Nimemtongoza juzi Jumamosi, leo kaanza kuniomba pesa

Tumia hii mbinu ili usije ukapata hasara.
Jifanye hiyo hela unayo cash afu unaona uvivu kwenda kwa wakala kumtumia.mwambie aje achukue mwenyewe, kwa tabia za wanawake walivyo waroho wa pesa atajaa kingi atakuja ghetto,akifika ghetto we mpige pumb.u kisha mpe elfu 30 mwambie ndo uliyonayo afu mpotezee.
Huyo single maza wako anaonekana njaa kali sana.
 
Wakuu
Labda mnisaidie mawazo ili nijue nakimbia au naweka kambi.
Huyu binti ni single maza tumekutana juzi kwenye usafiri wa umma nikamtongoza akakubali.
Leo asubuhi naamka nakutana na message ya kuombwa 50k.
Ikumbukwe hapa bado sijamtia wala sijamgusishia lolote kuhusu kutiana ila kaanza kuomba pesa.
Wakuu nipeni mawazo yenu kwenye hili jambo.
Ulitaka akuombe nini? Damu? Na wewe ulivyomtongoza ulitaka akupe nini? Acha ubahili, huwezi kuwapa pesa basi endelea kuwaita Shemeji, waweza kupata huruma.
 
Tumia hii mbinu ili usije ukapata hasara.
Jifanye hiyo hela unayo cash afu unaona uvivu kwenda kwa wakala kumtumia.mwambie aje achukue mwenyewe, kwa tabia za wanawake walivyo waroho wa pesa atajaa kingi atakuja ghetto,akifika ghetto we mpige pumb.u kisha mpe elfu 30 mwambie ndo uliyonayo afu mpotezee.
Huyo single maza wako anaonekana njaa kali sana.
Akija anavaa chupi nyeupe na pedi yenye damu.
 
Wakuu
Labda mnisaidie mawazo ili nijue nakimbia au naweka kambi.
Huyu binti ni single maza tumekutana juzi kwenye usafiri wa umma nikamtongoza akakubali.
Leo asubuhi naamka nakutana na message ya kuombwa 50k.
Ikumbukwe hapa bado sijamtia wala sijamgusishia lolote kuhusu kutiana ila kaanza kuomba pesa.
Wakuu nipeni mawazo yenu kwenye hili jambo.
Mblock tu mpuuzi huyo
 
Piga chini fasta!!
 
Huyo mwanamke ndo waifu matirio!
Yaani kakaa siku tatu kweli bila kuomba hela? Halafu kaomba 50k tu!
Kawaida ni kwamba ukitongoza mchana, jioni unaletewa bill ya:
Kodi
Kioo cha simu
Hajala wiki nzima
Kikoba
Mtoto aongezewe àda
 
Wakuu
Labda mnisaidie mawazo ili nijue nakimbia au naweka kambi.
Huyu binti ni single maza tumekutana juzi kwenye usafiri wa umma nikamtongoza akakubali.
Leo asubuhi naamka nakutana na message ya kuombwa 50k.
Ikumbukwe hapa bado sijamtia wala sijamgusishia lolote kuhusu kutiana ila kaanza kuomba pesa.
Wakuu nipeni mawazo yenu kwenye hili jambo.
Alivyokubali siku hiyo hiyo hukushangaa.
 
Leo asubuhi naamka nakutana na message ya kuombwa 50k.
Ikumbukwe hapa bado sijamtia wala sijamgusishia lolote kuhusu kutiana ila kaanza kuomba pesa.
Wakuu nipeni mawazo yenu kwenye hili jambo.
Mboni gemu over hapo huyo ni kumuita guest au lodge iliyotulia pigapumbu tani yako ukimaliza mpe 50k aende, au mpaka hapo bado haujaelewa nini? Anataka kutombwa ila anacheza na saikolojia yako
 
Mwambie afate hiyo pesa Lodge, tena iwe mida mibaya jioni. Akija chakata then mpe 25 tu. Asipokuja atakuwa kaokoa pesa yako.
 
Piga chini.

Mindset ya wanawake wasasa ni kwamba ukichukua no yake unamtaka kingono tu.

Wanafikiri uko kuwataka kwao utafanya chochote kile hasa kuwapa pesa ili wakuvulie.

Be a Man - Wewe acha kujibu Txt zake kabisa wala kumtafuta, Usi-mblock atajua ulikua tapeli, Akipiga pokea mwambie niko bussy ntakucheki.

Usimcheki, Akikucheki mchane ukweli, Let her go!!
Miaka kadhaa nyuma katika pita pita za social media nilikutana na binti mmoja ambae nilisoma nae Primary, takriban miaka 25 iliyopita.

Nikawasiliana nae na kama ilivyo ada tukabadilishana namba (hata hakuwa ananikumbuka zaidi ya kuamini maneno yangu tu baada ya kumtajia shule na darasa).

Katika maongezi kabla hata ya kukutana, ghafla akapatwa na 'shida', 'mzigo' wake ulikwama bandarini na kuwa alihitaji Mil. 1 ya haraka.

Kwanza nilimwambia subiri nitakucheki, ila ikawa kama deni. Nikaona kwanini najitesa kwa mtu ambae hata hanijui. Nilimchana live tu kuwa sio kwamba sina hiyo pesa lakini siwezi kukupa sababu kwanza ulikuwa hata hunijui hata baada ya kukumbusha, kama isingekuwa unawasiliana na mimi ungeomba kwa nani hiyo pesa, sio kila anaekuomba namba ana nia ya kukutongoza kimapenzi na mwisho kabisa sio kila mwanaume utakaempata ni ukombozi wa ufukara wako.

Japo ilikuwa ni kwenye simu, lakini sauti yake ilisikika kabisa kuwa alifedheheka. Na baada ya hapo sikupokea tena simu zake japo alijaribu sana kunipigia.
Kuna wakati ni bora kuwachana ukweli tu hawa viumbe.
 
Kama hamna pesa mnahangaika kutongoza wanawake wa kazi gani?
Kihela hicho ni cha kulia kweli mkuu?
Mshauri atongoze wa levo yake,kuna watu hiyo 50k ni mtaji kabisa na maisha yanaenda,huyo ambaye anaomba 50k awatafute watu ambao kwao 50k ni hela ndogo sana.Just imagine mtu anafanya kazi,kwa mwezi analipwa 600k,inamaana kwa siku nzima anaihangakia 20k tu,lazima aone kutoa 50k kwa pamoja ni hela kubwa,ila wewe ambaye labda kipato chako ni 300k kwa siku huoni kama ni hela nyingi,japo humu JF baadhi ya watu mnajifanya ni matajiri,ila mioyo yenu inawajua uhalisia wenu.
 
Back
Top Bottom