Jokajeusi
JF-Expert Member
- Jun 1, 2018
- 6,323
- 10,813
Mughonile!
Nilimuoa Mke wangu miaka 9 iliyopita. Kwa sasa tunawatoto wawili. Mke wangu alikuwa amebobea kwenye Makanisa haya ya upako. Baada ya kukubaliana na vigezo vyangu, ambacho kimoja wapo nilimuarisha aachane na manabii wa upako, akakubali. Ndipo nilipomuoa Kwa ndoa takatifu ya kikristo.
Ni miaka 9 sasa imepita, juzi Yule Nabii na waumini wengine walikuja kumtembelea Mke wangu. Tuliwapokea vizuri wakapiga Stori zao. Tatizo wakataka waanze kuomba na kabla ya kuomba waimbe mapambio Yao. Kwa kweli niliwazuia, niliwaambia tuheshimiane. Kelele nyumbani kwangu ni mwiko na ndio maana ninaishi sehemu yenye makazi tulivu.
Tukazozana, nikawafukuza! Mke wangu ananiambia ninaroho ngumu. Nikamjibu sio roho ngumu tuu Bali roho mbaya kabisa. Nimewapiga marufuku kuja kwenye nyumba yangu kujifanya wanajifanya wanaombea ombea watu. Nani anashida na kuombewa hapa!
Nimewaambia wakija waje Kwa inshu nyingine.