Jirani yangu ana maduka ya jumla ni Muha. Kajenga na vyumba back yard kawaweka wanamfanyia kazi zake.Waha ni wachapakazi...wanawake Kwa wanaume..akileta ndugu tafuta biashara uwaaajiri....wanakuja kutafuta Tu maisha...mpe Duka akileta ndugu analeta cheap labour....Wengi wakikaa vizuri wanahama...waha sio omba omba ..
Umemaliza mkuu. Mods naomba ufunge uzi🤣🤣🤣Sasa mkuu pussy ule wewe,huku unatuhadithia tu utamu unaopata Kwa muha mwenye tako,kisha out of blue unataka tuumize kichwa kuwaza ni namna Gani unaweza kuendelea kula utamu bila jau?No way mkuu ukitaka asali lazima un'gatwe na nyuki,jikaze bob.
Ñwajua waha wauza machungwa waliojenga nyumba zaidi ya moja...Jirani yangu ana maduka ya jumla ni Muha. Kajenga na vyumba back yard kawaweka wanamfanyia kazi zake.
WAGOGO mshipa wa aibu ulikatika.Mimi nimeoa Muha yuko vizuri sana! Ana jamaa zake lakini hawaji hapa mara kwa mara, inaweza kupita hata miezi na wakija ni wa kuondoka siku hiyo!
Kama sikosei hizo tabia wanazo Wasambaa, Wajaluo na Wagogo!
Ni kweli mkuu sasa yeye anataka kumuoa lakini anataka mwanamke awe na maendeleo ili iweje, Mwanaume ndiyo anafanya maendeleo kwenye familia na siyo kumtegemea mwanamke afanye maendeleo ndani ya familia, chunguza wanawake wenye kazi nzuri na mshahara mzuri wanakuwa hawana maendeleo, Maendeleo yao ni kuvaa kupanga sehemu nzur na kukodi usafiri.Itakuaje kama zahanati wakati wewe ndio utakua kichwa wa nyumba unatoa maelekezo. Au wewe unapenda kua submissive to a woman?
Huo ni ujinga kwa kweli.hakiii nakwambia!
Kuna siku mtoto wangu by then alikuwa na miaka kama minne, aliuliza kwa sauti, sasa kwani humo mnakaa watu wa ngapi?
Nilijskia vibaaaaya!
AHAHAHHAHAHA siku hizi ni mkubwa nikimkumbusha anasema we mama acha tu, nimegundua maisha at some poit huwa ni magumu sana!
Kwa Hapa umeongea Pointi.Waha ni wachapakazi...wanawake Kwa wanaume..akileta ndugu tafuta biashara uwaaajiri....wanakuja kutafuta Tu maisha...mpe Duka akileta ndugu analeta cheap labour....Wengi wakikaa vizuri wanahama...waha sio omba omba ..
Shida yako wewe OKWI tumekujua unataka ukienda kwake umunyandue kwenye geto lake.Bila salamu!
Sifa nyingi anazo, msikivu, mtamu, ana tako, mpambanaji, ana heshima, mvumilivu na kadhalika. Na mimi hapa nimemuelewa, ila kwa sasa tatizo naloliona ni moja tu.
Anajaza ndugu sana kwake. Ananishi chumba na sebule lakini wageni hawakauki. Kwa wiki mara 2 mpaka tatu. Kuna nyakati wanaweza kuwa hata wanne, najiuliza wanalalaje pale.
Bado ni mtu anayejitafuta kimaisha naona kama atachelewa kufanya maendeleo kwa sababu matumizi ya kuhudumia ndugu ni makubwa kuliko kipato. Hata hela anazonichuna nyingi ni za kuzidiwa mahitaji ya nyumbani.
Sasa najiuliza kama tu hapo hana nafasi inakuwa hivyoz akihamia kwangu je si itakuwa kama zahanati?
Naambiwa hapa kwamba ndio tabia za waha. Ni kweli? Mnazimuduje?
Duuh Hii sasa imezidi.....hebu mshitue basi huenda amelala usingizi.Nisikilize mimi mkuu. Hapa leo kuna wengine wanaondoka, ijumaa wanakuja wengine. Lakini sioni akijutia, namsikilizia tu
Mnawaza mavi tu mda woteBila salamu!
Sifa nyingi anazo, msikivu, mtamu, ana tako, mpambanaji, ana heshima, mvumilivu na kadhalika.
Na hiyo ipo, kusevu hela ya gestShida yako wewe OKWI tumekujua unataka ukienda kwake umunyandue kwenye geto lake.
Sasa ukikuta ndugu zake stimu zinakata
😆😆
HahahaNa hiyo ipo, kusevu hela ya gest
Roho mbaya hiyo na uchoyoHiyo tabia waha wanayo sana wanapenda kurundikana na kufuatana kama mitume wa Yesu.
Sasa hapo roho mbaya na uchoyo viko wapi jirani?Roho mbaya hiyo na uchoyo
Kwann hupendi ndugu.?! Huoni km unafukuza baraka nyumbani kwako.!!!Sasa hapo roho mbaya na uchoyo viko wapi jirani?
Bila salamu!
Sifa nyingi anazo, msikivu, mtamu, ana tako, mpambanaji, ana heshima, mvumilivu na kadhalika. Na mimi hapa nimemuelewa, ila kwa sasa tatizo naloliona ni moja tu.
Anajaza ndugu sana kwake. Ananishi chumba na sebule lakini wageni hawakauki. Kwa wiki mara 2 mpaka tatu. Kuna nyakati wanaweza kuwa hata wanne, najiuliza wanalalaje pale.
Bado ni mtu anayejitafuta kimaisha naona kama atachelewa kufanya maendeleo kwa sababu matumizi ya kuhudumia ndugu ni makubwa kuliko kipato. Hata hela anazonichuna nyingi ni za kuzidiwa mahitaji ya nyumbani.
Sasa najiuliza kama tu hapo hana nafasi inakuwa hivyoz akihamia kwangu je si itakuwa kama zahanati?
Naambiwa hapa kwamba ndio tabia za waha. Ni kweli? Mnazimuduje?
Ndugu nawapenda ila sio hao wa january to december hawakauki. Waje lakini sio kila sikuKwann hupendi ndugu.?! Huoni km unafukuza baraka nyumbani kwako.!!!