Chief Kumbyambya
JF-Expert Member
- Jun 16, 2022
- 719
- 2,408
Toka jana anapiga taarabu za vijembe na kujisifu wanavyopendana ka bwana kake na mimi nikaona isiwe kesi, nikadownload ngoma moja ya jamaa wa Kenya anaitwa alvindo nimbo inaitwa Taka Taka.
Inasema... Unakataa kuwa demu yangu naenda kwa mrogi nakuroga unakufa... Na nakuja kwa mazishi yako kukula na kukunywa nikucheke ukizikwa... Unaringa unaringa nini.. Na sura mbaya hata kuliko mbuzi... Roho chafu kama ya shetani... Unazaniaga we ni nani!!... Taka taka.. Taka taka.. Mapepo zinakufata.. Hata sijui ni nini niliona kwako.. Ningejua ningempatia dadaako.
Halafu sauti ya juu, hadi muda huu nagonga hii ngoma mpaka kaona azime kiredio chake askilizie mapigo. Ahami mtu hapa fita fita mura.