Nimemtolea mahari sasa ananipa shida, najuta!

Using'ang'ane kwenye maumivu kata mti panda mti lasivyo utakuja kutia akili ukiwa tayari na ulemavu wa akili/mwili
 
Ndoa zote ndio zilivyo kuhusu kupewa penzi

Siku akiamua kukupa daily si utakimbia nyumba yako??
 
Nyie wote mna mambo ya kitoto. Yeye anakufanyia upuuzi na wewe unakuwa na utoto mwingi kwenye kuhandle your relationship.

Kwann usimwambie direct anashida gani?! Kama anasema hana shida mwambie mtakosana muda si mrefu akiendelea na hizo habari zake za kukuletea michezo ya kitoto.

Ndoa zenyewe za shida hizi halafu mtu akusumbue kichwa na wanawake wapo kibao huko nje wanalialia kutafuta ndoa.
 
Dah we jamaa ni mafia tena ni ile ya baba Mrussia, mama muitalia, kaka yakuza, dada Cholo wa Mexican. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Swali lingine la msingi nakupa kazi nipe hasara za ndoa hata mbili au tatu. Ukiweza kunipa hizo hasara mimi naacha kujadili huu mjadala au nitaomba ID hii ifungwe na wewe utakuwa shahidi wa hili.

Wenye jambo letu tumeingia.
Hasara za ndoa ukiingia na mtu asie sahihi kwako ni sawa na hasara za mtu anae ajiriwa na kampuni isiyomlipa stahiki zake ukiwamo mshahara.
 
Hasara za ndoa ukiingia na mtu asie sahihi kwako ni sawa na hasara za mtu anae ajiriwa na kampuni isiyomlipa stahiki zake ukiwamo mshahara
Sasa vijana hili hawalioni inafikia hatua kutoa hukumu ya kuwa ndoa hazifai,wakati wenyewe kwanza hawajui namna ya kutafuta wenza,na wao wenyewe hawajitambui.
 
Mkuu kwa hiyo unataka kutuambia kwamba Jeff bezos na bill gate hawana akili timamu?
Utimamu wa akili ni hali ya kutenda yote yenye kuleta madhara.

Si sawa kusema vibaya ndoa kisa mtu fulani alimuacha fulani,mpaka wote wsmeoa ujue ndoa ina faida kubwa kuliko hasara,na ndiyo maana kuna kuachana.

Kwahiyo tunasema wana akili timamu ndiyo maana walioa na kuacha,kuachana huwa kuna sababu nyingi.
 
"Kosea vyote, usikosee kuoa" alisikika Baba Kimbo akisisitiza.
 
If you think money can't bring HAPPINESS then GO and ASK the HOMELESS and JOBLESS.

Money buys anything in this world.

Pesa pia unaweza kuitumia kama tiketi ya kukupeleka Peponi au motoni.

Toa sadaka, saidia masikini, somesha yatima, Toa zaka, toa ........
Ni MATENDO YA PEPONI

Fanya kinyume NI MOTONI.

That is MONEY.

Punguza ku overthink; Mungu yupo na anaishi nilivyosema kufanya dunia inatembea UMENIELEWA SANAA hebu tumia huo UTIMAMU VIZURI.

Bila pesa ndani DUNIA NI NGUMU, bila mwanamke ndani NOTHING IS HAPPENING.

Halafu kingine utimamu hufikiriwa mbele ya mtu mfikiriaji..!!
We hujawahi Ona mtu una mkubalii halafu raia wengine hawamuelewi...!!!

KUOA NI MATATIZO.

TAFUTA HELA ULE MAISHA.

#YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…