nimemuelekeza Waziri wa Tamisheni kuanzia sasa wafanye tathmini: maeneo yote ambayo yana majengo yanayofaa

nimemuelekeza Waziri wa Tamisheni kuanzia sasa wafanye tathmini: maeneo yote ambayo yana majengo yanayofaa

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
651
Reaction score
433
Katika ujenzi wa madarasa, nimemuelekeza Waziri wa Tamisheni kuanzia sasa wafanye tathmini: maeneo yote ambayo yana majengo yanayofaa kufunikwa kwa kumalizia majengo ambayo yamejengwa kwa nguvu za wananchi, wasianzishe ujenzi wa majengo ya aina hiyo hiyo mapya. Fedha hiyo iende kutekeleza umaliziaji kwa majengo ambayo tayari yameshajengwa.

📍 Itilima - Simiyu.
📅 Septemba 14, 2026.

Amesema hayo wakati akizungumza na wananchi wa Itilima, mkoani Simiyu.
 

Attachments

  • VID-20260914-WA0114.mp4
    29.4 MB
Back
Top Bottom