Nimemuacha mke wangu niliezaa nae watoto wawili

Tafuta mchepuko, mlee watoto
Wazo safi sana. Arudiane na shemeji yetu, walee kizazi chao kumbuka hao watoto wakikua wakija kwako kukuliza (kuprove) kwanini baba ulitutelekeza sisi na mama hatowaambia kwamba Alinyimwa uchi.
 
Wazo safi sana. Arudiane na shemeji yetu, walee kizazi chao kumbuka hao watoto wakikua wakija kwako kukuliza (kuprove) kwanini baba ulitutelekeza sisi na mama hatowaambia kwamba Alinyimwa uchi.
Dah kurudiana ngumu sana maana ndio naweza kufa kwa presha
 
Pole sana ujipangemaisha yasonge
 
Vijana sijui mnafeli wapi,
Aisee Unavunja vipi ndoa Kwa kunyimwa unyumba?
Hili halijaoa..... Mke anaachwa kwasababu nyingi ila sio kunyimwa mchezo... Kama anafanya majukumu mengine unahitaji nini zaidi!!!
 
Je ulikuwa ukipewa huo unyumba unautendea haki?? Au ndio mkeo anatoa mwisho wa siku anakuwa dissapointed hadi anaona bora ajitunzie kibubu chake tuuu. Wewe ndio wa kumfanya muda wote akutamani na atake kukupa kila wakati.

Halafu

Hili halijaoa..... Mke anaachwa kwasababu nyingi ila sio kunyimwa mchezo... Kama anafanya majukumu mengine unahitaji nini zaidi!!!
Kaka huyo hatakua hajaoa maana ndoa inashikwa na tendo pia heshima na maelewano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…