Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 2,597
- 3,965
- Thread starter
- #121
ndio yawezekanaNa akipata mwanaume bora kweli anasepa, au anapigwa kisela na kuleta dharau kubwa kwako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndio yawezekanaNa akipata mwanaume bora kweli anasepa, au anapigwa kisela na kuleta dharau kubwa kwako
sawa na ww ni mama etuYaani wewe na mkeo wote ni watoto
hatariKwahiyo mkuu unatafutiwa sub? [emoji23][emoji23]
umeona akili zako dogo😂😂😂Print ndgu 😂😂😂
Sio yawezekana. Iko hivyo unless ana morals, dini au malezi bora.ndio yawezekana
Acha wivu sana mkuu..Aisee hawa wanawake ni hatari.
Mke wangu anapenda sana TikTok sasa kuna siku nimeingia kwenye acc yake nimekuta kuna vijana wanamtongoza wengine ana wajibu wengine hajibu. Kifupi nimeshindwa kupata flow nzuri kwani nadhani huwa anafutaga chats.
Sasa nikatengeneza Akaunti fake TikTok kwa majina tofauti. Wiki nzima tuko tunaenjoy mapenzi mtandaoni muda mwingine namchatisha tuko wote sebuleni yeye anajiachia kumbe ni mimi mume wake. Nimemtongoza na amekubali na amekubali kuolewa tena.
Kifupi huyu inawezekana akitokea jamaa yuko serious anaondoka nae.
NACHUKIA SANA WANAWAKE HOYA HOYA. Tuishi nao lakini tusiwaamini asilimia 90%.
Wazee WA trickMuombe mkaonjane, trick atakayokuagia ndio ujue anatafunika kila mara
Mwanamke hajua kupenda Wala kujali ni watu wenye tamaa so awe mkeo au mama Yako au nani wote ni washenzi.Kaka mimi mwenyewe nimejifunza
Ndio mimi nashangaa,yaan kumjaribu mkewe iwe kosa??,ila hao wanaomshangaa jamaa nimegundua hawajaoaUjinga wake uko wapi?
Kumjua mkewe yukoje ni ujinga?
Kweli Kuna watu wa ajabu hii nchi.
Nani ambae hana sub? Bwanako hana sub?Kwahiyo mkuu unatafutiwa sub? [emoji23][emoji23]
Why are you testing poison 😄 🤣 😂.Aisee hawa wanawake ni hatari.
Mke wangu anapenda sana TikTok sasa kuna siku nimeingia kwenye acc yake nimekuta kuna vijana wanamtongoza wengine ana wajibu wengine hajibu. Kifupi nimeshindwa kupata flow nzuri kwani nadhani huwa anafutaga chats.
Sasa nikatengeneza Akaunti fake TikTok kwa majina tofauti. Wiki nzima tuko tunaenjoy mapenzi mtandaoni muda mwingine namchatisha tuko wote sebuleni yeye anajiachia kumbe ni mimi mume wake. Nimemtongoza na amekubali na amekubali kuolewa tena.
Kifupi huyu inawezekana akitokea jamaa yuko serious anaondoka nae.
NACHUKIA SANA WANAWAKE HOYA HOYA. Tuishi nao lakini tusiwaamini asilimia 90%.
Wee jamaa mkorofi sana
😂😂😂😂😂😂🙌🙌😂😂
Ahahahaha😂😂😂😂😂umeona akili zako dogo😂😂😂
Hapo huna mke kabisa mkuu. Fanya utafute mke uoe. Wewe bado ni kama bachela tu.Aisee hawa wanawake ni hatari.
Mke wangu anapenda sana TikTok sasa kuna siku nimeingia kwenye acc yake nimekuta kuna vijana wanamtongoza wengine ana wajibu wengine hajibu. Kifupi nimeshindwa kupata flow nzuri kwani nadhani huwa anafutaga chats.
Sasa nikatengeneza Akaunti fake TikTok kwa majina tofauti. Wiki nzima tuko tunaenjoy mapenzi mtandaoni muda mwingine namchatisha tuko wote sebuleni yeye anajiachia kumbe ni mimi mume wake. Nimemtongoza na amekubali na amekubali kuolewa tena.
Kifupi huyu inawezekana akitokea jamaa yuko serious anaondoka nae.
NACHUKIA SANA WANAWAKE HOYA HOYA. Tuishi nao lakini tusiwaamini asilimia 90%.
Akikua ataacha 😁😁😁😁Why are you testing poison 😄 🤣 😂.
Ni dhambiAisee pole sana mie ni mmoja wa watu niliopiga sana wake za watu hata kupitia tiktok,insta na fb na Nina hakika na huyo wako nitakuwa nimeshapiga
Una uhakika gani kama ni dhambiNi dhambi
Mtumie muamala bila yeye kuomba, mara ya pili umwambie aijie zawadi yake. Umtumie na nauli laki moja.Aisee hawa wanawake ni hatari.