Nimemtimua Nabii aliyekuja kumtembelea Mke wangu



Unaumwa wewe,
Huyu ni Mke wangu, mimi ndiye Nabii wake,
 
Kuna jamaa fulani wa kiroho (dhehebu kubwa) alikuwa anakwenda nyumbani kwa tajiri mmoja ili kutoa neno la Biblia kwa familia ya tajiri. Tajiri akisafiri ndio anahudhuria kwa wingi kwa mafundisho ya dini hapo nyumbani. Ikagunduliwa jamaa alikuwa anatembea na mke wake pamoja na Binti. Mama na mwanae hawajuani, ni zawadi tu zinatolewa na huyo mtumishi, kila mtu na wakati wake. Tajiri alipogundua alimwambia akimuona nyumbani atampiga risasi. Kweli alikoma ila hatujui kama mambo yanafanyika nje.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hiyo ni noma sana, ogopa mkeo akili yake ikashikwa na mtu mwingine zaidi yako
 
Uko sahihi ndio maana kuna masinagogi kwa ajili hiyo
 
Safi sana! Kuna jirani yangu mkewe kamaliza kuku wote kwenye banda sababu ya kupeleka kwa nabii wa kanisa la upako.
 
Mungu anawapenda sana ndio maana kila siku anawaasa muokoke, hamtaki. amini usiamini, njia ya wokovu waipitao ni wachache, ila njia ya motoni wapo wengi sana. Mungu akusaidie ufunguke macho pengine utapona.
 
Umemaliza kila kitu mkuu ahsante sana
 
Unaumwa wewe,
Huyu ni Mke wangu, mimi ndiye Nabii wake,

Relax Upe muda wakati mgonjwa ni wewe. Kwa nini usimuulize Mungu juu ya huyo mtumishi isaya 45:11 kama Mungu ni baba yako na Rafik yako? Unatumia akil zako
 

Mwanaume kichwa
Ishi nae kwa akili
Zipime roho usije kufukuza malaika au ukakaribisha mashetani

Ila ungewaacha waombe halafu hayo maagizo uje umpe mkeo jameni. Kweli wewe mkax😅😅😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…