Nimemtongoza mke wangu kwa akaunti fake TikTok kanikubali, tena yupo tayari kuolewa

Mimi nadhani hakukosea kumpima mke wake, shida labda kuja kueleza hapa kwenye jukwaa. Lakini kwanini mwanamke akubali kutongozwa wakati anajua ana mume ? Na wanaokupinga ni wale ambayo hawako tayari kukubali ukweli au nawao wanatabia mbaya. Mimi nadhani kama unapata nafasi ya kumjua modo hiyo ni bahati, ukajua na ukafanya maamuzi Mapema
 
Inaitwa Flirting wanawake wanapenda sana, especially mume au boyfriend wake ukiwa kauzu yaani haujawahi ata kumuita baby, kumsifia etc.

Wanawake wengi wanapenda kutongozwa tongozwa sana. Mtongoze ata kama ni mke wako.
Ha ha ha

Mkuu hii ya β€œMtongoze hata kama mkeoβ€πŸ˜‚πŸ˜‚NIMEICOPY
 
Achana nae kuna watu humu akili zao visoda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…