Nimemtongoza juzi Jumamosi, leo kaanza kuniomba pesa

Mkuu, hapo hujamsaidia mwenzetu. Hawa wanaume wa siku hizi wanahitaji elimu la sivyo kukatana mapanga na kulia hakuishi.
 
We jamaa povu limekutoka Kweli Kweli 😂
 
Bora ww mm hata sijatongoza, nilimuomba namba tu ananiita wangu,ananimba pesa ya chupi dozen 24K😂😂😂
 
Yaani tangu jumamosi hadi leo jumanne ndio anakuomba pesa?

Huyu mtu ni mstaarabu sana, wengi huwa wanaomba siku hiyohiyo.
 
Vipi kama
Vipi kama mkishirikiana kutafuta baadae hizo mali akaenda kula na mwingine huogopi?

Kwanini mwanamke asitafute huku na.mwanaume huko baadae waje kula pamoja ila kwa sharti la mwanaume kuendelea kuprovide Hela Kwa kipindi hicho?
 
Umeongea ukweli kabisa kamanda. Nilichokielewa hapa ni kwamba huu ni muamala uliojificha katika neno "nakupenda"
 
We ulivomtongoza ulimwambiaje kwani? unampenda ama unatamani kumfahamu zaidi?
 
😂
 
Hapo ni full kuviziana. Wewe unataka kula tamu kwanza ndio utoe hela, huku yeye anataka hela kwanza ndio atoe utamu
 
Vipi kama

Vipi kama mkishirikiana kutafuta baadae hizo mali akaenda kula na mwingine huogopi?

Kwanini mwanamke asitafute huku na.mwanaume huko baadae waje kula pamoja ila kwa sharti la mwanaume kuendelea kuprovide Hela Kwa kipindi hicho?
Ni muhimu kila mmoja kuwa na uhuru wa kutafuta na kujiendeleza kimaisha.

Lakini kama wanandoa ni muhimu pia kuwa na makubaliano ya wazi na ya haki kuhusu majukumu ya kifedha.

Kama tutashirikiana kwa dhati, kila mmoja anapaswa kuchangia, na mwanaume pia ntapaswa kuwa na jukumu la kuendelea kuwa msaada mkubwa zaidi wakati wote.

Lengo ni kujenga ustawi wa pamoja, siyo kwa kuhatarisha usawa na uaminifu wa ndoa kama unavyosema.

Labda ungezungumzia akidai Talaka ili tugawane mali sababu ya tamaa, lakini sasa Ukishamtolea binti mahari na ukaishi naye zaidi ya miezi mi3 kisheria ni mkeo na anakua ni part ya mali alizokukuta nazo, Huna pa kukimbilia.

Wewe una maoni gani kuhusu hili?
 
Kwa maono yangu nakataa kutafuta nae pamoja ..
Naenda kwa ambae ameshajipata na tunafunga ndoa
That the best solution
 
Yaan anaomb million moja kuptia cmu duuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…