango wa Mungu kumbe sio kweli .
Nimeshtushwa alipoongelea Mwalimu kulipwa lakitano na Askari police anayeanza Kazi kulipwa laki nee. Sasa kwa huu mshahara huwezi hata kujenga nyumba Wala kusomesha watoto shule za maana zaidi ya kuendelea kuwa masikini wa kutupwa.
Kiufupi Chadema wamuongezee Lema ulinzi mkali maana huyu ndo nabii mbeba maono tuliyekuwa tunamsubiri mwana wa Adam
Nillikuwa sitaki kupiga kura lakini lazima nipige kura 2025 na ntaajiandikisha Arusha badala ya Bukoba Ahsante Sana Lema.
Wewe na huyo Lema wako wote viraza tuLema ana Akili nyingi Sana Kichwani na pia ana Huwezo mzuri wa kuchambua Mambo ya kiasiasa ,kiuchumi,kijamii na kiutamaduni.
Watz Wamefungwa Akili na wanaamini umasikini ni mpango wa Mungu kumbe sio kweli .
Nimeshtushwa alipoongelea Mwalimu kulipwa lakitano na Askari police anayeanza Kazi kulipwa laki nee. Sasa kwa huu mshahara huwezi hata kujenga nyumba Wala kusomesha watoto shule za maana zaidi ya kuendelea kuwa masikini wa kutupwa.
Kiufupi Chadema wamuongezee Lema ulinzi mkali maana huyu ndo nabii mbeba maono tuliyekuwa tunamsubiri mwana wa Adam
Nillikuwa sitaki kupiga kura lakini lazima nipige kura 2025 na ntaajiandikisha Arusha badala ya Bukoba Ahsante Sana Lema.
Milioni 12 wanazolipwa mjengoni ni ndogo saana ni sawa na malipo ya jobless us. Haaaa haaaa. Chezea reshuuu za kanada weweIpi ni uongo hapo? Ungeweka mtiririko wa hiyo mijadala iliyozaa hizi nukuu zako ili tupime alifikiaje hitimisho hilo.
Ni nyingi kama kipimo chake ni dhidi ya watu masikini, lakini sio nyingi kwa mantiki ya kuwa tajiri.Milioni 12 wanazolipwa mjengoni ni ndogo saana ni sawa na malipo ya jobless us. Haaaa haaaa. Chezea reshuuu za kanada wewe
Yupo vizuri kwenye kuosha vyombo na kubeba box huko Canada. Inaonekana mabeberu walikuwa wanamlea vizuri, arudi tu huko, maana kila siku anaingea upuuzi.
Lema kaongea point sana. Bwawa la umeme kwa nyakati za sasa kwa nchi kama Tanzania ni upotevu wa pesa.
Anza na namba kumi na 11 kwanza kwa maana hayo mengine yametokana na elimu yake ndogo saaanaIpi ni uongo hapo? Ungeweka mtiririko wa hiyo mijadala iliyozaa hizi nukuu zako ili tupime alifikiaje hitimisho hilo.