Uchaguzi 2020 Nimemsikiliza sana bwana Lissu nikaelewa yafuatayo

Kwa mtu anaekusudia kukiondoa madarakani chama kinachotawala huna budi kufanya homework yako vizuri ili uyaongelee mambo ya wananchi ambayo serikali iliyopo madarakani aidha iliyatelekeza au haijafanya vizuri.

Cha ajabu namuona huyu mheshimiwa amelipa uzito Mkubwa Sana suala la yeye kupigwa risasi, kufuta vitambulisho vya machinga, kuwatoa mashekh wa uamsho, kuzungumzia mambo ya korona akisisitiza mambo ya barakoa huku yeye mwenyewe akiwa hajavaa na kuwakusanya vijana kwa maelfu bila kuzingatia tahadhari yoyote nk kwa maoni yangu hizi hoja zitampuguzia kura.

Nashauri ajikite kutibumakovu yaliyoko kwenye mioyo ya watanzania walio wengi ambayo yamekua kero sugu na ccm haionyeshi Kama Ina iwezo wa kuyatibu Kama vile ukosefu wa ajira, maonezi na unyanyasaji wa Viongozi wa serikali hasa wateule kwa watumishi wa umma, ukosefu wa soko la mazao ya kilimo, serikali kushindwa kuwekeza kwenye sekta zinazoajiri watu wengi Kama vile kilimo,uvuvi,ufugaji na changamoto zilizoko kwenye sekta mbalimbali.

Very wise post, huju jamaa Risasi ndo sera yake kuu. Kina JFK na Martin LK waliuwawa woiiiiiii
 
Nadhani unajifunza kuandika uzi'thread' hayo yote alisha yaongelea, sindano za moto zinakuja wakati wa kampeni
 
Kwa mtu anaekusudia kukiondoa madarakani chama kinachotawala huna budi kufanya homework yako vizuri ili uyaongelee mambo ya wananchi ambayo serikali iliyopo madarakani aidha iliyatelekeza au haijafanya vizuri.

Cha ajabu namuona huyu mheshimiwa amelipa uzito Mkubwa Sana suala la yeye kupigwa risasi, kufuta vitambulisho vya machinga, kuwatoa mashekh wa uamsho, kuzungumzia mambo ya korona akisisitiza mambo ya barakoa huku yeye mwenyewe akiwa hajavaa na kuwakusanya vijana kwa maelfu bila kuzingatia tahadhari yoyote nk kwa maoni yangu hizi hoja zitampuguzia kura.

Nashauri ajikite kutibumakovu yaliyoko kwenye mioyo ya watanzania walio wengi ambayo yamekua kero sugu na ccm haionyeshi Kama Ina iwezo wa kuyatibu Kama vile ukosefu wa ajira, maonezi na unyanyasaji wa Viongozi wa serikali hasa wateule kwa watumishi wa umma, ukosefu wa soko la mazao ya kilimo, serikali kushindwa kuwekeza kwenye sekta zinazoajiri watu wengi Kama vile kilimo,uvuvi,ufugaji na changamoto zilizoko kwenye sekta mbalimbali.
Huo ndio uwezo wake ulipofikia hata ukimshauri sidhani kama atabadilika.
 
Hujamwelewa hata kidogo..... Lissu ana akili nyingi anahitaji wenye akili timamu kumwelewa.... (Kusoma sio kua na akili)

Endelea kumsikiliza zaidi utamwelewa tu akiamza kampeni
Kama unamuona ana akili nyingi basi wewe akili yako haina akili kabisa.
 
Kwa mtu anaekusudia kukiondoa madarakani chama kinachotawala huna budi kufanya homework yako vizuri ili uyaongelee mambo ya wananchi ambayo serikali iliyopo madarakani aidha iliyatelekeza au haijafanya vizuri.

Cha ajabu namuona huyu mheshimiwa amelipa uzito mkubwa sana suala la yeye kupigwa risasi, kufuta vitambulisho vya machinga, kuwatoa mashekh wa uamsho, kuzungumzia mambo ya korona akisisitiza mambo ya barakoa huku yeye mwenyewe akiwa hajavaa na kuwakusanya vijana kwa maelfu bila kuzingatia tahadhari yoyote nk kwa maoni yangu hizi hoja zitampuguzia kura.

Nashauri ajikite kutibumakovu yaliyoko kwenye mioyo ya watanzania walio wengi ambayo yamekua kero sugu na ccm haionyeshi Kama Ina iwezo wa kuyatibu Kama vile ukosefu wa ajira, maonezi na unyanyasaji wa Viongozi wa Serikali hasa wateule kwa watumishi wa umma, ukosefu wa soko la mazao ya kilimo, Serikali kushindwa kuwekeza kwenye sekta zinazoajiri watu wengi Kama vile kilimo,uvuvi,ufugaji na changamoto zilizoko kwenye sekta mbalimbali.

Kwani kampeni zimeshaanza Mkuu hadi aseme atakayowafanyia wananchi si zipo siku 60 kwa kazi hiyo hata ilani yao haijazinduliwa kuwa na subira mambo mazuri hayataki haraka
 
Kwa mtu anaekusudia kukiondoa madarakani chama kinachotawala huna budi kufanya homework yako vizuri ili uyaongelee mambo ya wananchi ambayo serikali iliyopo madarakani aidha iliyatelekeza au haijafanya vizuri.

Cha ajabu namuona huyu mheshimiwa amelipa uzito mkubwa sana suala la yeye kupigwa risasi, kufuta vitambulisho vya machinga, kuwatoa mashekh wa uamsho, kuzungumzia mambo ya korona akisisitiza mambo ya barakoa huku yeye mwenyewe akiwa hajavaa na kuwakusanya vijana kwa maelfu bila kuzingatia tahadhari yoyote nk kwa maoni yangu hizi hoja zitampuguzia kura.

Nashauri ajikite kutibumakovu yaliyoko kwenye mioyo ya watanzania walio wengi ambayo yamekua kero sugu na ccm haionyeshi Kama Ina iwezo wa kuyatibu Kama vile ukosefu wa ajira, maonezi na unyanyasaji wa Viongozi wa Serikali hasa wateule kwa watumishi wa umma, ukosefu wa soko la mazao ya kilimo, Serikali kushindwa kuwekeza kwenye sekta zinazoajiri watu wengi Kama vile kilimo,uvuvi,ufugaji na changamoto zilizoko kwenye sekta mbalimbali.
Mimi nimeichoka sana CCM
 
Kampeni hajijaanza subiria kampeni zianze ndipo utasikia mengi hayo machache yaltumika huko tu
 
Lisu has personal mission aliyotumwa, vendetta, has nothing to lose, mustakhabali wa nchi hii yeye hana mpango nao. Ye afanikishe mission yake maisha ya watanzania alipotuacha mpka alipotukuta, lakini jamaa hana habari na hiyo hata huko jimboni kwake, anajizungumzia yeye tuu.
 
Kwa mtu anaekusudia kukiondoa madarakani chama kinachotawala huna budi kufanya homework yako vizuri ili uyaongelee mambo ya wananchi ambayo serikali iliyopo madarakani aidha iliyatelekeza au haijafanya vizuri.

Cha ajabu namuona huyu mheshimiwa amelipa uzito mkubwa sana suala la yeye kupigwa risasi, kufuta vitambulisho vya machinga, kuwatoa mashekh wa uamsho, kuzungumzia mambo ya korona akisisitiza mambo ya barakoa huku yeye mwenyewe akiwa hajavaa na kuwakusanya vijana kwa maelfu bila kuzingatia tahadhari yoyote nk kwa maoni yangu hizi hoja zitampuguzia kura.

Nashauri ajikite kutibumakovu yaliyoko kwenye mioyo ya watanzania walio wengi ambayo yamekua kero sugu na ccm haionyeshi Kama Ina iwezo wa kuyatibu Kama vile ukosefu wa ajira, maonezi na unyanyasaji wa Viongozi wa Serikali hasa wateule kwa watumishi wa umma, ukosefu wa soko la mazao ya kilimo, Serikali kushindwa kuwekeza kwenye sekta zinazoajiri watu wengi Kama vile kilimo,uvuvi,ufugaji na changamoto zilizoko kwenye sekta mbalimbali.
Mleta Mada swali kwako

Hivi kampeni imeshaanza?
Maendeleo hayana vyama
 
Kampeni Bado,sasa ivi anatafuta wadhamin..hayo yote ata kuja kuyaongea kwenye kampeni ,ila kwa mimi ata asipoongea chochote cha maana kura yangu anayo..Lissu ni rais wangu Wa miaka 5 ijayo
 
Umeona ameongelea jambo hilo kwenye Mkutano wa Nini?

Je Kampeni imeanza mpaka azungumze mambo hayo?

Unadhani wewe unamzidi Lisu akili mpaka ashindwe kujua jambo dogo kama hilo unalolizungumzia ambalo hata asiyesoma anaweza kulifahamu?
Mtukufu tokea 2016 anafanya kampeni hugawa pesa na juzi akiwa Rufiji alinunua jogoo kwa tshs laki moja na kumpa mama yake mzazi mchumba
 
Hiyo ID yenyewe umeikosea.
Philosopher siyo phylosopher
 
Back
Top Bottom