Nimemtongoza mpangaji mwenzangu kanikataa halafu ananipigia taarabu

Bora amekukataa maana angeishia kukusaga tu.

Mwanaume unahangaika kujibizana na mwanamke kupitia taarabu kha!
 
Mpe hela...
Unatumia nguvu nyiingii...
 

Cc: Chaliifrancisco
 
Ngoma kali sana hiyo......!!!
 
Namna hiyo ubaya ubwela! Ataelewa tuu
 
Ngoja na sisi tuamie uswahilini 😁
 
Kama kuna la ziada basi unapewaa ...... Bu-ukuu

kwa vipi utanishinda una bao zoa.zoa

kwa vipi utanishinda una bao zoazoa,,
 
Tatizo umeshindwa kujizuia brother...
Mpangaji hatongozwi hua inatokea automatically tu mkulana ki- masikhara ( game likiwapendeza wote basi ndio utakua mchezo wenu, mpaka pale dhambi ya uzinzi itakapo wapiga kwa fedhea na majuto)
 
Mmelutana zafanana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…