Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Acha uchoyoNdugu nawapenda ila sio hao wa january to december hawakauki. Waje lakini sio kila siku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uchoyoNdugu nawapenda ila sio hao wa january to december hawakauki. Waje lakini sio kila siku
Duh hadi wasambaaa?Mimi nimeoa Muha yuko vizuri sana! Ana jamaa zake lakini hawaji hapa mara kwa mara, inaweza kupita hata miezi na wakija ni wa kuondoka siku hiyo!
Kama sikosei hizo tabia wanazo Wasambaa, Wajaluo na Wagogo!