DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Lema ana akili nyingi Sana Kichwani na pia ana Huwezo mzuri wa kuchambua Mambo ya kiasiasa, kiuchumi, kijamii na kiutamaduni.
Watz Wamefungwa akili na wanaamini umasikini ni mpango wa Mungu kumbe sio kweli.
Nimeshtushwa alipoongelea Mwalimu kulipwa lakitano na Askari police anayeanza Kazi kulipwa laki nee. Sasa kwa huu mshahara huwezi hata kujenga nyumba Wala kusomesha watoto shule za maana zaidi ya kuendelea kuwa masikini wa kutupwa.
Kiufupi Chadema wamuongezee Lema ulinzi mkali maana huyu ndo nabii mbeba maono tuliyekuwa tunamsubiri mwana wa Adam.
Nillikuwa sitaki kupiga kura lakini lazima nipige kura 2025 na ntaajiandikisha Arusha badala ya Bukoba Ahsante Sana Lema.