chupa ya maji
Member
- Oct 31, 2017
- 58
- 68
Dah mkuu umetisha, hawakanyagi tena hao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂Mughonile!
Nilimuoa Mke wangu miaka 9 iliyopita. Kwa sasa tunawatoto wawili.
Mke wangu alikuwa amebobea kwenye Makanisa haya ya upako.
Baada ya kukubaliana na vigezo vyangu, ambacho kimoja wapo nilimuarisha aachane na manabii wa upako, akakubali.
Ndipo nilipomuoa Kwa ndoa takatifu ya kikristo.
Ni miaka 9 sasa imepita, juzi Yule Nabii na waumini wengine walikuja kumtembelea Mke wangu. Tuliwapokea vizuri wakapiga Stori zao.
Tatizo wakataka waanze kuomba na kabla ya kuomba waimbe mapambio Yao. Kwa kweli niliwazuia, niliwaambia tuheshimiane. Kelele nyumbani kwangu ni mwiko na ndio maana ninaishi sehemu yenye makazi tulivu.
Tukazozana, nikawafukuza! Mke wangu ananiambia ninaroho ngumu,
Nikamjibu sio roho ngumu tuu Bali roho mbaya kabisa.
Nimewapiga marufuku kuja kwenye nyumba yangu kujifanya wanajifanya wanaombea ombea watu. Nani anashida na kuombewa hapa!
Nimewaambia wakija waje Kwa inshu nyingine.
Pumbavu!
Upo sahihi kiongozi hao wa mafuta na materials things sio au eti sadaka zinatolewa ka class kwamba wenye laki pita mbele, wenye elfu 5, sijui wenye 25 e.t.c kwamba huwa najiuliza kwamba Mungu wetu huyu huyu Mwingi wa rehema agawe baraka tofauti! Rejea kisa cha mama mjane aliyetoa senti mbili...kuna siku utakamatika hapo, hata kunyanyua ulimi uongee hutaweza, hata kunyanyua mguu uende chooni hutaweza. utahitaji msaada wa wanadamu hautakuwepo, utahitaji msaada wa madoctor hautakuponya, utaanza mwenyewe kuhitaji watu waje hapohapo nyumbani waimbe mapambio na kukuombea kwa Mungu. nina ndugu yangu alikuwa kama wewe, alikuwa na pesa, mtu mkubwa serikalini huko, shetani alikuja kumletea ugonjwa, nilipomtembelea nilikuwa nakuta muda wote ameweka channel za mahubiri tu tena ya walokole, mtu wa kulala tu kitandani kila kitu hapohapo hata tv wamemsogezea karibu na kitanda, imefika mahali akawa anaamini labda uwepo wa channel ya kidini utatransfer uponyaji uje kwake. kiburi chooote kwisha.
hata wewe ni kwasababu u mzima, na unaamini huhitaji hayo mambo. nakuhakikishia kuna siku utaikumbuka hii thread na utakuja kuwashauri watu wengine wenye moyo kama wa kwako.
jambo lingine, kila mtu atauchukua msalaba wake mwenyewe, na atahojiwa mbele za Mungu kwa habari zake binafsi, mke hatachukua mzigo wa mume wala mume kuchukua mzigo wa mke wala wa watoto wake. hivyo acha kubana mke wako. kwanza inaonekana ulimkuta akiwa mwamini ukambadilisha ili afuate imani yako ya dini isiyo ya kuokoka. baada ya miaka 9 bado unamchagulia cha kuamini na namna ya kuamini. huo ni ukoloni, mwache asali anavyoamini, si ukute yeye akawa sahihi akaja kukusaidia, au akakuta imani tofauti huko akaja kukushauri kuwa usiende huko alikokuwa ameenda.
kitu pekee ambacho tunaweza kukubaliana mimi na wewe ni kuhusu manabii wa mafuta, hao hata mimi siwaamini hasa hao wanaobase zaidi kwenye mafuta na materials na miujiza kuliko Jina la Yesu, na haao ambao kuwaona lazima utoe pesa, hao hata mimi ndugu zangu nitawashauri tu wasiende ila sitakuwa dictator kwao kama ulivyo wewe. ni ukoloni huo kuwa dictator nyumbani unachagulia watu namna ya kumtafuta Mungu, pia ni ushamba huo. ila kuokoka kupo palepale unatakiwa kuokoka ndugu, la sivyo haupo salama.
kuna wakati hata pesa haifanyi kazi mzee, dawa hazifanyi kazi. hujakamatika tu uone moto wake. omba tu Mungu yasikukute. trust on material things has a limit, kuna mpaka wake ambao utakiri wewe kwamba hapa anayeweza kuniokoa ni Mungu tu kwasababu vitu vyooote unavyovitegemea na kuviamini kwamba vitakuokoa havitafanya kazi au vitakuwa vimefanya kazi hadi kufikia mwisho wake.Mtu akikamatika watu wanahangaika kutafuta pesa za matibabu na sio manabii.
Kuwa na Akili hata kidunchu
Catholic church hawana kelele.acheni udikteta kwa wake zenu, hao nao ni wanadamu wenye mwili na nafsi binafsi kama mlivyo nini, hawatakiwi kuwa watumwa. si ukute dini yenyewe unamlazimisha asali ni catholic ambao ndio wamepotea kabisa.
but among the most lost church on planet earth.Catholic church hawana kelele.
ndio, ni lazima ili uurithi ufalme wa mbinguni. without that utaenda motoni milele.Kwani kuokoka lazima?[emoji848][emoji848][emoji848]
ila kuna siku huwa mnakamatika mmetandikwa na shetani hadi mnajisaidia vitandani hapohapo, na mnawatuma wake zenu wakawaite wachungaji wawaombee walau kwasababu wanganga wa kienyeji, madaktari, na mapadre wameshindwa kuwasaidia. omba Mungu yasikukute. wokovu ni lazima, ukiwa unasali kanisa linakataza kuokoka au haliamini kuokoka sawasawa na walivyokuwa wanaamini mitume wa kwanza, hiyo ni dini tu, kimbia. na catholic ni mojawapo. huwa hatuwasemi kwasababu tunawachukia, Nooo, tunajaribu kuwasaidia mtoke upofu kwasababu mnapoteza muda na wengine mnajua kabisa kuwa mnapoteza muda, ila wengine hawajui hadi tuwapigie kelele pengine watasikia waokoke. hata kipindi Yesu alikuwepo aliwapigia sana kelele mafarisayo na masadukayo ambao walikuwa wameanzisha na kuendeleza vingi ambavyo catholics mlikuja kuvikuta, lakini Yesu aliwapigia kelele wabadilike.Wakatoliki waliwakosea nini jamani?
Inanifurahishaga kusikia mnawaponda wakati mnafuata vitu walivyoanzisha mfano kusheherekea christmas tarehe 25, na mengine.
Mimi siwezi kuruhusu mke wangu aongozwe na mchungaji. Yani ukiruhudu hilo kwenye familia jua kinachofuata ni matatizo. Utaskia mpaka nimuulize mchungaji, baba mchungaji kakataa. Basi kaolewe na mchungaji
TOA vivid examples,miongoni mwa madhehebu yenye full packages,ni hilo RC,limekamilika,mtu akikosa hoja,ndo unakuta anaenda kwa akina askofu Masanja,Askofu Gwajima,askofu Mpoto et al.but among the most lost church on planet earth.
mimi nimeleta hoja hizi, we lete zako upandwe wako.TOA vivid examples,miongoni mwa madhehebu yenye full packages,ni hilo RC,limekamilika,mtu akikosa hoja,ndo unakuta anaenda kwa akina askofu Masanja,Askofu Gwajima,askofu Mpoto et al.
Mughonile!
Nilimuoa Mke wangu miaka 9 iliyopita. Kwa sasa tunawatoto wawili.
Mke wangu alikuwa amebobea kwenye Makanisa haya ya upako.
Baada ya kukubaliana na vigezo vyangu, ambacho kimoja wapo nilimuarisha aachane na manabii wa upako, akakubali.
Ndipo nilipomuoa Kwa ndoa takatifu ya kikristo.
Ni miaka 9 sasa imepita, juzi Yule Nabii na waumini wengine walikuja kumtembelea Mke wangu. Tuliwapokea vizuri wakapiga Stori zao.
Tatizo wakataka waanze kuomba na kabla ya kuomba waimbe mapambio Yao. Kwa kweli niliwazuia, niliwaambia tuheshimiane. Kelele nyumbani kwangu ni mwiko na ndio maana ninaishi sehemu yenye makazi tulivu.
Tukazozana, nikawafukuza! Mke wangu ananiambia ninaroho ngumu,
Nikamjibu sio roho ngumu tuu Bali roho mbaya kabisa.
Nimewapiga marufuku kuja kwenye nyumba yangu kujifanya wanajifanya wanaombea ombea watu. Nani anashida na kuombewa hapa!
Nimewaambia wakija waje Kwa inshu nyingine.
Pumbavu!
Usipanic relax, kunywa maji, vuta taratibu utulie. Bwana mchungaji ndo ashafukuzwa hivyoila kuna siku huwa mnakamatika mmetandikwa na shetani hadi mnajisaidia vitandani hapohapo, na mnawatuma wake zenu wakawaite wachungaji wawaombee walau kwasababu wanganga wa kienyeji, madaktari, na mapadre wameshindwa kuwasaidia. omba Mungu yasikukute. wokovu ni lazima, ukiwa unasali kanisa linakataza kuokoka au haliamini kuokoka sawasawa na walivyokuwa wanaamini mitume wa kwanza, hiyo ni dini tu, kimbia. na catholic ni mojawapo. huwa hatuwasemi kwasababu tunawachukia, Nooo, tunajaribu kuwasaidia mtoke upofu kwasababu mnapoteza muda na wengine mnajua kabisa kuwa mnapoteza muda, ila wengine hawajui hadi tuwapigie kelele pengine watasikia waokoke. hata kipindi Yesu alikuwepo aliwapigia sana kelele mafarisayo na masadukayo ambao walikuwa wameanzisha na kuendeleza vingi ambavyo catholics mlikuja kuvikuta, lakini Yesu aliwapigia kelele wabadilike.
pia, catholics mmeanzisha nini ambacho sisi wengine tunatumia? Biblia? hii iliandikwa na Roho Mtakatifu, na ukisema kanisa, kanisa halijaanzishwa na catholics, kama unaamini hivyo mnadanganywa. kanisa la kwanza la akina Paulo, Petro, Yohana n.k halikuwa hili la catholics. why?
1. kanisa la kwanza waliamini kuokoka, catholics hawaamini kuokoka.
2. kanisa la kwanza hawakuwa wanakunywa pombe, catholics ni walevi.
3. kanisa la kwanza waliamini ujazo wa Roho na kunena kwa lugha, catholics wanapinga hilo na hawana Roho.
4. kanisa la kwanza waliombea na kuponya wagonjwa kama huduma ya Yesu, catholics hawawezi kuponya hata unywele tu.
5. kanisa la kwanza hawakuwa wanamwabudu bikira maria, catholics wanaabudu na kuomba kwa bikira maria.
6. kanisa la kwanza hawaombi kwa wafu, waliomba kupitia Jina la Yesu tu, catholics wanaomba kupitia wafu.
7. kanisa la kwanza hawakuabudu masanamu, catholics wanaabudu masanamu ya yesu wa kwenye sinema hadi leo hii.
kuna mengi mno, ambayo yanawafanya dini yenu iwe ya kipagani kabisa lakini hata tuwaambie huwa hamuelewi.
Safi sana mkuu, hao manabii si wakuzoeana nayo kuna mawili anaweza kumla mkeo au kula mali zenu.Mughonile!
Nilimuoa Mke wangu miaka 9 iliyopita. Kwa sasa tunawatoto wawili.
Mke wangu alikuwa amebobea kwenye Makanisa haya ya upako.
Baada ya kukubaliana na vigezo vyangu, ambacho kimoja wapo nilimuarisha aachane na manabii wa upako, akakubali.
Ndipo nilipomuoa Kwa ndoa takatifu ya kikristo.
Ni miaka 9 sasa imepita, juzi Yule Nabii na waumini wengine walikuja kumtembelea Mke wangu. Tuliwapokea vizuri wakapiga Stori zao.
Tatizo wakataka waanze kuomba na kabla ya kuomba waimbe mapambio Yao. Kwa kweli niliwazuia, niliwaambia tuheshimiane. Kelele nyumbani kwangu ni mwiko na ndio maana ninaishi sehemu yenye makazi tulivu.
Tukazozana, nikawafukuza! Mke wangu ananiambia ninaroho ngumu,
Nikamjibu sio roho ngumu tuu Bali roho mbaya kabisa.
Nimewapiga marufuku kuja kwenye nyumba yangu kujifanya wanajifanya wanaombea ombea watu. Nani anashida na kuombewa hapa!
Nimewaambia wakija waje Kwa inshu nyingine.
Pumbavu!
NI UONGO WA KUTUPWA NA UKOSEFU WA UPEO WAKO TUkuna siku utakamatika hapo, hata kunyanyua ulimi uongee hutaweza, hata kunyanyua mguu uende chooni hutaweza. utahitaji msaada wa wanadamu hautakuwepo, utahitaji msaada wa madoctor hautakuponya, utaanza mwenyewe kuhitaji watu waje hapohapo nyumbani waimbe mapambio na kukuombea kwa Mungu. nina ndugu yangu alikuwa kama wewe, alikuwa na pesa, mtu mkubwa serikalini huko, shetani alikuja kumletea ugonjwa, nilipomtembelea nilikuwa nakuta muda wote ameweka channel za mahubiri tu tena ya walokole, mtu wa kulala tu kitandani kila kitu hapohapo hata tv wamemsogezea karibu na kitanda, imefika mahali akawa anaamini labda uwepo wa channel ya kidini utatransfer uponyaji uje kwake. kiburi chooote kwisha.
hata wewe ni kwasababu u mzima, na unaamini huhitaji hayo mambo. nakuhakikishia kuna siku utaikumbuka hii thread na utakuja kuwashauri watu wengine wenye moyo kama wa kwako.
jambo lingine, kila mtu atauchukua msalaba wake mwenyewe, na atahojiwa mbele za Mungu kwa habari zake binafsi, mke hatachukua mzigo wa mume wala mume kuchukua mzigo wa mke wala wa watoto wake. hivyo acha kubana mke wako. kwanza inaonekana ulimkuta akiwa mwamini ukambadilisha ili afuate imani yako ya dini isiyo ya kuokoka. baada ya miaka 9 bado unamchagulia cha kuamini na namna ya kuamini. huo ni ukoloni, mwache asali anavyoamini, si ukute yeye akawa sahihi akaja kukusaidia, au akakuta imani tofauti huko akaja kukushauri kuwa usiende huko alikokuwa ameenda.
kitu pekee ambacho tunaweza kukubaliana mimi na wewe ni kuhusu manabii wa mafuta, hao hata mimi siwaamini hasa hao wanaobase zaidi kwenye mafuta na materials na miujiza kuliko Jina la Yesu, na haao ambao kuwaona lazima utoe pesa, hao hata mimi ndugu zangu nitawashauri tu wasiende ila sitakuwa dictator kwao kama ulivyo wewe. ni ukoloni huo kuwa dictator nyumbani unachagulia watu namna ya kumtafuta Mungu, pia ni ushamba huo. ila kuokoka kupo palepale unatakiwa kuokoka ndugu, la sivyo haupo salama.
Wamuombee nini kama ntu amafulia anaenda kukopa benk , akiumwa anaenda hospitali akifa watamzika maombi ni utapeliKuna siku utawatafuta mwenyewe ili wakuombee, wao wamekunguta mavumbi mzigo umebaki kwako