Nimemtongoza juzi Jumamosi, leo kaanza kuniomba pesa

kyanyangwe

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2018
Posts
1,275
Reaction score
3,316
Wakuu

Labda mnisaidie mawazo ili nijue nakimbia au naweka kambi.

Huyu binti ni single maza tumekutana juzi kwenye usafiri wa umma nikamtongoza akakubali.
Leo asubuhi naamka nakutana na message ya kuombwa 50k.

Ikumbukwe hapa bado sijamtia wala sijamgusishia lolote kuhusu kutiana ila kaanza kuomba pesa.
Wakuu nipeni mawazo yenu kwenye hili jambo.
 
Mpe, wewe umemtongoza siku ya kwanza, yeye kangoja siku 3; shida Iko wapi? Wakati mwingine mnawalaumu au wanawake Kwa sababu you are not Men enough!

Wewe unafikiri ni Nini mwanamke aliyekuona siku Moja ukamtongoza anavutiwa nacho na wewe? Zaidi ya pesa? Kama ulikuwa unatafuta mwanamke sound, ungemzoea, akawa rafiki then umtongoze!

Wewe kumtongoza kwa nia ya kulala naye is as selfish as yeye kukuomba pesa, it goes hand in hand, wewe unautaka Mwili wake na hakupendi, kwa nini asiombe hela?

Kwa nini wewe uone Hana maadili kwa kuomba hela, na kufikiri Wewe una maadili kwa kumwambia unampenda hiyo hiyo uliyomwona; muwe mna tumia akili baada ya kiwatweza hawa Dada zetu!

Kama huna hela mwache mtoto wa watu, Nenda katongoze ndugu zako au watu uliowazoea wanaokupenda natural, pumbavu Kabisa, vijana wa hovyo binti!
 
Wakuu
Labda mnisaidie mawazo ili nijue nakimbia au naweka kambi.
Huyu binti ni single maza tumekutana juzi kwenye usafiri wa umma nikamtongoza akakubali.
Leo asubuhi naamka nakutana na message ya kuombwa 50k.
Ikumbukwe hapa bado sijamtia wala sijamgusishia lolote kuhusu kutiana ila kaanza kuomba pesa.
Wakuu nipeni mawazo yenu kwenye hili jambo.
Usimpe...kwanza huyo ninmwanamke useless tayari single maza achana nae. 2025 onwards we dnt date broke gals
 
Wakuu
Labda mnisaidie mawazo ili nijue nakimbia au naweka kambi.
Huyu binti ni single maza tumekutana juzi kwenye usafiri wa umma nikamtongoza akakubali.
Leo asubuhi naamka nakutana na message ya kuombwa 50k.
Ikumbukwe hapa bado sijamtia wala sijamgusishia lolote kuhusu kutiana ila kaanza kuomba pesa.
Wakuu nipeni mawazo yenu kwenye hili jambo.
Hii nchi ina watu wa ovyo sana! Kwahiyo unakuja hapa tukushauri jinsi ya kufanya ngono?
 
Wakuu
Labda mnisaidie mawazo ili nijue nakimbia au naweka kambi.
Huyu binti ni single maza tumekutana juzi kwenye usafiri wa umma nikamtongoza akakubali.
Leo asubuhi naamka nakutana na message ya kuombwa 50k.
Ikumbukwe hapa bado sijamtia wala sijamgusishia lolote kuhusu kutiana ila kaanza kuomba pesa.
Wakuu nipeni mawazo yenu kwenye hili jambo.
Kinapimwa kiberiti kama kimejaa au laa!

Huyo hana cha kupoteza ukituma atakuweka kwenye list yake na usipotuma unawekwa kapuni

Kazi kwako na mwaka ndio kwanza umeanza
 
Wakuu
Labda mnisaidie mawazo ili nijue nakimbia au naweka kambi.
Huyu binti ni single maza tumekutana juzi kwenye usafiri wa umma nikamtongoza akakubali.
Leo asubuhi naamka nakutana na message ya kuombwa 50k.
Ikumbukwe hapa bado sijamtia wala sijamgusishia lolote kuhusu kutiana ila kaanza kuomba pesa.
Wakuu nipeni mawazo yenu kwenye hili jambo.
Siku nyingine uwe unakuja kuomba ruhusa ya kuwatongoza.

Kila mtu ashinde mechi zake
 
Piga chini.

Mindset ya wanawake wasasa ni kwamba ukichukua no yake unamtaka kingono tu.

Wanafikiri uko kuwataka kwao utafanya chochote kile hasa kuwapa pesa ili wakuvulie.

Be a Man - Wewe acha kujibu Txt zake kabisa wala kumtafuta, Usi-mblock atajua ulikua tapeli, Akipiga pokea mwambie niko bussy ntakucheki.

Usimcheki, Akikucheki mchane ukweli, Let her go!!
 
Back
Top Bottom