Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 1,353
- 3,060
Siyo huruma sema Mna Nyege sanaKwahiyo nawe ulioa!! Ama kwa hakika, wanawake tuna huruma sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo huruma sema Mna Nyege sanaKwahiyo nawe ulioa!! Ama kwa hakika, wanawake tuna huruma sana.
Aisee sasa ndoa bila tendo tenaVijana sijui mnafeli wapi,
Aisee Unavunja vipi ndoa Kwa kunyimwa unyumba?
Hilo nalo neno itabid nifanye uchunguziUna uhakika hao watoto ni wako
Shida nikila anapo rudi kwao tu hali ndio inazid badilika maana kwao wanapenda sana mambo ya wagangaJe ulikuwa ukipewa huo unyumba unautendea haki?? Au ndio mkeo anatoa mwisho wa siku anakuwa dissapointed hadi anaona bora ajitunzie kibubu chake tuuu. Wewe ndio wa kumfanya muda wote akutamani na atake kukupa kila wakati.
Halafu unamruhusu vipi mkeo ajihusishe na mambo ya waganga unakwama bro.
Sawapole sana kijana wangu, but kunyimwa unyumba au kutotoa ushirikiano mzuri on bed it depends on two things.
1- labda hua humuandai vizuri mkeo (hujui kumuandaa), so anakua bored badala ya kufurahia s3x, hua unamvamia tu umalize ulale, but s3x inategemea sana vile unamuandaa mwenzako.
Kifupi unabore.
2-Anahisi una mchepuko nnje, so anahisi unamsaliti, siwezi sema why anahisi hivo, but maybe alikuona, au alipata habari etc, au pengine unamazoea ya ukaribu usio wa kawaida na some ladies, hivo anakasirika. Wanawake hua tunaumia sana.
Mwisho nikushauri tu, jaribu kumuuliza mkeo anapenda nini mkiwa on bed, jua anachopenda, then uwe unamuandaa vizuri nae afurahi, uwe unambembeleza pia on bed, wanawake hua tunapenda kubembelezwa.
Trust me, atakua anakutaka kila wakati akikuona[emoji4]
SawaPole sana
Kakudanganya huyo kiakili zake yeye, sababu kapata anayempaisha zaidi yako.
Jiongeze endelea maisha yako.. Atakukumbuka.
🤣🤣🤣🤣Mtoa mada Unakatwa
Una uhakika hao watoto ni wakoAmekua akininyima unyumba kwa muda sana kila nikihitaji amekua akitoa sababu mara naumwa kichwa mara miguu alaf siku zingine nikifanikiwa kusex nae hua ananipa kama kunisusia wala hajishughulishi si kwa sauti wala vitendo.
Nimeishi nae takriban miaka 5. Watoto wangu ni wadogo sana Mkubwa na miaka 5 mdogo ana miaka 2 .hivi juzi mama yao alinambia kua kwao kuna mganga ametoka Kigoma kuja kuweka kinga kwenye familia yao baada ya hapo mganga akamwambia mama watoto kua siku si nyingi ndoa yenu itavunjika na kwel haijapita siku kadhaa imevunjika.
SadKwahiyo nawe ulioa!! Ama kwa hakika, wanawake tuna huruma sana.
Huyo ni mchawi sio bure😂😂😂Amekua akininyima unyumba kwa muda sana kila nikihitaji amekua akitoa sababu mara naumwa kichwa mara miguu alaf siku zingine nikifanikiwa kusex nae hua ananipa kama kunisusia wala hajishughulishi si kwa sauti wala vitendo.
Nimeishi nae takriban miaka 5. Watoto wangu ni wadogo sana Mkubwa na miaka 5 mdogo ana miaka 2 .hivi juzi mama yao alinambia kua kwao kuna mganga ametoka Kigoma kuja kuweka kinga kwenye familia yao baada ya hapo mganga akamwambia mama watoto kua siku si nyingi ndoa yenu itavunjika na kwel haijapita siku kadhaa imevunjika.
Hakika. Serikali isifumbie macho hili, sheria ipite shwaaaa.
Aahhh weee !!!! Yaani unyimwe unyumba then Uvumilie !? Acha basiiiVijana sijui mnafeli wapi,
Aisee Unavunja vipi ndoa Kwa kunyimwa unyumba?