Nimemuomba wife aniazime kiasi flani cha pesa, ameninyima, ila amejipost kwenye status yuko somewhere anakula bata na mashost zake

Tukiwaambia mwanamke ni chombo cha starehw mnatuona sie makatili. Haya nyie wachekeeni tuu.
Hao ni kwenda nao kitaliban.
Huyo wee muache kabisa yaanikale mbususu zingine usisumbuke nae tena
 
Wanaume wa hivi mpo kweli mkuu?
Nafikiri umemaliza
 
Mweee yaani mke yupo ana hela ndani alafu nikakope kwa marafiki....mwee sasa sii bora ukae na single ujus unakopa kwa marafiki tuu
 
Tukiwaambia mwanamke ni chombo cha starehw mnatuona sie makatili. Haya nyie wachekeeni tuu.
Hao ni kwenda nao kitaliban.
Huyo wee muache kabisa yaanikale mbususu zingine usisumbuke nae tena
Yaani wewe Mungu anakuona
 
Kwani si tulishakubaliana kuwa ni wabinafsi na zao ni zao? Cha ajabu nini tena?
 
Ata wanawake mungu anawao a walivyo kuwa na roho za kibinafsi na tamaa ya kumuondoa mwanaume hapa duniani waishi wao na shetani
Kwahiyo ndiyo chombo Cha starehe kweli?
 
Ni nchi gani calendar yao ina tarehe 45
 
Kwa hiyo we mzee, mshahara wa mwanamke una kazi gani
 
Wewe nini kinakuzui kukimbizana ana wanaume huko nje?
Wee mkopeshe mambo ya kwamba ana videmu huko nje basi ondoka ukakae weye peke
Amkopeshe nani sasa? Basi kama nikumbizana huko nje na wanaume aache pesa zangu, naye wakamhonge huko wanawake zake
 
Umeongea point hongera
 
Amkopeshe nani sasa? Basi kama nikumbizana huko nje na wanaume aache pesa zangu, naye wakamhonge huko wanawake zake
Wewe mume yupo kwenye matatizo msaidie mumeo acha ujuaji.
Hao wanawake huko nje ni wa burudani wewe umewekwa ndani.
Sasa utamnyima alafu wee unanufaika nini.
Mijanamke mingine bwana....kama vyombo vya starehe vile
 
Ndio mwanamme yoyote yule ni chombo cha starehe mpaka pale atakapo dhihirisha kwa vitedo tofauti na hio. Kuna wanawake wacahache sana wanaweza toka kwenye chombo cha starehe na kuwa na sifa ya mke
Sasa huyo si ni mkewe! Muulize akwambie sababu yakunyimwa pesa na mkewe kuna mmojà alikuja na kesi hapa akaulizwa kisa, eti Mwanzo tulikuwa tunaweka wote mezani lakini alipojua nimezaa nje na mwanamke mwingine sijawahi ona hata mia, sasa ona mwanamke gani mjinga atafanya ujinga huo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…