Mwanaume kuwa provider ni suala la kihistoria na tamaduni tofauti tofauti hata kidini pia.
Lakini nyakati zimebadilika rafiki yangu.
Kwa sasa jukumu hilo linapaswa kuwa la kushirikiana kulingana na uwezo wa kila mmoja.
Sio pesa tu ndiyo humfanya mwanaume kuwa provider, bali pia kuna kumuongoza mwanamke ili awe salama kihisia, kiakili na Kiafya [Hii nayo ni providing].
Mahusiano huwa mazuri ikiwa yatajengwa katika maono ya pamoja.
Uhusiano huwa mzuri ikiwa wote mna ushirikiano katika majukumu na si kwasababu ya shinikizo la kitamaduni au kidini pekee.
Wote mnapaswa kuwajibika huku mkilikimbizia lengo lenu kuu pamoja
.
CC: Qashy Lilith