Uchaguzi 2020 Nimemsikiliza sana bwana Lissu nikaelewa yafuatayo

Wambieni Lissu watumishi miaka 5 hakuna ongezeko,kupanda madaraja(walimu), kulipwa malimbikizo na madai yao etc.
 
I understand your theory and where you've picked it. Societies, yes bring about their own change, but don't forget politicians are part of the society.

If politicians are part of the society then the change of society can change politicians.

It is unproductive to change politicians while the society they come from is static
 
Sijui kama amekuelewa ulichoanindika mkuu. Hana akili ya inzi Kula kinyesi. Big up sana.hapa mpaka ajue H
 
Kwa mtu anaekusudia kukiondoa madarakani chama kinachotawala huna budi kufanya homework yako vizuri ili uyaongelee mambo ya wananchi ambayo serikali iliyopo madarakani aidha iliyatelekeza au haijafanya vizuri.

Cha ajabu namuona huyu mheshimiwa amelipa uzito mkubwa sana suala la yeye kupigwa risasi, kufuta vitambulisho vya machinga, kuwatoa mashekh wa uamsho, kuzungumzia mambo ya korona akisisitiza mambo ya barakoa huku yeye mwenyewe akiwa hajavaa na kuwakusanya vijana kwa maelfu bila kuzingatia tahadhari yoyote nk kwa maoni yangu hizi hoja zitampuguzia kura.

Nashauri ajikite kutibumakovu yaliyoko kwenye mioyo ya watanzania walio wengi ambayo yamekua kero sugu na ccm haionyeshi Kama Ina iwezo wa kuyatibu Kama vile ukosefu wa ajira, maonezi na unyanyasaji wa Viongozi wa Serikali hasa wateule kwa watumishi wa umma, ukosefu wa soko la mazao ya kilimo, Serikali kushindwa kuwekeza kwenye sekta zinazoajiri watu wengi Kama vile kilimo,uvuvi,ufugaji na changamoto zilizoko kwenye sekta mbalimbali.

Kampeni rasmi bado hazijaanza hakuna asiyejua, Lakini kitu chengine unachopaswa kujifunza ni kwamba Kampeni ya kumuondoa mtu madarakani ulimwengu mzima ni teknik tu ukihisi jambo hili litamuangusha mpinzani wako inabidi ulishikilie kwa nguvu zote. Angalia siasa za kule Marekani, Ujerumani, Uingereza nk.

Kwamfano Trump alijaribu kulitumia jeshi la marekani kwa Ukraine kwa mambo yake binafsi, hii ilitosha kwa wakati ule kuonekana ni jambo la kumuondoa madarakani na ili trend sana marekani kipindi kile mpaka bunge la marekani likapiga kura la kumu-impich rais Trump. Hii ni teknik tu hapo hakuna soko la kilimo wala barabara wala bei za vya kula wala chochote, ni mtaji walitaka kuutumia wapinzani wake.

Sasa Lissu naye kama ameona hili jambo la yeye kupigwa risasi kinyama litawashawishi watanzania kwa yaliyomkuta kwanini asizidi kupaza sauti??? Maendeleo ni kitu chengine akipewa urais atatafuta namna ya kuiongoza nchi. Watu weupe huwa wana msemo wao wanasemaga "New Broom sweeps clean" nadhan watu wanahitaji mabadiliko sasaivi ni miaka 50 na kadhaa bado hali ni duni sana umasikini umetaradadi kila kona. bado kuna gape kubwa kati ya walionacho na waliokuwa hawana.
 
Ni kama vile umepiga risasi alafu unashangaa kaponaje na risasi inauwa siyo?. Ndipo pale wenye akili wanakiri kuwa YUPO MUNGU ALIYEMUOKOA NA WAUWAJI. ATUKUZWE MUNGU JUU MBINGUNI
 
Kwa mtu anaekusudia kukiondoa madarakani chama kinachotawala huna budi kufanya homework yako vizuri ili uyaongelee mambo ya wananchi ambayo serikali iliyopo madarakani aidha iliyatelekeza au haijafanya vizuri.

Cha ajabu namuona huyu mheshimiwa amelipa uzito mkubwa sana suala la yeye kupigwa risasi, kufuta vitambulisho vya machinga, kuwatoa mashekh wa uamsho, kuzungumzia mambo ya korona akisisitiza mambo ya barakoa huku yeye mwenyewe akiwa hajavaa na kuwakusanya vijana kwa maelfu bila kuzingatia tahadhari yoyote nk kwa maoni yangu hizi hoja zitampuguzia kura.

Nashauri ajikite kutibumakovu yaliyoko kwenye mioyo ya watanzania walio wengi ambayo yamekua kero sugu na ccm haionyeshi Kama Ina iwezo wa kuyatibu Kama vile ukosefu wa ajira, maonezi na unyanyasaji wa Viongozi wa Serikali hasa wateule kwa watumishi wa umma, ukosefu wa soko la mazao ya kilimo, Serikali kushindwa kuwekeza kwenye sekta zinazoajiri watu wengi Kama vile kilimo,uvuvi,ufugaji na changamoto zilizoko kwenye sekta mbalimbali.
Wanasiasa ni watu fulani wapuuzi sana...

Si wa kuamini kabisa. Wanatuzingua tu.
 
Kama unamuona ana akili nyingi basi wewe akili yako haina akili kabisa.
Hata mafarisayo walikua hawamwelewi kabisa Yesu Kristo... .... Ww farisayo la ccm Kamwe huwezi kumwelewa Lissu maana ww ni mlamba makalio wa lumumba ili upate cheao
 
Kwa mtu anaekusudia kukiondoa madarakani chama kinachotawala huna budi kufanya homework yako vizuri ili uyaongelee mambo ya wananchi ambayo serikali iliyopo madarakani aidha iliyatelekeza au haijafanya vizuri.

Cha ajabu namuona huyu mheshimiwa amelipa uzito mkubwa sana suala la yeye kupigwa risasi, kufuta vitambulisho vya machinga, kuwatoa mashekh wa uamsho, kuzungumzia mambo ya korona akisisitiza mambo ya barakoa huku yeye mwenyewe akiwa hajavaa na kuwakusanya vijana kwa maelfu bila kuzingatia tahadhari yoyote nk kwa maoni yangu hizi hoja zitampuguzia kura.

Nashauri ajikite kutibumakovu yaliyoko kwenye mioyo ya watanzania walio wengi ambayo yamekua kero sugu na ccm haionyeshi Kama Ina iwezo wa kuyatibu Kama vile ukosefu wa ajira, maonezi na unyanyasaji wa Viongozi wa Serikali hasa wateule kwa watumishi wa umma, ukosefu wa soko la mazao ya kilimo, Serikali kushindwa kuwekeza kwenye sekta zinazoajiri watu wengi Kama vile kilimo, uvuvi, ufugaji na changamoto zilizoko kwenye sekta mbalimbali.
🖕
 
Hata mafarisayo walikua hawamwelewi kabisa Yesu Kristo... .... Ww farisayo la ccm Kamwe huwezi kumwelewa Lissu maana ww ni mlamba makalio wa lumumba ili upate cheao
Wewe ndiyo mburura kabisa yaani unamuona Lissu kama jembe lako ama kweli dunia haiishi vituko. Lissu hana ubora wowote ukilinganisha na wanasheria wengi makini. Kaangalie kesi zake zote kama wakili utaona kesi alizoshinda ni chache kuliko alozoshindwa.
 
We nguchiro weka hapa idadi ya kesi alizoshinda na alizoshindwa ucwe zumbukuku
Wewe ndiyo mburura kabisa yaani unamuona Lissu kama jembe lako ama kweli dunia haiishi vituko. Lissu hana ubora wowote ukilinganisha na wanasheria wengi makini. Kaangalie kesi zake zote kama wakili utaona kesi alizoshinda ni chache kuliko alozoshindwa.
 
Umeona ameongelea jambo hilo kwenye Mkutano wa Nini?

Je Kampeni imeanza mpaka azungumze mambo hayo?

Unadhani wewe unamzidi Lisu akili mpaka ashindwe kujua jambo dogo kama hilo unalolizungumzia ambalo hata asiyesoma anaweza kulifahamu?
nimeyawaza yote hayo,Nilitaka kuandika kama ulichoandika .
Jamaa hajui kama kampeni hazijaanza
 
Back
Top Bottom