mbarika
JF-Expert Member
- Apr 1, 2015
- 6,290
- 8,600
Angekuta manyoyaMzee wa bikra ungechelewa kidogo unge....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angekuta manyoyaMzee wa bikra ungechelewa kidogo unge....
kuna siku utakamatika hapo, hata kunyanyua ulimi uongee hutaweza, hata kunyanyua mguu uende chooni hutaweza. utahitaji msaada wa wanadamu hautakuwepo, utahitaji msaada wa madoctor hautakuponya, utaanza mwenyewe kuhitaji watu waje hapohapo nyumbani waimbe mapambio na kukuombea kwa Mungu. nina ndugu yangu alikuwa kama wewe, alikuwa na pesa, mtu mkubwa serikalini huko, shetani alikuja kumletea ugonjwa, nilipomtembelea nilikuwa nakuta muda wote ameweka channel za mahubiri tu tena ya walokole, mtu wa kulala tu kitandani kila kitu hapohapo hata tv wamemsogezea karibu na kitanda, imefika mahali akawa anaamini labda uwepo wa channel ya kidini utatransfer uponyaji uje kwake. kiburi chooote kwisha.Mughonile!
Nilimuoa Mke wangu miaka 9 iliyopita. Kwa sasa tunawatoto wawili.
Mke wangu alikuwa amebobea kwenye Makanisa haya ya upako.
Baada ya kukubaliana na vigezo vyangu, ambacho kimoja wapo nilimuarisha aachane na manabii wa upako, akakubali.
Ndipo nilipomuoa Kwa ndoa takatifu ya kikristo.
Ni miaka 9 sasa imepita, juzi Yule Nabii na waumini wengine walikuja kumtembelea Mke wangu. Tuliwapokea vizuri wakapiga Stori zao.
Tatizo wakataka waanze kuomba na kabla ya kuomba waimbe mapambio Yao. Kwa kweli niliwazuia, niliwaambia tuheshimiane. Kelele nyumbani kwangu ni mwiko na ndio maana ninaishi sehemu yenye makazi tulivu.
Tukazozana, nikawafukuza! Mke wangu ananiambia ninaroho ngumu,
Nikamjibu sio roho ngumu tuu Bali roho mbaya kabisa.
Nimewapiga marufuku kuja kwenye nyumba yangu kujifanya wanajifanya wanaombea ombea watu. Nani anashida na kuombewa hapa!
Nimewaambia wakija waje Kwa inshu nyingine.
Pumbavu!
May be ila usimtamkie kuwa mabaya yatamfika nae ana mungu wake anaye muomba kwa jinsi ajuavyo yeykuna siku utakamatika hapo, hata kunyanyua ulimi uongee hutaweza, hata kunyanyua mguu uende chooni hutaweza. utahitaji msaada wa wanadamu hautakuwepo, utahitaji msaada wa madoctor hautakuponya, utaanza mwenyewe kuhitaji watu waje hapohapo nyumbani waimbe mapambio na kukuombea kwa Mungu. nina ndugu yangu alikuwa kama wewe, alikuwa na pesa, mtu mkubwa serikalini huko, shetani alikuja kumletea ugonjwa, nilipomtembelea nilikuwa nakuta muda wote ameweka channel za mahubiri tu tena ya walokole, mtu wa kulala tu kitandani kila kitu hapohapo hata tv wamemsogezea karibu na kitanda, imefika mahali akawa anaamini labda uwepo wa channel ya kidini utatransfer uponyaji uje kwake. kiburi chooote kwisha.
hata wewe ni kwasababu u mzima, na unaamini huhitaji hayo mambo. nakuhakikishia kuna siku utaikumbuka hii thread na utakuja kuwashauri watu wengine wenye moyo kama wa kwako.
jambo lingine, kila mtu atauchukua msalaba wake mwenyewe, na atahojiwa mbele za Mungu kwa habari zake binafsi, mke hatachukua mzigo wa mume wala mume kuchukua mzigo wa mke wala wa watoto wake. hivyo acha kubana mke wako. kwanza inaonekana ulimkuta akiwa mwamini ukambadilisha ili afuate imani yako ya dini isiyo ya kuokoka. baada ya miaka 9 bado unamchagulia cha kuamini na namna ya kuamini. huo ni ukoloni, mwache asali anavyoamini, si ukute yeye akawa sahihi akaja kukusaidia, au akakuta imani tofauti huko akaja kukushauri kuwa usiende huko alikokuwa ameenda.
kitu pekee ambacho tunaweza kukubaliana mimi na wewe ni kuhusu manabii wa mafuta, hao hata mimi siwaamini hasa hao wanaobase zaidi kwenye mafuta na materials na miujiza kuliko Jina la Yesu, na haao ambao kuwaona lazima utoe pesa, hao hata mimi ndugu zangu nitawashauri tu wasiende ila sitakuwa dictator kwao kama ulivyo wewe. ni ukoloni huo kuwa dictator nyumbani unachagulia watu namna ya kumtafuta Mungu, pia ni ushamba huo. ila kuokoka kupo palepale unatakiwa kuokoka ndugu, la sivyo haupo salama.
Na uki entertain unakuta mke anamwamini kiongozi wa dini hata akisema askupe unyumba mwaka mzima hakupi, anakuwa anamwendesha kama remote.Viongozi wa kidini wanakula sana wake za watu.
Sema mara nyingi ni wanawake wenyewe wanajilengesha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siku nyingine mwagia na maji ya kunyonyolea kuku shubamit
acheni udikteta kwa wake zenu, hao nao ni wanadamu wenye mwili na nafsi binafsi kama mlivyo nini, hawatakiwi kuwa watumwa. si ukute dini yenyewe unamlazimisha asali ni catholic ambao ndio wamepotea kabisa.Na uki entertain unakuta mke anamwamini kiongozi wa dini hata akisema askupe unyumba mwaka mzima hakupi, anakuwa anamwendesha kama remote.
Kuna dada alikuwa na shida sana hana kazi hata mtoto kashindwa mpeleka shule, kapata kazi kibaha eti mchungaji anamwambia asiende akienda nani ataimba mapambio. Na yeye kidogo akubali kutokwenda
Mtangulize Mungu kwa hili iwe unafanya kwa nia njema kbsaMughonile!
Nilimuoa Mke wangu miaka 9 iliyopita. Kwa sasa tunawatoto wawili.
Mke wangu alikuwa amebobea kwenye Makanisa haya ya upako.
Baada ya kukubaliana na vigezo vyangu, ambacho kimoja wapo nilimuarisha aachane na manabii wa upako, akakubali.
Ndipo nilipomuoa Kwa ndoa takatifu ya kikristo.
Ni miaka 9 sasa imepita, juzi Yule Nabii na waumini wengine walikuja kumtembelea Mke wangu. Tuliwapokea vizuri wakapiga Stori zao.
Tatizo wakataka waanze kuomba na kabla ya kuomba waimbe mapambio Yao. Kwa kweli niliwazuia, niliwaambia tuheshimiane. Kelele nyumbani kwangu ni mwiko na ndio maana ninaishi sehemu yenye makazi tulivu.
Tukazozana, nikawafukuza! Mke wangu ananiambia ninaroho ngumu,
Nikamjibu sio roho ngumu tuu Bali roho mbaya kabisa.
Nimewapiga marufuku kuja kwenye nyumba yangu kujifanya wanajifanya wanaombea ombea watu. Nani anashida na kuombewa hapa!
Nimewaambia wakija waje Kwa inshu nyingine.
Pumbavu!
Huo mkwara ,kwann wasijiombee wenyewe?Kuna siku utawatafuta mwenyewe ili wakuombee, wao wamekunguta mavumbi mzigo umebaki kwako
Wakatoliki waliwakosea nini jamani?acheni udikteta kwa wake zenu, hao nao ni wanadamu wenye mwili na nafsi binafsi kama mlivyo nini, hawatakiwi kuwa watumwa. si ukute dini yenyewe unamlazimisha asali ni catholic ambao ndio wamepotea kabisa.
Mughonile!
Nilimuoa Mke wangu miaka 9 iliyopita. Kwa sasa tunawatoto wawili.
Mke wangu alikuwa amebobea kwenye Makanisa haya ya upako.
Baada ya kukubaliana na vigezo vyangu, ambacho kimoja wapo nilimuarisha aachane na manabii wa upako, akakubali.
Ndipo nilipomuoa Kwa ndoa takatifu ya kikristo.
Ni miaka 9 sasa imepita, juzi Yule Nabii na waumini wengine walikuja kumtembelea Mke wangu. Tuliwapokea vizuri wakapiga Stori zao.
Tatizo wakataka waanze kuomba na kabla ya kuomba waimbe mapambio Yao. Kwa kweli niliwazuia, niliwaambia tuheshimiane. Kelele nyumbani kwangu ni mwiko na ndio maana ninaishi sehemu yenye makazi tulivu.
Tukazozana, nikawafukuza! Mke wangu ananiambia ninaroho ngumu,
Nikamjibu sio roho ngumu tuu Bali roho mbaya kabisa.
Nimewapiga marufuku kuja kwenye nyumba yangu kujifanya wanajifanya wanaombea ombea watu. Nani anashida na kuombewa hapa!
Nimewaambia wakija waje Kwa inshu nyingine.
Pumbavu!
Kuna siku utawatafuta mwenyewe ili wakuombee, wao wamekunguta mavumbi mzigo umebaki kwako
🤔MTU aliyezaliwa kama we we,aliyetoka kwenye uke wa Mwanamke kama wewe atakuombea nini?.
Yesu si kafa sasa hao walikuja kupiga makelele tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]yesu amekuja ndani mwako na umemkataa
Kwani kuokoka lazima?[emoji848][emoji848][emoji848]kuna siku utakamatika hapo, hata kunyanyua ulimi uongee hutaweza, hata kunyanyua mguu uende chooni hutaweza. utahitaji msaada wa wanadamu hautakuwepo, utahitaji msaada wa madoctor hautakuponya, utaanza mwenyewe kuhitaji watu waje hapohapo nyumbani waimbe mapambio na kukuombea kwa Mungu. nina ndugu yangu alikuwa kama wewe, alikuwa na pesa, mtu mkubwa serikalini huko, shetani alikuja kumletea ugonjwa, nilipomtembelea nilikuwa nakuta muda wote ameweka channel za mahubiri tu tena ya walokole, mtu wa kulala tu kitandani kila kitu hapohapo hata tv wamemsogezea karibu na kitanda, imefika mahali akawa anaamini labda uwepo wa channel ya kidini utatransfer uponyaji uje kwake. kiburi chooote kwisha.
hata wewe ni kwasababu u mzima, na unaamini huhitaji hayo mambo. nakuhakikishia kuna siku utaikumbuka hii thread na utakuja kuwashauri watu wengine wenye moyo kama wa kwako.
jambo lingine, kila mtu atauchukua msalaba wake mwenyewe, na atahojiwa mbele za Mungu kwa habari zake binafsi, mke hatachukua mzigo wa mume wala mume kuchukua mzigo wa mke wala wa watoto wake. hivyo acha kubana mke wako. kwanza inaonekana ulimkuta akiwa mwamini ukambadilisha ili afuate imani yako ya dini isiyo ya kuokoka. baada ya miaka 9 bado unamchagulia cha kuamini na namna ya kuamini. huo ni ukoloni, mwache asali anavyoamini, si ukute yeye akawa sahihi akaja kukusaidia, au akakuta imani tofauti huko akaja kukushauri kuwa usiende huko alikokuwa ameenda.
kitu pekee ambacho tunaweza kukubaliana mimi na wewe ni kuhusu manabii wa mafuta, hao hata mimi siwaamini hasa hao wanaobase zaidi kwenye mafuta na materials na miujiza kuliko Jina la Yesu, na haao ambao kuwaona lazima utoe pesa, hao hata mimi ndugu zangu nitawashauri tu wasiende ila sitakuwa dictator kwao kama ulivyo wewe. ni ukoloni huo kuwa dictator nyumbani unachagulia watu namna ya kumtafuta Mungu, pia ni ushamba huo. ila kuokoka kupo palepale unatakiwa kuokoka ndugu, la sivyo haupo salama.
Mzee baba umefungwa Sana ufahamu kwa akili hizi.MTU aliyezaliwa kama we we,aliyetoka kwenye uke wa Mwanamke kama wewe atakuombea nini?.
Kama hayo maombi yanafanya Nazi aoembe Mungu ampe maisha yasiyokuwa na kifo.
Ila shetani ndio alivo mkuu leo unakataa maombi kwa kisingizio Cha makelele halafu kesho utapiga miziki kusherekea birthday party [emoji1][emoji1][emoji1]Mughonile!
Nilimuoa Mke wangu miaka 9 iliyopita. Kwa sasa tunawatoto wawili.
Mke wangu alikuwa amebobea kwenye Makanisa haya ya upako.
Baada ya kukubaliana na vigezo vyangu, ambacho kimoja wapo nilimuarisha aachane na manabii wa upako, akakubali.
Ndipo nilipomuoa Kwa ndoa takatifu ya kikristo.
Ni miaka 9 sasa imepita, juzi Yule Nabii na waumini wengine walikuja kumtembelea Mke wangu. Tuliwapokea vizuri wakapiga Stori zao.
Tatizo wakataka waanze kuomba na kabla ya kuomba waimbe mapambio Yao. Kwa kweli niliwazuia, niliwaambia tuheshimiane. Kelele nyumbani kwangu ni mwiko na ndio maana ninaishi sehemu yenye makazi tulivu.
Tukazozana, nikawafukuza! Mke wangu ananiambia ninaroho ngumu,
Nikamjibu sio roho ngumu tuu Bali roho mbaya kabisa.
Nimewapiga marufuku kuja kwenye nyumba yangu kujifanya wanajifanya wanaombea ombea watu. Nani anashida na kuombewa hapa!
Nimewaambia wakija waje Kwa inshu nyingine.
Pumbavu!
Mamabii na mitume walishapita, wapakwa mafuta wa Mungu walishapita kwa sasa tunao wacha Mungu tu...nao wanatumia neno la manabii na mitume wa kitabu cha Bibilia takatatifu...!! Kila kitu kiko wazi ktk Biblia shida tuliyonayo 1.Hatusomi maandiko wala hatutaki kujifunza ma wala hatuna muda wa kutafakari neno la Mungu hata tukitoka church jpili kifuatacho ni element, club nk 2. Tumweka imani yetu kwa watu/mitume na mnabii badala ya Mungu/Kristo kwanza yaani tunaanza kuamini kwa mtu baade ndio kristo ndio maana kila nabii annakuja na cha kutokea mafuta, maji, sabuni chumvi nk..ila hivi vyote kwenye bibilia vipo. Hakuna ibada nzuri kama kuwajari wasio nacho tutoe sadaka kwa unyenyekevu kwwnye makanisa tujifunze neno la Mungu na kimtii Mungu...3. Siku hizi ibada zimekuwa za kudeal na wachawi, mafanikio,majumba , magari nk na hata kupangiana kiwango cha sadaka wenye 50000 wapite mbele, wenye elfu 30...yaani ni mwendo wa fedha tu...sasa inafika muda wenye pesa ndio kipaumbele cha kanisa...sasa inafika mahali wenzangu na.mie nao wanjimaliza, tutumie pesa kdg kuanzisha biashara badala ya kujimaliza ili ukifanikiwa uendelee kumtolea Mungu Malimbuko na fungu la 10. Shida tumeshikwa pabaya na mafanikio na miujiza.May be ila usimtamkie kuwa mabaya yatamfika nae ana mungu wake anaye muomba kwa jinsi ajuavyo yey
Ni vyema tu asiwapige Wal kuwakashfu Kuna manabii WENGINE Ni wa kweli na pia Kuna wengine waongo jinsi ya kuwatambua Ni ngumu pia
Ni vyema akaongea na mke wake Hali ilivyo na hatari ilioko ikiwa ataendelea kuwaamnini manabii
Mm siwezi kuwapiga Wala kuwatukana nitawabia tu kwa upole kuwa sinaaga utaratibu wa kuomba HV
huyu mleta mada Hana makosa mbele za mungu kwa kuwa anaona mambo yanayoendelea duniani juu ya dini kuwa biashara na kichaka Cha maovu hvyo sioni kosa lake la kuwaondoa
Leo umerudi nyumbani kwako unamkuta mfale zumarid anafanya maombi Happ lzm utamaind negative
So naomba sna sna usimtabirie mleta mada matatizo kwani manabii wauongo wameongezeka hvyo anachukuwa taadhari tu kama yesu alivyo nena kuwa kutatokea manabii wa uongo wenye pia kutoa pepo so mleta mada uko sahih amini tu kuwa umechukuwa taadhari na utapeli unaondelea
Paragraph ya kwanza umetumia maneno makali sana, lkn chini kuendelea umepiga nyundo mnooo umesamehewa hiyo kwa ukali wa maneno...shida kubwa hatusomi bibilia na kuitafakari....umenyooka na kuja na.mstari....SADAKA NA.MANABIILione jinga hili, watumishi wa Mungu wa kweli wana Hekima na kamwe hawaruhusu mzozo Kati ya Mume na mke.
Unajua Mungu baada ya kuumba ulimwengu na kila kitu, hakuumba huduma au mapambio, Ndoa ilitangulia, Hawa manabii wa uongo washenzy tu.
Kwanza hakuna manabii Sasa kwa mujibu wa Biblia, maana pazia la hekalu lilipasuka na kila mtu a naingia uweponi mwa Mungu bila uwakilishi.
Warumi 8.14 kwa kuwa wanaoongozwa na roho wa Mungu ndiyo wana wa Mungu, si wanaoongozwa na manabii, aisee wakija tena fukuzs na MJELEDI.