Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Aisee yaani una nisnitch Kwa Mzee wangu Ushimen, ili ununuliwe kAshata ehhππ.πππππππ
Mwanao Intelligent businessman hovyo kupindukia aiseeee
Soda sipendelei, vitu vyangu ni ugali kilo 1 tuπTangu amehamia daslam, hadi kula yake imebadilika na hamalizi hata soda tukitoka lazima aache kidogo...π€£π€£
au niku printie mkekaHapo mkuu umenionea tena sana
ππππππππ
ACHA USHAMBA.Aisee hawa wanawake ni hatari.
Mke wangu anapenda sana TikTok sasa kuna siku nimeingia kwenye acc yake nimekuta kuna vijana wanamtongoza wengine ana wajibu wengine hajibu. Kifupi nimeshindwa kupata flow nzuri kwani nadhani huwa anafutaga chats.
Sasa nikatengeneza Akaunti fake TikTok kwa majina tofauti. Wiki nzima tuko tunaenjoy mapenzi mtandaoni muda mwingine namchatisha tuko wote sebuleni yeye anajiachia kumbe ni mimi mume wake. Nimemtongoza na amekubali na amekubali kuolewa tena.
Kifupi huyu inawezekana akitokea jamaa yuko serious anaondoka nae.
NACHUKIA SANA WANAWAKE HOYA HOYA. Tuishi nao lakini tusiwaamini asilimia 90%.
We mwite geto akija piga mzigo kama humjui, afu mkirud om usimuulize chochote.Sasa kukutana haitawezekana si ni mtu mmoja
Mtafutie mtu amuoeAisee hawa wanawake ni hatari.
Mke wangu anapenda sana TikTok sasa kuna siku nimeingia kwenye acc yake nimekuta kuna vijana wanamtongoza wengine ana wajibu wengine hajibu. Kifupi nimeshindwa kupata flow nzuri kwani nadhani huwa anafutaga chats.
Sasa nikatengeneza Akaunti fake TikTok kwa majina tofauti. Wiki nzima tuko tunaenjoy mapenzi mtandaoni muda mwingine namchatisha tuko wote sebuleni yeye anajiachia kumbe ni mimi mume wake. Nimemtongoza na amekubali na amekubali kuolewa tena.
Kifupi huyu inawezekana akitokea jamaa yuko serious anaondoka nae.
NACHUKIA SANA WANAWAKE HOYA HOYA. Tuishi nao lakini tusiwaamini asilimia 90%.
Atokee Mara ngapi?Kifupi huyu inawezekana akitokea jamaa yuko serious anaondoka nae.
Hukutunza risiti tuone mwamba alivyojimwambafai[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kabisa, eti wanamuona mjinga akati ni njia nzuri ya kumfahamu mwenzio madhaifu yake ili ujue unaishi vipi. Me pia nishawai mtest mzee kwa number fake (cas hatumii instagam wala ma social network ya kipuuzi) but eeh sitasahau alivonfokea kwa sms hahah,, manake nlijifanya ni mdada wa supermarket hua namuona akija ananivutia sana, aisee aliandika "we binti, me nina mke mzuri sana na watoto wazuri na nawapenda kuliko chochote, toa usenge wako furauni shetan mkubwa, na nikikujua takufanyia kitu mbayo hutanisahau mbuzi wewe",
nkasema moyoni, kweli nina mume[emoji23]
Ahahahahah anapenda vya nazi tuu mwanao hovyoTangu amehamia daslam, hadi kula yake imebadilika na hamalizi hata soda tukitoka lazima aache kidogo...π€£π€£
Print ndgu πππau niku printie mkeka
Kwa kweli hata Mimi nimewahi tongoza Mke wangu akawa tayari kuja kuliwa ,nilishangaa sana π€£π€£π€£π€£.Aisee hawa wanawake ni hatari.
Mke wangu anapenda sana TikTok sasa kuna siku nimeingia kwenye acc yake nimekuta kuna vijana wanamtongoza wengine ana wajibu wengine hajibu. Kifupi nimeshindwa kupata flow nzuri kwani nadhani huwa anafutaga chats.
Sasa nikatengeneza Akaunti fake TikTok kwa majina tofauti. Wiki nzima tuko tunaenjoy mapenzi mtandaoni muda mwingine namchatisha tuko wote sebuleni yeye anajiachia kumbe ni mimi mume wake. Nimemtongoza na amekubali na amekubali kuolewa tena.
Kifupi huyu inawezekana akitokea jamaa yuko serious anaondoka nae.
NACHUKIA SANA WANAWAKE HOYA HOYA. Tuishi nao lakini tusiwaamini asilimia 90%.
Kaka mimi mwenyewe nimejifunzaKwa kweli hata Mimi nimewahi tongoza Mke wangu akawa tayari kuja kuliwa ,nilishangaa sana π€£π€£π€£π€£.
Fundisho.Usiwekeza Nguvu Wala kujaza akili yako Kwa mwanamke ,hao ni chawaote ππ