Mwanaume Mtawala
Member
- Dec 11, 2024
- 13
- 12
Amekua akininyima unyumba kwa muda sana kila nikihitaji amekua akitoa sababu mara naumwa kichwa mara miguu alaf siku zingine nikifanikiwa kusex nae hua ananipa kama kunisusia wala hajishughulishi si kwa sauti wala vitendo.
Nimeishi nae takriban miaka 5. Watoto wangu ni wadogo sana Mkubwa na miaka 5 mdogo ana miaka 2 .hivi juzi mama yao alinambia kua kwao kuna mganga ametoka Kigoma kuja kuweka kinga kwenye familia yao baada ya hapo mganga akamwambia mama watoto kua siku si nyingi ndoa yenu itavunjika na kwel haijapita siku kadhaa imevunjika.