Nimemuacha mke wangu niliezaa nae watoto wawili

Shida nikila anapo rudi kwao tu hali ndio inazid badilika maana kwao wanapenda sana mambo ya waganga
 
Sawa
 
Una uhakika hao watoto ni wako
 
Fukuza tena ungemwachia na kichwa moja ya pua..kwann akunyime au mganga anamega ..maana hawa kina hawa ,, akili zao wanazjua
 
Huyo ni mchawi sio bure😂😂😂
 
Ndoa Ina Siri kubwa aah......

Ndoa inaa aah

Ndoa Ina Siri kubwa aah

Ndoa inaa aah.....

Tabasamu langu ni faraja yako Ila wanasema hawajui wanasema.....

Mmmmmh nieke Koo sawa

Mke utamlinda mumeo kwa maombii iih ......

Hilo ni chaguo lako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…