Nimemtongoza mpangaji mwenzangu kanikataa halafu ananipigia taarabu

Toka jana anapiga taarabu za vijembe na kujisifu wanavyopendana ka bwana kake na mimi nikaona isiwe kesi, nikadownload ngoma moja ya jamaa wa Kenya anaitwa alvindo nimbo inaitwa Taka Taka.

Inasema... Unakataa kuwa demu yangu naenda kwa mrogi nakuroga unakufa... Na nakuja kwa mazishi yako kukula na kukunywa nikucheke ukizikwa... Unaringa unaringa nini.. Na sura mbaya hata kuliko mbuzi... Roho chafu kama ya shetani... Unazaniaga we ni nani!!... Taka taka.. Taka taka.. Mapepo zinakufata.. Hata sijui ni nini niliona kwako.. Ningejua ningempatia dadaako.

Halafu sauti ya juu, hadi muda huu nagonga hii ngoma mpaka kaona azime kiredio chake askilizie mapigo. Ahami mtu hapa fita fita mura.
wewe ndio umekosea maana hizo taarabu anazokupigia maana kakukubali ni juu yako kuongeza bidii ya kumtaka sio kumpigia vijembe
 
Toka jana anapiga taarabu za vijembe na kujisifu wanavyopendana ka bwana kake na mimi nikaona isiwe kesi, nikadownload ngoma moja ya jamaa wa Kenya anaitwa alvindo nimbo inaitwa Taka Taka.

Inasema... Unakataa kuwa demu yangu naenda kwa mrogi nakuroga unakufa... Na nakuja kwa mazishi yako kukula na kukunywa nikucheke ukizikwa... Unaringa unaringa nini.. Na sura mbaya hata kuliko mbuzi... Roho chafu kama ya shetani... Unazaniaga we ni nani!!... Taka taka.. Taka taka.. Mapepo zinakufata.. Hata sijui ni nini niliona kwako.. Ningejua ningempatia dadaako.

Halafu sauti ya juu, hadi muda huu nagonga hii ngoma mpaka kaona azime kiredio chake askilizie mapigo. Ahami mtu hapa fita fita mura.
Hahahaha usinikumbushe
 
Wewe siyo mwanaume. Wanaume hatunaga mipasho we lete demu ndani mzr zaidi yake uone
 
H
Aiseeh, naona bumper to bumper,
Unatongozaje mwanamke anasikiliza taarabu, au ndio ndege wafananao huruka pamoja
Wewe ni dhaifu sana
Hao Ni Kuku Wa Kienyeji Wanakuwaga Watamu Balaa Uswahilini Kuna Pisi Mnoo
 
Toka jana anapiga taarabu za vijembe na kujisifu wanavyopendana ka bwana kake na mimi nikaona isiwe kesi, nikadownload ngoma moja ya jamaa wa Kenya anaitwa alvindo nimbo inaitwa Taka Taka.

Inasema... Unakataa kuwa demu yangu naenda kwa mrogi nakuroga unakufa... Na nakuja kwa mazishi yako kukula na kukunywa nikucheke ukizikwa... Unaringa unaringa nini.. Na sura mbaya hata kuliko mbuzi... Roho chafu kama ya shetani... Unazaniaga we ni nani!!... Taka taka.. Taka taka.. Mapepo zinakufata.. Hata sijui ni nini niliona kwako.. Ningejua ningempatia dadaako.

Halafu sauti ya juu, hadi muda huu nagonga hii ngoma mpaka kaona azime kiredio chake askilizie mapigo. Ahami mtu hapa fita fita mura.
[emoji38]
 
Alishaona akikukubalia tu utamtangaza uvunje mahusioano yake,.
Kwa akili hizi alifanya sahihi kukukataa
Siwezi kumtangaza labda anitangaze yeye kwamba yule jamaa ukimpa anakula anakomba chakula chote na kulamba sahani juu
 
Jirani huwa atongozwi. Huwa anaombwa. Akikataa; basi. Akikubali fresh.

Mkitongozana ipo siku mtakaa chumba kimoja halafu faza'house atakosa kodi.
 
Back
Top Bottom