Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora amekukataa maana angeishia kukusaga tu.Toka jana anapiga taarabu za vijembe na kujisifu wanavyopendana ka bwana kake na mimi nikaona isiwe kesi, nikadownload ngoma moja ya jamaa wa Kenya anaitwa alvindo nimbo inaitwa Taka Taka.
Inasema... Unakataa kuwa demu yangu naenda kwa mrogi nakuroga unakufa... Na nakuja kwa mazishi yako kukula na kukunywa nikucheke ukizikwa... Unaringa unaringa nini.. Na sura mbaya hata kuliko mbuzi... Roho chafu kama ya shetani... Unazaniaga we ni nani!!... Taka taka.. Taka taka.. Mapepo zinakufata.. Hata sijui ni nini niliona kwako.. Ningejua ningempatia dadaako.
Halafu sauti ya juu, hadi muda huu nagonga hii ngoma mpaka kaona azime kiredio chake askilizie mapigo. Ahami mtu hapa fita fita mura.
Mpe hela...Toka jana anapiga taarabu za vijembe na kujisifu wanavyopendana ka bwana kake na mimi nikaona isiwe kesi, nikadownload ngoma moja ya jamaa wa Kenya anaitwa alvindo nimbo inaitwa Taka Taka.
Inasema... Unakataa kuwa demu yangu naenda kwa mrogi nakuroga unakufa... Na nakuja kwa mazishi yako kukula na kukunywa nikucheke ukizikwa... Unaringa unaringa nini.. Na sura mbaya hata kuliko mbuzi... Roho chafu kama ya shetani... Unazaniaga we ni nani!!... Taka taka.. Taka taka.. Mapepo zinakufata.. Hata sijui ni nini niliona kwako.. Ningejua ningempatia dadaako.
Halafu sauti ya juu, hadi muda huu nagonga hii ngoma mpaka kaona azime kiredio chake askilizie mapigo. Ahami mtu hapa fita fita mura.
Baadae nagonga Hit Em Up ya 2pac. Hiyo ndo itakua funga kazi maana nina spika yenye uwezo wa kuendesha shughuli kwenye ArenaMpigie Hip Hop mzee
Ngoma kali sana hiyo......!!!Toka jana anapiga taarabu za vijembe na kujisifu wanavyopendana ka bwana kake na mimi nikaona isiwe kesi, nikadownload ngoma moja ya jamaa wa Kenya anaitwa alvindo nimbo inaitwa Taka Taka.
Inasema... Unakataa kuwa demu yangu naenda kwa mrogi nakuroga unakufa... Na nakuja kwa mazishi yako kukula na kukunywa nikucheke ukizikwa... Unaringa unaringa nini.. Na sura mbaya hata kuliko mbuzi... Roho chafu kama ya shetani... Unazaniaga we ni nani!!... Taka taka.. Taka taka.. Mapepo zinakufata.. Hata sijui ni nini niliona kwako.. Ningejua ningempatia dadaako.
Halafu sauti ya juu, hadi muda huu nagonga hii ngoma mpaka kaona azime kiredio chake askilizie mapigo. Ahami mtu hapa fita fita mura.
Namna hiyo ubaya ubwela! Ataelewa tuuToka jana anapiga taarabu za vijembe na kujisifu wanavyopendana ka bwana kake na mimi nikaona isiwe kesi, nikadownload ngoma moja ya jamaa wa Kenya anaitwa alvindo nimbo inaitwa Taka Taka.
Inasema... Unakataa kuwa demu yangu naenda kwa mrogi nakuroga unakufa... Na nakuja kwa mazishi yako kukula na kukunywa nikucheke ukizikwa... Unaringa unaringa nini.. Na sura mbaya hata kuliko mbuzi... Roho chafu kama ya shetani... Unazaniaga we ni nani!!... Taka taka.. Taka taka.. Mapepo zinakufata.. Hata sijui ni nini niliona kwako.. Ningejua ningempatia dadaako.
Halafu sauti ya juu, hadi muda huu nagonga hii ngoma mpaka kaona azime kiredio chake askilizie mapigo. Ahami mtu hapa fita fita mura.
Ungemalizia na neno “of time“ ingeleta maana zaidi.What a waste!!
Ngoja na sisi tuamie uswahilini 😁Toka jana anapiga taarabu za vijembe na kujisifu wanavyopendana ka bwana kake na mimi nikaona isiwe kesi, nikadownload ngoma moja ya jamaa wa Kenya anaitwa alvindo nimbo inaitwa Taka Taka.
Inasema... Unakataa kuwa demu yangu naenda kwa mrogi nakuroga unakufa... Na nakuja kwa mazishi yako kukula na kukunywa nikucheke ukizikwa... Unaringa unaringa nini.. Na sura mbaya hata kuliko mbuzi... Roho chafu kama ya shetani... Unazaniaga we ni nani!!... Taka taka.. Taka taka.. Mapepo zinakufata.. Hata sijui ni nini niliona kwako.. Ningejua ningempatia dadaako.
Halafu sauti ya juu, hadi muda huu nagonga hii ngoma mpaka kaona azime kiredio chake askilizie mapigo. Ahami mtu hapa fita fita mura.
🤣🤣🤣Dogo kujenga hujajenga Nyege na vijembe kwenye nyumba ya mwanaume mwenzio vya nnivya Nini ?
Milele amina ha ha ha.Kwa Mwendo Huu Mbowe paka gundi kwenye Kiti Anko.
Mmelutana zafananaToka jana anapiga taarabu za vijembe na kujisifu wanavyopendana ka bwana kake na mimi nikaona isiwe kesi, nikadownload ngoma moja ya jamaa wa Kenya anaitwa alvindo nimbo inaitwa Taka Taka.