Nimemtongoza Jana, leo asubuhi kanitext kapoteza hela zote na hajui afanyeje

Nimemtongoza Jana, leo asubuhi kanitext kapoteza hela zote na hajui afanyeje

Inaweza kuwa thick au thin..

Thick mfano ni watu wenye hela nyingi lakini ni madomo zege na hawajiamini kabisa..Hawa wanawahonga hata mademu wa kawaida tu hela nyingi..wanatapanya tu hela without hesitation.

Thin mfano ni mtu mwenye hela za ngama lakini zote anahongea papuchi tu hana hata kitanda cha kueleweka.
Mkuu demu wa kawaida ndo yukoje na ambaye siyo wa kwaida yukoje.

Naomba ufananuzi plz
 
[emoji16][emoji16][emoji16] au sio !? Asije akaitoa hiyo hela ikaliwa halafu usiku akiwa amelala aote anakabwa na jina mizi , kwaajili ya maumivu yanayo sababishwa na kuliwa kwa pesa hizo,, wewe mjaze tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jinamizi la maumivu, lakini starehe atakuwa kapata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tendo la ndoa sasa wamefanya ni biashara ila bado wanaona aibu kutamka wanauza. Muulize tu short time bei gani na kulala bei gani na kawaida na kwa mpalange bei gani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wiki iliyopita nilichukua namba, usiku mida ya saa mbili nikamtumia text vipi tunaweza kuonana saizi? Akanijibu wapi nikamwambia itapendeza ukija home. Akasema pouwa utanipa tsh ngapi? Nikasema mhh leo ndo nimekutana na muuza Maku, then nikamwambia nina ten hapa akajibu hiyo labda kwa show fupi. Nilivyosikia hivyo mwili wote uliloa jasho nikaghairi mazima.
 
Ujanielewa,
Ningetoa iyo laki 5 Kisha nimtumie haswa haswa Kufidia pesa yangu.[emoji4]

Ntampa Tena Mara ya 2, Mara 3. Kisha ndo Nijifanye nna malengo naye, hapa ataanza kunipa bure.

Baada ya hapo,
Sasa ile bure bure ntaifululiza mpk ile thamani ya Ela yangu yote irudi mpk ifikie wastani wa 50,000 kwa Kila mechi[emoji4]

BAADA YA HAPO NAMBWAGA Maana ELA YANGU IMETUMIKA IPASAVYO
Umenikimbusha mbali,nilimfanyia hivi manzi mmoja
 
Jana katika pita pita zangu mjini nilipita mitaa ya karume kule ilala kwa vile wkt nipo mkoa niliskia soko liliungua basi nikasema kwa vile nipo mjini nakula likizo ngoja nikashangae mji.

Sasa ktk tembea tembea pale sokoni nikaiona pisi kali inachagua chagua blauzi za buku buku. Moyo ukafanya "chwaaaaaaaah!!!" Mamamamaaa aisee mjini kuna watoto wakali mazee. Alikua amepiga vile visketi flani vya mpira mpira hips zimechomoza kama vile zinapambana zitoboe ile sketi pembeni zipotelee kusikojulikana. Juu alipiga top halafu kifuani saa sita zimechomoza dizaini kama hakua amevaa bra. Nikajikuta kama nimeduwaa shetani akanishika mkono akaniambia "blaza blaza usinikemee, hakika mm ni rafiki yako wa kudumu [emoji39]"

Nikaanza kujivuta mdogo mdogo kuelekea alipokua anachagua nguo. Mapigo ya moyo yalikua yanaenda kasi mno mpaka nilikua nayaskia hapa kifuani "tu tu tuuuu!!!" Nikamsogelea

Mimi "hello bestie, habari"
Yeye "safi"
Mimi "samahani kama nakufananisha hivi"
Yeye "sio mimi"
Mimi "okay, nina shida nahitaji kuwasiliana na ww.. sijui naweza kupata namba yako?"

Akaniangalia kuanzia juu mpaka chini kisha akanipa kasimu kake ka smart ka Samsung nichore namba yangu. Nikaandika. Nikajibip. Nikamshukuru. Nikasepa.

Huyoooooo nikaenda kituo cha gerezani kudaka mwendo kasi nirudi kitaa. Nikasema simtafuti kwanza mpaka jioni. Usiku nikamtext kumpanga for the next appointment. Ila akawa ananijibu kimkato mkato tu. Nikampandia hewani akakata akaniambia subiri nipo na kaka ntakupigia. Ikabidi nimpige sound ktk sms, akatiki lkn kwa masharti nisimuumize maana mahusiano yake yaliyopita alitendwa na hatopenda kupata experience kama ile. Nikamtoa hofu!

Leo asubuhi nimeamka nimekuta amenitumia bonge la text "baby sorry jana jioni wkt tunaonana nilikua na ela ktk mkoba mzee alinituma nikazitoe benki za mafundi hapa home, kama laki tano. Leo asubuhi kaja fundi nataka nimpe sizioni, nahisi niliibiwa pale Karume... Nimemuambia baba hanielewi, sijui nifanyeje naomba nisaidie..." Text nyngne akaweka vikopa kopa na vile vi emoji kama anaona aibu vile...

Nimeshindwa nimjibu nini aisee
ILA WANAUME TUNA SHIDA SANA.
FB_IMG_16445644354881289.jpg
 
Ningekua mtoa mada,
Ningetoa iyo pesa Kisha nimtumie haswa haswa Kufidia pesa yangu.[emoji4]

Ntampa Tena Mara 2, Mara 3. Kisha ndo Nijifanye nna malengo naye, hapa ataanza kunipa bure.

Baada ya hapo,
Sasa ile bure bure ntaifululiza mpk ile thamani ya Ela yangu yote irudi mpk ifikie wastani wa 50,000 Kila mechi[emoji4]

BAADA YA HAPO NAMBWAGA Maana ELA YANGU IMETUMIKA IPASAVYO
You must be stacking high man. You always talk about wasting alota cash that business gots to be big!
 
Demu 1 (Mtusi),sijamula bado kaniambia muda huu Ofisini kwake umeme imeisha,ameniambia nimuazime 50,000 anunue umeme.
Demu 2( Mbondei) , huyu ni Single Mama-naye sijawi kumla kaniomba laki 1 apeleke Kikoba.

Kuna demu wangu huwa najipoza poza siku zote huwa mtoto wa Kisandawe anata kesho tutoke OUT.

Sasa hapa nipo napiga hesabu,Wanaume matosa-tena tunayojitafutia mwenyewe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daaah Yani wanaume mna tabu jamani looh na hao madem wote unakuta unawatamani Basi hapo akili haielewi ishike yupi iache yupi
 
Kwani wewe humpendi,mpe hela,vile vitu vinauzwa hakunae utelezi wa bure
 
Fanya kitu kimoja.


Weka kwenye SIMU yako Laki Sita.


Muite aje, mwambie utamrushia hiyo pesa.

Muaminishe kabisa unampa hela hiyo.

Mwagizie misosi mizuri

Mwache arelax.

Piga pumbu yaan mtombe kwelikweli.


Baada ya hapo mkishaoga nn, Mrushie hiyo hela kwenye simu.


Ukishatoka tu. Piga timing Kali RUDISHA MUAMALA WAKO CHAPUCHAPU.



ila U jiandae kwa Matusi makali.....ndivo tunavyodeal na Wadada wa mjini wapenda Pesa .[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ikiwa ana namba ya voda na anadaiwa songesha mchezo umeungua maana Dem akikatwa tu ata shing 100 iyoela airudi .. laki 5 ninyingi Sana .. ampotezee tu
 
Ha ha ha.....
Huruma ya Nini wkt ananichukulia danga lake.

Akitaka kula, akumbukwe Kuna kuliwa[emoji2]

Tena kwanza hapo mbona nmemhurumia,

Naweza mpa Iyo laki 5,
Kisha mda huo huo nikapitia mlango wa nyuma nikamtegea vibaka wamkabe wamnyanganye Iyo Ela inirudie mwenyewe[emoji4]

Nikitoa laki TU ya kuwalipa vibaka kwa kazi,nabakiwa na laki 4 cash.
Hasara ya laki inakidhi kabisa kufidia ghrama za ule uchafuzi niloufanya kwenye mwili wake[emoji2]
Hahahaha dp umetisha
 
Ananunua nguo za buku anaomba laki tano! Maajabu.....angeomba 50 tu,labda tusingekuwa hapa kujadili😄
 
Back
Top Bottom