Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Umepunguza mapato ya kanisaWanamtembelea kwani yeye ni Mhitaji? Shenzi kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umepunguza mapato ya kanisaWanamtembelea kwani yeye ni Mhitaji? Shenzi kabisa
Ukitaka kuishi na mke kwa utulivu treat her like a piece of shiiit.Wengine wanawatupia majini nakuambia.
Huwezi jiombea mwenyewe?Kuna siku utawatafuta mwenyewe ili wakuombee, wao wamekunguta mavumbi mzigo umebaki kwako
Kama ni mkristo na umefunzwa maandiko utajua kwanini wakina Elia/Elisha/Yeremia/Daniel na wengine weengi walifanya miujiza na wengine hawakufanyaHuwezi jiombea mwenyewe?
Mungu wako hajibu majibu yako mpaka uombewe na mwengine?
#YNWA
yesu amekuja ndani mwako na umemkataaMughonile!
Nilimuoa Mke wangu miaka 9 iliyopita. Kwa sasa tunawatoto wawili.
Mke wangu alikuwa amebobea kwenye Makanisa haya ya upako.
Baada ya kukubaliana na vigezo vyangu, ambacho kimoja wapo nilimuarisha aachane na manabii wa upako, akakubali.
Ndipo nilipomuoa Kwa ndoa takatifu ya kikristo.
Ni miaka 9 sasa imepita, juzi Yule Nabii na waumini wengine walikuja kumtembelea Mke wangu.
Tuliwapokea vizuri wakapiga Stori zao.
Tatizo wakataka waanze kuomba na kabla ya kuomba waimbe mapambio Yao.
Kwa kweli niliwazuia, niliwaambia tuheshimiane.
Kelele nyumbani kwangu ni mwiko na ndio maana ninaishi sehemu yenye makazi tulivu.
Tukazozana, nikawafukuza!
Mke wangu ananiambia ninaroho ngumu,
Nikamjibu sio roho ngumu tuu Bali roho mbaya kabisa.
Nimewapiga marufuku kuja kwenye nyumba yangu kujifanya wanajifanya wanaombea ombea watu. Nani anashida na kuombewa hapa!
Nimewaambia wakija waje Kwa inshu nyingine.
Pumbavu!
Yesu au nabii wa michongoyesu amekuja ndani mwako na umemkataa