Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Kila mwanamke ukimuomba namba bila kuweka wazi jambo rasmi kwanini unahitaji namba ngono lazima ije kichwani kwake.Maneno hayo ni ya kueneza mitazamo hasi kuhusu wanawake.
Lakini ni disrespect kusema kila mwanamke hufikiria ngono pale ukimuomba namba.
Kila mtu, mwanamke au mwanaume, anapaswa kuheshimiwa na kuchukuliwa kama mtu binafsi, bila kujengwa dhana potofu.
Ndoa za kudumu zinahitaji heshima, upendo, na ushirikiano, siyo mtindo wa maisha fulani kama vile Umalaya .
Nikuulize, katika washkaji zako, kuna hata mmoja ulikutana naye barabarani humjui ukamsimamisha ukamuomba namba ili muwe washkaji?