Nimemtongoza juzi Jumamosi, leo kaanza kuniomba pesa

Nimemtongoza juzi Jumamosi, leo kaanza kuniomba pesa

Sasa kwani huwa tunataka nini mkuu? Ni ngono, hayo mengine huwa yanakuja baadae. Kama kuna jambo rasmi lisilohusiana na ngono huwa linazungumzwa kwanza ndo namba zinafata

Amuulize tu, hiyo elfu hamsini watafanya mara ngapi? Mtu anauza wewe unataka mapenzi.
Kama uko below 25 dating for fun it's okay - Have fun.

Ila kama uko Over 25, Play time is over. Ni muda wa kutafuta mke wa Maisha.
 
Wakuu

Labda mnisaidie mawazo ili nijue nakimbia au naweka kambi.

Huyu binti ni single maza tumekutana juzi kwenye usafiri wa umma nikamtongoza akakubali.
Leo asubuhi naamka nakutana na message ya kuombwa 50k.

Ikumbukwe hapa bado sijamtia wala sijamgusishia lolote kuhusu kutiana ila kaanza kuomba pesa.
Wakuu nipeni mawazo yenu kwenye hili jambo.
Download section 👇, download failed
 
Wakuu

Labda mnisaidie mawazo ili nijue nakimbia au naweka kambi.

Huyu binti ni single maza tumekutana juzi kwenye usafiri wa umma nikamtongoza akakubali.
Leo asubuhi naamka nakutana na message ya kuombwa 50k.

Ikumbukwe hapa bado sijamtia wala sijamgusishia lolote kuhusu kutiana ila kaanza kuomba pesa.
Wakuu nipeni mawazo yenu kwenye hili jambo.
Achana na masuala ya kutongoza, Wanawake siku hizi hawataki kutongozwa na kuzungushana .

Kwanza amekurahisishia.

Kwakua amekuomba Hela, muombe K.

Akikatalia K, katalia Hela.
 
Miaka kadhaa nyuma katika pita pita za social media nilikutana na binti mmoja ambae nilisoma nae Primary, takriban miaka 25 iliyopita.

Nikawasiliana nae na kama ilivyo ada tukabadilishana namba (hata hakuwa ananikumbuka zaidi ya kuamini maneno yangu tu baada ya kumtajia shule na darasa).

Katika maongezi kabla hata ya kukutana, ghafla akapatwa na 'shida', 'mzigo' wake ulikwama bandarini na kuwa alihitaji Mil. 1 ya haraka.

Kwanza nilimwambia subiri nitakucheki, ila ikawa kama deni. Nikaona kwanini najitesa kwa mtu ambae hata hanijui. Nilimchana live tu kuwa sio kwamba sina hiyo pesa lakini siwezi kukupa sababu kwanza ulikuwa hata hunijui hata baada ya kukumbusha, kama isingekuwa unawasiliana na mimi ungeomba kwa nani hiyo pesa, sio kila anaekuomba namba ana nia ya kukutongoza kimapenzi na mwisho kabisa sio kila mwanaume utakaempata ni ukombozi wa ufukara wako.

Japo ilikuwa ni kwenye simu, lakini sauti yake ilisikika kabisa kuwa alifedheheka. Na baada ya hapo sikupokea tena simu zake japo alijaribu sana kunipigia.
Kuna wakati ni bora kuwachana ukweli tu hawa viumbe.
Wewe ni mmoja wa asilimia chache ya wanaume kamili hapa duniani.

Uli destroy her Ego, Alifikiri ukimpa 1M baadaye utaomba sex kulingana labda na uzuri wake anaodanganywa na Weak men kwamba anao then mtapunguziana au utamsamehe kabisa.

Only Weak Men destruct themselves with pleasure.
 
Niliacha kupokea simu zake baada ya kumwambia ukweli, hivyo alijua kuwa kayaboronga. Kwa muelewa alipata funzo la kutorudia kwa mwingine, mimi nilijitumia kama darasa tu la kumfunza.
Nakubaliana na wewe lkn huenda kungekuwa na maisha baada ya kumwambia ukweli,huenda mngekuwa na urafiki wenye afya kwakuwa kuna kitu ulimfundisha
 
Wewe ni mmoja wa asilimia chache ya wanaume kamili hapa duniani.

Uli destroy her Ego, Alifikiri ukimpa 1M baadaye utaomba mzigo then mtapunguziana au utamsamehe kabisa.

Only weak Man destruct themselves with pleasure.
Kuna wanaume wangemwingilia huyo mwanamke na huyo 1m asiipate na bado angeendelea kuipeleka. Mwanamke anayeuza hata bure anatoa.
 
Kwani mke unamtaka ili umfanyaje?
Infact lengo kuu la kuoa ni Company - Kubalance equation.

Ingekua kuoa ni sababu ya ngono tu, Mimi nisingeoa, Ningekua nalipia tu kila nikijisikia nyege.

Ningekua nabadilisha utamu tu kilasiku, Jana mwembamba, Leo mweupe, kesho mweusi, Keshokutwa chibonge yanini kuoa mmoja wakati lengo ni utamu pekee?

Mapenzi ni zaidi ya ngono.

Mwanamke sio chombo cha Starehe.

Change your Mentallity.
 
Kuna wanaume wangemwingilia huyo mwanamke na huyo 1m asiipate na bado angeendelea kuipeleka. Mwanamke anayeuza hata bure anatoa.
Infact ni kweli kuna Men ambao watakua wanamkula for free.

Lakini hilo haliongezi wala kupunguza point yangu ya kutokujirahisisha kwa wanawake na kupoteza potential zako just for sex.
 
Mpe, wewe umemtongoza siku ya kwanza, yeye kangoja siku 3; shida Iko wapi? Wakati mwingine mnawalaumu au wanawake Kwa sababu you are not Men enough!

Wewe unafikiri ni Nini mwanamke aliyekuona siku Moja ukamtongoza anavutiwa nacho na wewe? Zaidi ya pesa? Kama ulikuwa unatafuta mwanamke sound, ungemzoea, akawa rafiki then umtongoze!

Wewe kumtongoza kwa nia ya kulala naye is as selfish as yeye kukuomba pesa, it goes hand in hand, wewe unautaka Mwili wake na hakupendi, kwa nini asiombe hela?

Kwa nini wewe uone Hana maadili kwa kuomba hela, na kufikiri Wewe una maadili kwa kumwambia unampenda hiyo hiyo uliyomwona; muwe mna tumia akili baada ya kiwatweza hawa Dada zetu!

Kama huna hela mwache mtoto wa watu, Nenda katongoze ndugu zako au watu uliowazoea wanaokupenda natural, pumbavu Kabisa, vijana wa hovyo binti!
Acheni kudanganya vijana, mtu kaomba kuwa kwenye urafiki, wameshakubaliana kuwa marafiki ni sawa kabisa. Huo urafiki unajengwa kwenye misingi gani? Unadhani ni sawa the first time mnaanza urafiki mtu aanze kuomba pesa?

Wadada baadhi wamekuwa wa hovyo tu, hawawezi hata kuvumilia wakamfaham mtu kidogo, wapo kibiashara zaidi.

Mdada wa hivyo unamwambia mkutane sehemu ili mfanye exchange, akupe uchi in exchange for cash. Otherwise hafai kuwa kwa mahusiano.
 
What is the depth of love you idiot? Matapeli wa Dada zetu nyinyi! Kwa nini huyo mwanaume asingoje afaham mwanamke ambaye haombi hela? Mimi sijawahi kasirika kuombwa hela, why? I don’t date wanawake wasiofaa!
 
Idiot tena mkuu! Basi tufunge mjadala...
 
Infact lengo kuu la kuoa ni Company - Kubalance equation.

Ingekua kuoa ni sababu ya ngono tu, Mimi nisingeoa, Ningekua nalipia tu kila nikijisikia nyege.

Ningekua nabadilisha utamu tu kilasiku, Jana mwembamba, Leo mweupe, kesho mweusi, Keshokutwa chibonge yanini kuoa mmoja wakati lengo ni utamu pekee?

Mapenzi ni zaidi ya ngono.

Mwanamke sio chombo cha Starehe.

Change your Mentallity.
OK, twende taratibu. Wakati wewe umemuona binti barabarani ukaomba namba ni kigezo kipi kisichohusisha ngono ulikitumia kusema hii namba nachukua nione kama anafaa kuwa mke?
 
Infact ni kweli kuna Men ambao watakua wanamkula for free.

Lakini hilo haliongezi wala kupunguza point yangu ya kutokujirahisisha kwa wanawake na kupoteza potential zako just for sex.
Sikia mkuu, mara zote mwanamke msiyefahamiana halafu ukataka namba yake bila kuwasilisha jambo rasmi kwanza akili yake straight inaenda kwenye ngono, hiyo ni nature. Sasa, wanawake wanaouza miili yao wamegawanyika sehemu mbili, direct na indirect ila as long as kakuomba jambo linalohusisha pesa mwanzoni huyo anakuuzia.

TATIZO LENU MNATAKA MALAYA WAACHE UMALAYA WAWE WAKE ZENU NDO MAANA NDOA HAZIDUMU.
 
OK, twende taratibu. Wakati wewe umemuona binti barabarani ukaomba namba ni kigezo kipi kisichohusisha ngono ulikitumia kusema hii namba nachukua nione kama anafaa kuwa mke?
Kwanza kila mwanaume kichwani kuna View ya mwanamke amaijenga, Maybe mdada fulani mpole aliyevalia kiheshima ukiachana na zile sifa za ndani kama Heshima, uwajibikaji na Nidhamu.

Sasa ukikutana na someone akafit kwenye hiyo puzzle roho inashtuka hivyo una Muapproach.

Lengo la kumuaporoach ni kutaka kujenga naye ukaribu ili umjue vizuri na upate kuona kama je, tabia zake za ndani zinakufaa pia?

Ukigundua anasifa zinazokufaa like uaminifu, upendo, maadili, uvumilivu, uwezo wa mawasiliano, na utayari wa kujenga familia pamoja, Then there she is.

Ukigundua hakufai ni nje tu ndiyo anajiweka kiheshima - Unaachana naye, She is not your type.
 
Sikia mkuu, mara zote mwanamke msiyefahamiana halafu ukataka namba yake bila kuwasilisha jambo rasmi kwanza akili yake straight inaenda kwenye ngono, hiyo ni nature. Sasa, wanawake wanaouza miili yao wamegawanyika sehemu mbili, direct na indirect ila as long as kakuomba jambo linalohusisha pesa mwanzoni huyo anakuuzia.

TATIZO LENU MNATAKA MALAYA WAACHE UMALAYA WAWE WAKE ZENU NDO MAANA NDOA HAZIDUMU.
Maneno hayo ni ya kueneza mitazamo hasi kuhusu wanawake.

Lakini ni disrespect kusema kila mwanamke hufikiria ngono pale ukimuomba namba.

Kila mtu, mwanamke au mwanaume, anapaswa kuheshimiwa na kuchukuliwa kama mtu binafsi, bila kujengwa dhana potofu.

Ndoa za kudumu zinahitaji heshima, upendo, na ushirikiano, siyo mtindo wa maisha fulani kama vile Umalaya .
 
Kwanza kila mwanaume kichwani kuna View ya mwanamke amaijenga, Maybe mdada fulani mpole aliyevalia kiheshima ukiachana na zile sifa za ndani kama Heshima, uwajibikaji na Nidhamu.

Sasa ukikutana na someone akafit kwenye hiyo puzzle roho inashtuka hivyo una Muapproach.

Lengo la kumuaporoach ni kutaka kujenga naye ukaribu ili umjue vizuri na upate kuona kama je, tabia zake za ndani zinakufaa pia?

Ukigundua anasifa zinazokufaa like uaminifu, upendo, maadili, uvumilivu, uwezo wa mawasiliano, na utayari wa kujenga familia pamoja, Then there she is.

Ukigundua hakufai ni nje tu ndiyo anajiweka kiheshima - Unaachana naye, She is not your type.
Mkuu, ukitaka mke chukua mwanamke ambaye mlifahamiana katika mambo mengine. Hii ya dada samahani naomba namba ni too risky.

Yaani lile swali la ilikuaje akawa mkeo jibu liwe ni huyu ni mtoto wa mzee fulani tumekua nae au namfahamu kupitia kazi tulizofanya pamoja miaka 5 kabla ya kuwa wapenzi, au tupo mtaa mmoja tumefahamiana miaka 4 kabla ya uchumba. N.k
 
Back
Top Bottom