Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Ukiwa kwenye uchumba alikua anakubania pia?Nimeshaoa mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiwa kwenye uchumba alikua anakubania pia?Nimeshaoa mkuu.
Ndoa zote ndio zilivyo kuhusu kupewa penziMimi ni kijana wa miaka 27, nafanya kazi. Nimeoa mwanamke ambaye tumedumu uchumba kwa mwaka na nusu. Nimetoa mahari zaidi ya milioni na nusu.
Amekuja mkoa ninaofanya kazi, lakini vituko anavyonifanyia ni hatari. Hadeki, kunipa penzi mpaka ajisikie yeye mwenyewe hata kama mimi nina nyege ananiyima penzi.
Pia anadai kurudi kwao mazingira yamemshida. Mambo mengi ananifanyia huyu mke wangu, mpaka nakuwa natokwa na machozi maana hata mwezi hajamaliza ananiletea vituko hivi.
Kinachoniuma ni pesa niliyomtolea. Naombeni ushauri ndugu zangu, nifanyeje? Pia, kama akirudi kwao naweza kurudishiwa mahari yangu?
Hii English ni ya taifa gani maana duh..... Maana anaijua msemaji tu [emoji23][emoji23][emoji23]Life is not fair tonylove,vilio vimezidi jamani kwani nyie wanaume ndo wenye matatizo ama ni wanawakeView attachment 1969659
Ndugu msomaji watu wanadata mpanga wanaongea kingereza chao wenyeweHii English ni ya taifa gani maana duh..... Maana anaijua msemaji tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Dah we jamaa ni mafia tena ni ile ya baba Mrussia, mama muitalia, kaka yakuza, dada Cholo wa Mexican. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Braza acha tu likukute...
Hivi huko kwenye Ndoa HUWA MNAFATA NINI?
1. Kuna kipi ukiwa single unakosa mpaka uamue kuoa?
2. Una hela/uwezo wa kula mayai kila siku, kwanini ufuge kuku?
3. Mnafata nini huko kwenye Ndoa?
4. We kila siku dunia inalalamika na ndoa we ndio unakimbilia..!!
Sikia..
Umeajiriwa; Nenda chuo ONGEZA elimu TAFUTA PESA
Umejiajiri; Tafuta skills wekeza kwenye mambo zako TAFUTA HELA.
THE POINT IS in whatever you do FIND MONEY.
With money life is GOOD.
What is KUOA by the way.
Achane kuoa mpunguze MATATIZO.
*KESHO ATAKUJA MWENGINE HUMU ANALALAMIKA.
#YNWA
Hasara za ndoa ukiingia na mtu asie sahihi kwako ni sawa na hasara za mtu anae ajiriwa na kampuni isiyomlipa stahiki zake ukiwamo mshahara.Swali lingine la msingi nakupa kazi nipe hasara za ndoa hata mbili au tatu. Ukiweza kunipa hizo hasara mimi naacha kujadili huu mjadala au nitaomba ID hii ifungwe na wewe utakuwa shahidi wa hili.
Wenye jambo letu tumeingia.
Sasa vijana hili hawalioni inafikia hatua kutoa hukumu ya kuwa ndoa hazifai,wakati wenyewe kwanza hawajui namna ya kutafuta wenza,na wao wenyewe hawajitambui.Hasara za ndoa ukiingia na mtu asie sahihi kwako ni sawa na hasara za mtu anae ajiriwa na kampuni isiyomlipa stahiki zake ukiwamo mshahara
Utimamu wa akili ni hali ya kutenda yote yenye kuleta madhara.Mkuu kwa hiyo unataka kutuambia kwamba Jeff bezos na bill gate hawana akili timamu?
Kabisa mkuuUna maanisha kumbe hata hiyo mahari ya milioni na points jamaa aliikopa hivyo inamuuma sana akikumbuka [emoji41][emoji41] na bado wife wake anamkazia kipenyo.
Kweli umaskini mbaya mnooo askwambie mtu, tutafute pesa mkuu.
"Kosea vyote, usikosee kuoa" alisikika Baba Kimbo akisisitiza.Mimi ni kijana wa miaka 27, nafanya kazi. Nimeoa mwanamke ambaye tumedumu uchumba kwa mwaka na nusu. Nimetoa mahari zaidi ya milioni na nusu.
Amekuja mkoa ninaofanya kazi, lakini vituko anavyonifanyia ni hatari. Hadeki, kunipa penzi mpaka ajisikie yeye mwenyewe hata kama mimi nina nyege ananiyima penzi.
Pia anadai kurudi kwao mazingira yamemshida. Mambo mengi ananifanyia huyu mke wangu, mpaka nakuwa natokwa na machozi maana hata mwezi hajamaliza ananiletea vituko hivi.
Kinachoniuma ni pesa niliyomtolea. Naombeni ushauri ndugu zangu, nifanyeje? Pia, kama akirudi kwao naweza kurudishiwa mahari yangu?
Ali pause 2020 haha2015 ulikua na miaka 24 leo 2021 una 27yrs[emoji6]
Pole oa mke wa pili
Ach uongo we jamaa si ulisema ulikuwa unamnyandua kipind bado hujamuoa ss baada ya kumuoa iyo bikra ikatokea wap tenaNdio
If you think money can't bring HAPPINESS then GO and ASK the HOMELESS and JOBLESS.Kuoa kwao wao si hoja,wangapi wanawake waliacha ndoa zao toka kwa Wafalme na wala hawakujutia. Mali au hela si kila kitu,wanawake wanatafuta furaha,na hawapendi manyanyaso.
Kingine anaye fanya Dunia itembee ni yule aliye iumba na si mtu,acheni kujidanganya.
Naona kijana huna hoja,mapenzi au ndoa haidumishwi na Mali,bali ni utu,kujali,matunzo na utimamu wa akili.
Kijana naona unaishi mule mule,hoja huna nani alikwambia ndoa inasimamishwa na utajiri ?
Hao wote wana akili ila hawana akili timamu.
Naona kijana umejikita kwenye Mali kama kigezo cha kusimama kwa ndoa au muhimili wa ndoa.
Huu ujinga waambie vijana wenzako vijiweni wenye kujilinganisha na wanawake na kutaka kushindana nao.
Wanaume hatujadilo suala la Wanawake kwa hoja za kitoto namna hii na kumili upande mmoja.
Huyu raia nilishamuonya ila HAKUNISIKIA.Liverpool VPN hembu njoo huku vijana hawajaelewa somo
Na yule Mr bikra Nani yule hembu njoo mtusaidie huku(kwa sauti ya baby ayubu)
kwa kipindi walichokaa naye na kumtumia hela aliyolipa itakuwa imeisha. 🤣 🤣Ameandika, kinachomuuma ni pesa aliyoliyomlipia.