Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulikosea mkuu.Ungewaacha wakuombee hata maji ya kunywa.Mughonile!
Nilimuoa Mke wangu miaka 9 iliyopita. Kwa sasa tunawatoto wawili.
Mke wangu alikuwa amebobea kwenye Makanisa haya ya upako.
Baada ya kukubaliana na vigezo vyangu, ambacho kimoja wapo nilimuarisha aachane na manabii wa upako, akakubali.
Ndipo nilipomuoa Kwa ndoa takatifu ya kikristo.
Ni miaka 9 sasa imepita, juzi Yule Nabii na waumini wengine walikuja kumtembelea Mke wangu. Tuliwapokea vizuri wakapiga Stori zao.
Tatizo wakataka waanze kuomba na kabla ya kuomba waimbe mapambio Yao. Kwa kweli niliwazuia, niliwaambia tuheshimiane. Kelele nyumbani kwangu ni mwiko na ndio maana ninaishi sehemu yenye makazi tulivu.
Tukazozana, nikawafukuza! Mke wangu ananiambia ninaroho ngumu,
Nikamjibu sio roho ngumu tuu Bali roho mbaya kabisa.
Nimewapiga marufuku kuja kwenye nyumba yangu kujifanya wanajifanya wanaombea ombea watu. Nani anashida na kuombewa hapa!
Nimewaambia wakija waje Kwa inshu nyingine.
Pumbavu!
ShwainiMughonile!

Kuna mhuni humu JF kaahidi kumla mke wangu. Naona ndio huyu mpuuzi
Kina kurasa ngapi?Yoyote anayekuja kwangu anapewa kitabu cha muongozo cha familia yangu jinsi anavyopaswa kuenenda
Mkuu nakupa hongera Sana ,Hawa manabii na walokole ni wanatiki Sana, , wakija tena piga vibokoMughonile!
Nilimuoa Mke wangu miaka 9 iliyopita. Kwa sasa tunawatoto wawili.
Mke wangu alikuwa amebobea kwenye Makanisa haya ya upako.
Baada ya kukubaliana na vigezo vyangu, ambacho kimoja wapo nilimuarisha aachane na manabii wa upako, akakubali.
Ndipo nilipomuoa Kwa ndoa takatifu ya kikristo.
Ni miaka 9 sasa imepita, juzi Yule Nabii na waumini wengine walikuja kumtembelea Mke wangu. Tuliwapokea vizuri wakapiga Stori zao.
Tatizo wakataka waanze kuomba na kabla ya kuomba waimbe mapambio Yao. Kwa kweli niliwazuia, niliwaambia tuheshimiane. Kelele nyumbani kwangu ni mwiko na ndio maana ninaishi sehemu yenye makazi tulivu.
Tukazozana, nikawafukuza! Mke wangu ananiambia ninaroho ngumu,
Nikamjibu sio roho ngumu tuu Bali roho mbaya kabisa.
Nimewapiga marufuku kuja kwenye nyumba yangu kujifanya wanajifanya wanaombea ombea watu. Nani anashida na kuombewa hapa!
Nimewaambia wakija waje Kwa inshu nyingine.
Pumbavu!
Na viwango vyao vya ulaji huwa ni vikubwa sana hata kumsahau Mume kabisaa na kujifanya upako umekolea kumbe ni upakaKuna mhuni humu JF kaahidi kumla mke wangu. Naona ndio huyu mpuuzi
[emoji2][emoji2][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji28][emoji28]Wewe jamaa hutofautiani na mimi..wifu kwao waniwaamini manabii..yani makanisa yote ya manabii hapa dsm mamkwe hakuna ambalo hajawahi fika..kuanzia enzi za kakobe mpaka leo kwa akina mwamposa.
Sasa juzi kati wife alienda kwao kumsalimu..sijui walimpa maelekezo gani akaja na maji ya mwaposa na mafuta..
Asee..nilimwambia achague moja nani abaki ndani kwangu kati ya hayo mafuta na maji ama yeye..
Nadhani alinielewa kesho yake sijayakuta..ila alimindi sana..potelea pote...sipendagi ujinga.
#MaendeleoHayanaChama
🤣🤣🤣 Umekata mazoea.Mughonile!
Nilimuoa Mke wangu miaka 9 iliyopita. Kwa sasa tunawatoto wawili.
Mke wangu alikuwa amebobea kwenye Makanisa haya ya upako.
Baada ya kukubaliana na vigezo vyangu, ambacho kimoja wapo nilimuarisha aachane na manabii wa upako, akakubali.
Ndipo nilipomuoa Kwa ndoa takatifu ya kikristo.
Ni miaka 9 sasa imepita, juzi Yule Nabii na waumini wengine walikuja kumtembelea Mke wangu. Tuliwapokea vizuri wakapiga Stori zao.
Tatizo wakataka waanze kuomba na kabla ya kuomba waimbe mapambio Yao. Kwa kweli niliwazuia, niliwaambia tuheshimiane. Kelele nyumbani kwangu ni mwiko na ndio maana ninaishi sehemu yenye makazi tulivu.
Tukazozana, nikawafukuza! Mke wangu ananiambia ninaroho ngumu,
Nikamjibu sio roho ngumu tuu Bali roho mbaya kabisa.
Nimewapiga marufuku kuja kwenye nyumba yangu kujifanya wanajifanya wanaombea ombea watu. Nani anashida na kuombewa hapa!
Nimewaambia wakija waje Kwa inshu nyingine.
Pumbavu!
Unaona sifa mwenyew, yaani unajiona mwamba, hahahah ipo utawatafuta hao wakat huo utazitamani hizo kelele na mapambio yao, kwani ungewacha wakafanya ibada wakaondoka ungepungukiwa nini?Mughonile!
Nilimuoa Mke wangu miaka 9 iliyopita. Kwa sasa tunawatoto wawili.
Mke wangu alikuwa amebobea kwenye Makanisa haya ya upako.
Baada ya kukubaliana na vigezo vyangu, ambacho kimoja wapo nilimuarisha aachane na manabii wa upako, akakubali.
Ndipo nilipomuoa Kwa ndoa takatifu ya kikristo.
Ni miaka 9 sasa imepita, juzi Yule Nabii na waumini wengine walikuja kumtembelea Mke wangu. Tuliwapokea vizuri wakapiga Stori zao.
Tatizo wakataka waanze kuomba na kabla ya kuomba waimbe mapambio Yao. Kwa kweli niliwazuia, niliwaambia tuheshimiane. Kelele nyumbani kwangu ni mwiko na ndio maana ninaishi sehemu yenye makazi tulivu.
Tukazozana, nikawafukuza! Mke wangu ananiambia ninaroho ngumu,
Nikamjibu sio roho ngumu tuu Bali roho mbaya kabisa.
Nimewapiga marufuku kuja kwenye nyumba yangu kujifanya wanajifanya wanaombea ombea watu. Nani anashida na kuombewa hapa!
Nimewaambia wakija waje Kwa inshu nyingine.
Pumbavu!
Mambo hayaMughonile!

Duh wewe ndio mmojawao mnaojifedhehesha kwa Hawa msnsbii wa UONGO yaani uiache nyumba mkeo na wezi, wakimbadili? huyo mwamposa mpaka leo hajaoaUsingewafukuza bali ungeondoka zako then mikwara ungempiga mkeo ukirudi, hapo ni umejifedhehesha wewe mwenyewe wanamume hatupo hivyo.