Uchaguzi 2020 Nimemsikiliza sana bwana Lissu nikaelewa yafuatayo

Kwa mtu anaekusudia kukiondoa madarakani chama kinachotawala huna budi kufanya homework yako vizuri ili uyaongelee mambo ya wananchi ambayo serikali iliyopo madarakani aidha iliyatelekeza au haijafanya vizuri.

Cha ajabu namuona huyu mheshimiwa amelipa uzito mkubwa sana suala la yeye kupigwa risasi, kufuta vitambulisho vya machinga, kuwatoa mashekh wa uamsho, kuzungumzia mambo ya korona akisisitiza mambo ya barakoa huku yeye mwenyewe akiwa hajavaa na kuwakusanya vijana kwa maelfu bila kuzingatia tahadhari yoyote nk kwa maoni yangu hizi hoja zitampuguzia kura.

Nashauri ajikite kutibumakovu yaliyoko kwenye mioyo ya watanzania walio wengi ambayo yamekua kero sugu na ccm haionyeshi Kama Ina iwezo wa kuyatibu Kama vile ukosefu wa ajira, maonezi na unyanyasaji wa Viongozi wa Serikali hasa wateule kwa watumishi wa umma, ukosefu wa soko la mazao ya kilimo, Serikali kushindwa kuwekeza kwenye sekta zinazoajiri watu wengi Kama vile kilimo,uvuvi,ufugaji na changamoto zilizoko kwenye sekta mbalimbali.
Kwani kampeni zimeanza?
 
Ulichoshindwa kung'amua wakati wa kampeni bado. Ngoja ziruhusiwe ndipo ataanza kuongea maswala mazito yanayoikabili nchi yetu na mustakabari wake.
Usidhani hajui anachokifanya.....
 
Kwa mtu anaekusudia kukiondoa madarakani chama kinachotawala huna budi kufanya homework yako vizuri ili uyaongelee mambo ya wananchi ambayo serikali iliyopo madarakani aidha iliyatelekeza au haijafanya vizuri.

Cha ajabu namuona huyu mheshimiwa amelipa uzito mkubwa sana suala la yeye kupigwa risasi, kufuta vitambulisho vya machinga, kuwatoa mashekh wa uamsho, kuzungumzia mambo ya korona akisisitiza mambo ya barakoa huku yeye mwenyewe akiwa hajavaa na kuwakusanya vijana kwa maelfu bila kuzingatia tahadhari yoyote nk kwa maoni yangu hizi hoja zitampuguzia kura.

Nashauri ajikite kutibumakovu yaliyoko kwenye mioyo ya watanzania walio wengi ambayo yamekua kero sugu na ccm haionyeshi Kama Ina iwezo wa kuyatibu Kama vile ukosefu wa ajira, maonezi na unyanyasaji wa Viongozi wa Serikali hasa wateule kwa watumishi wa umma, ukosefu wa soko la mazao ya kilimo, Serikali kushindwa kuwekeza kwenye sekta zinazoajiri watu wengi Kama vile kilimo,uvuvi,ufugaji na changamoto zilizoko kwenye sekta mbalimbali.
kwani kampeni zimeanza ndugu?

mwacheni mtu wa watu apitishe kwanza tingatinga kusawazisha barabara (shobo za MATAGA za miaka 5 mizima) kabla hajamwaga zege la lami (ilani & sera).

tulieni.
 
Kwa mtu anaekusudia kukiondoa madarakani chama kinachotawala huna budi kufanya homework yako vizuri ili uyaongelee mambo ya wananchi ambayo serikali iliyopo madarakani aidha iliyatelekeza au haijafanya vizuri.

Cha ajabu namuona huyu mheshimiwa amelipa uzito mkubwa sana suala la yeye kupigwa risasi, kufuta vitambulisho vya machinga, kuwatoa mashekh wa uamsho, kuzungumzia mambo ya korona akisisitiza mambo ya barakoa huku yeye mwenyewe akiwa hajavaa na kuwakusanya vijana kwa maelfu bila kuzingatia tahadhari yoyote nk kwa maoni yangu hizi hoja zitampuguzia kura.

Nashauri ajikite kutibumakovu yaliyoko kwenye mioyo ya watanzania walio wengi ambayo yamekua kero sugu na ccm haionyeshi Kama Ina iwezo wa kuyatibu Kama vile ukosefu wa ajira, maonezi na unyanyasaji wa Viongozi wa Serikali hasa wateule kwa watumishi wa umma, ukosefu wa soko la mazao ya kilimo, Serikali kushindwa kuwekeza kwenye sekta zinazoajiri watu wengi Kama vile kilimo,uvuvi,ufugaji na changamoto zilizoko kwenye sekta mbalimbali.
Bado kampeni hazijaanza mnaanza kumjaji Lissu? Hapo sasa amekuwa tu akitafuta udhamini mikoani na kuwajulisha wananchi yaliyomsibu kwa maneno yake mwenyewe na siyo vyombo vya habari. Sera ni za chama na mtazisikia kampeni zikianza.
 
Unfortunately, I am not prepared to cast my ballot.

I do not believe in politicians but I believe in social change
How would that social change come, by itself? Good politicians can assist in realizing social change, of course with the support from the citizens. Please take part in politics including participating in elections to avoid blaming politicians for whatever they are doing.
 
I blame no politician because their ability is limited as such.

Society is where politicians originate so the change of society change everything politicians included.

Society change can change politicians but politicians cannot change the society
 
Politicians can change societies easier than societies can to politicians. Magu has in this short time pooled the Tanzania society to one of hypocrisy and disregard for human rights. It is obvious how Mwalimu Nyerere shaped Tanzanians living a life long effect which sharply segregates Kenyans from Tanzanians, it was only one person, Nyerere. Be careful with whom you take to the State's House, they have lasting impact on the nation's character and ideology.
 
I don't credit yourou idea as it is elementarily political as opposed to social change the view I am subscribed to.
 
Watanzania tutakwenda na Magufuli!! Pole Lisu Kwa makovu ya risasi. Tunakupa pole lakini urais tunampa Magufuli!
 
Kwa mtu anaekusudia kukiondoa madarakani chama kinachotawala huna budi kufanya homework yako vizuri ili uyaongelee mambo ya wananchi ambayo serikali iliyopo madarakani aidha iliyatelekeza au haijafanya vizuri.

Cha ajabu namuona huyu mheshimiwa amelipa uzito mkubwa sana suala la yeye kupigwa risasi, kufuta vitambulisho vya machinga, kuwatoa mashekh wa uamsho, kuzungumzia mambo ya korona akisisitiza mambo ya barakoa huku yeye mwenyewe akiwa hajavaa na kuwakusanya vijana kwa maelfu bila kuzingatia tahadhari yoyote nk kwa maoni yangu hizi hoja zitampuguzia kura.

Nashauri ajikite kutibumakovu yaliyoko kwenye mioyo ya watanzania walio wengi ambayo yamekua kero sugu na ccm haionyeshi Kama Ina iwezo wa kuyatibu Kama vile ukosefu wa ajira, maonezi na unyanyasaji wa Viongozi wa Serikali hasa wateule kwa watumishi wa umma, ukosefu wa soko la mazao ya kilimo, Serikali kushindwa kuwekeza kwenye sekta zinazoajiri watu wengi Kama vile kilimo,uvuvi,ufugaji na changamoto zilizoko kwenye sekta mbalimbali.

Yeye ndiye mgombea na anjua kwa nini ataje hayo mambo. Sasa kama yanapotajwa yana waumiza , basi vumilieni tu.
Hizo sababu ulizozitaja mwambie mgombea wako akazinadi.

Nashindwa kuelewa kwa nini massmhayataki kabisa kusikia Lissu akitajwa kushambuliwa kwake na serikali kushindwa kuwaeleza watanzania ni nani aliyehusika na hilo shambulizi.
 
I don't credit yourou idea as it is elementarily political as opposed to social change the view I am subscribed to.
I understand your theory and where you've picked it. Societies, yes bring about their own change, but don't forget politicians are part of the society.
 
Back
Top Bottom