Nimemtongoza mke wangu kwa akaunti fake TikTok kanikubali, tena yupo tayari kuolewa

Acha wivu sana mkuu..

Huo ni wivu ndio umesababisha ufanye hivyo.Wivu ukizidi Ni ugonjwa.
 
Kaka mimi mwenyewe nimejifunza
Mwanamke hajua kupenda Wala kujali ni watu wenye tamaa so awe mkeo au mama Yako au nani wote ni washenzi.

Sasa jifanye una mpa time sana ukidhani sijui ndio hatoliwa unapoteza mda.

Tena wale ambao Huwa qanajifanya wanajali sana ndio wanawake wanawasharau na kuja kuwaacha.

Huo ujinga nilishaacha,ishu na mwanamke Kwa Tahadhari sana ,fainali uzeeni.
 
Ujinga wake uko wapi?
Kumjua mkewe yukoje ni ujinga?
Kweli Kuna watu wa ajabu hii nchi.
Ndio mimi nashangaa,yaan kumjaribu mkewe iwe kosa??,ila hao wanaomshangaa jamaa nimegundua hawajaoa
 
Weka appointkent mkuu mkutane, akija akakukuta yamkin umalaya utampungua
 
Why are you testing poison πŸ˜„ 🀣 πŸ˜‚.
Wee jamaa mkorofi sana
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hapo huna mke kabisa mkuu. Fanya utafute mke uoe. Wewe bado ni kama bachela tu.
 
Aisee pole sana mie ni mmoja wa watu niliopiga sana wake za watu hata kupitia tiktok,insta na fb na Nina hakika na huyo wako nitakuwa nimeshapiga
 
Mtumie muamala bila yeye kuomba, mara ya pili umwambie aijie zawadi yake. Umtumie na nauli laki moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…