Nimemtongoza mpangaji mwenzangu kanikataa halafu ananipigia taarabu

Toka jana anapiga taarabu za vijembe na kujisifu wanavyopendana ka bwana kake na mimi nikaona isiwe kesi, nikadownload ngoma moja ya jamaa wa Kenya anaitwa alvindo nimbo inaitwa Taka Taka.

Inasema... Unakataa kuwa demu yangu naenda kwa mrogi nakuroga unakufa... Na nakuja kwa mazishi yako kukula na kukunywa nikucheke ukizikwa... Unaringa unaringa nini.. Na sura mbaya hata kuliko mbuzi... Roho chafu kama ya shetani... Unazaniaga we ni nani!!... Taka taka.. Taka taka.. Mapepo zinakufata.. Hata sijui ni nini niliona kwako.. Ningejua ningempatia dadaako.

Halafu sauti ya juu, hadi muda huu nagonga hii ngoma mpaka kaona azime kiredio chake askilizie mapigo. Ahami mtu hapa fita fita mura.
Wapumbavu wamekutana.
 
Unashindana na Ulipotokea Mkuu. Unachekesha. Dawa ya Mwanamke ni Mwanamke Mwenzake!! ThreadClosed.
 
Cc: Chaliifrancisco
hahaha dah umefukua kaburi?
 
Toka jana anapiga taarabu za vijembe na kujisifu wanavyopendana ka bwana kake na mimi nikaona isiwe kesi, nikadownload ngoma moja ya jamaa wa Kenya anaitwa alvindo nimbo inaitwa Taka Taka.

Inasema... Unakataa kuwa demu yangu naenda kwa mrogi nakuroga unakufa... Na nakuja kwa mazishi yako kukula na kukunywa nikucheke ukizikwa... Unaringa unaringa nini.. Na sura mbaya hata kuliko mbuzi... Roho chafu kama ya shetani... Unazaniaga we ni nani!!... Taka taka.. Taka taka.. Mapepo zinakufata.. Hata sijui ni nini niliona kwako.. Ningejua ningempatia dadaako.

Halafu sauti ya juu, hadi muda huu nagonga hii ngoma mpaka kaona azime kiredio chake askilizie mapigo. Ahami mtu hapa fita fita mura.
Yaani we bwege kweli unatongozaje kipumbavu hao hua ukitoka unamlete kijizawad amazing mara moja unampa day worker akusafishie chumba unampa buku 10 kama huna time nae ukirudi zawad kwa style hiyo unajikuta unakula bila kutongoza bwege wewe
 
Tulia wewee formula zote nazijua. Hapa anaishi na kajamaa kake ni kadereva ka daladala kamekonda balaa yani hapa natafuta vita nikatie mabanzi kajamaa kake
 
Toka jana anapiga taarabu za vijembe na kujisifu wanavyopendana ka bwana kake na mimi nikaona isiwe kesi, nikadownload ngoma moja ya jamaa wa Kenya anaitwa alvindo nimbo inaitwa Taka Taka.

Inasema... Unakataa kuwa demu yangu naenda kwa mrogi nakuroga unakufa... Na nakuja kwa mazishi yako kukula na kukunywa nikucheke ukizikwa... Unaringa unaringa nini.. Na sura mbaya hata kuliko mbuzi... Roho chafu kama ya shetani... Unazaniaga we ni nani!!... Taka taka.. Taka taka.. Mapepo zinakufata.. Hata sijui ni nini niliona kwako.. Ningejua ningempatia dadaako.

Halafu sauti ya juu, hadi muda huu nagonga hii ngoma mpaka kaona azime kiredio chake askilizie mapigo. Ahami mtu hapa fita fita mura.
Tafuta hela kenge wewe
 
Back
Top Bottom