Nimemuonea huruma mume wangu baada ya kukagua simu yake

Status
Not open for further replies.
Ukiolewa na ukawa na watt utamuelewa mtoa mada
Ndugu, tumetifautiana. Na muda uendavyo mambo hubadilika. Afya yako ndiyo mtaji wako. Mnakua wepesi kunena haya ila mabinti zenu wakiwa wananyanyasika ndo mnakuaga wa kwanza kuwafata na magleda kwa waume zao kuwarudisha home. Tumetofautiana. Afya yangu furaha yangu. Ni muda tu atarejea tena. Ndo maana amesema hamaliizi maneno yote na nimenwelewa. She is giving it a try kwakua ndo kamshika 1st time. Pia haimaanishi maybe ndo 1st time kwa jamaa kucheat.
 

Hujatujua vizuri
Tukianza kuchepuka huwa tunatoa mechi vizuri kuliko kawaida
 
Yaan ktk kutatua ujinga wenu ndo mnataka amani ila kwa sisi ndo retaliation[emoji23][emoji23][emoji23]

Maniooo
 
Macho hayana pazia hata mimi nikiona kizuri nakiangalia kuna watu kweli wamejaaliwa kudra zote za Mungu ,angalia kwa macho ikisha matamanio yako kamalizie kwa mkeo!
 
Sifanyagi ujinga kumtafuta mchepuko kwa sim yangu. Matumia ya huyohuyo mshenz mwenzie. Halaf kama ni mdomo tuu wa bibi mbona ninao nikitaka[emoji23][emoji23]
 
Ubora wa mwanaume ni kutimiza majukumu tu?
Ambayo hata tukiwa wenyewe tunaweza kutimiza?!
Majukumu sindio kitu cha msingi mnasemaga wenyewe humu raha ya mwanaume akuhudumie! Maana mkiachiwa mpambane wenyewe mnaonaga mziki mnene mnaishia kulia lia hovyo, mkipigwa mkuyenge tu mapenzi motomoto mnalalamika ooh mwanaume suruali mara marioo simtaki! Mkipata wenye hali nzuri kiuchumi mnalalamika kwani majukumu ni kuhudumia nyumba tu? Sasa tuwaeleweje wenzetuπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…? Mume unaye anakulisha na kukuvisha na kukutwanga mguu kati shida ipo wapi?
 
Mwache awe na huyo mchepuko wake, mimi na wewe tutafutane basi.
 
Kuolewa unaona hujathaminiwa?
Khee.. ndo kuthaminishwa hukk? Wengine wanaoa kwaajili umri umesoge, kupata nafasi za ajira hada kuwa promoted, wengine mashoga ili waonekane tu kamili etc. Wengine kukomoana. So hiyo siyo thamani. Jinsi munavyoiishi hiyo ndoa ndo thaman. Unanioa halaf uje kuninyanyada ndo kunithaminisha?
 
Afu what makes you think kila mwanamke asiyehalalisha kuchepuka ni hajaolewa au kuachika? You think all women have such a retarded mind? Some of us don't settle for such nonsense. Ni kwa sababu mfumo dume umewapa haki ya kuchepuka basi mnaona ni sawa tu, na mwanamke yeyote aliye kinyume na nyie basi hafai kwa ndoa pyeeeeeeeeeeee

Hii excuse ya kusema ukiwa na watoto ndiyo utavumilia tu ujinga wowote wa mumeo kwa ajili ya watoto; si kweli. Mtu yeyote ambaye kweli anawaza welfare na future ya watoto wake; will never settle for a serial cheating husband. You are not doing your kids any favor by allowing their father to cheat on you and on them. Tunavumilia tu maana tunajua tukitoka tu tutaambiwa "mwanamke mpumbavu huivunja ndoa yake" blah blah blah. But honestly, kuchepuka kwa baba, in no time kutaleta madhara kwa watoto tu. Imagine mama ambaye amejaa uchungu juu ya mume wake anayechepuka; atatoa nini ndani yake kama sio uchungu tu kwa watoto wake? Labda ifike stage mwanamke aseme nimechoka na huyu bwana; tunatengana humu ndani ila tunalea tu watoto. Au mwingine na yeye anaenda kusuuza nafsi nje, akirudi anakupokea kwa mapambio, basi mnanafikiana kwa amani. Ila sisi wa kujifanya "utaacha wangapi, wanaume wote ni sawa" (shindwa katika jina la Yesu, wangu hafanani na wa mtu); ndiyo sasa tumeshakuwa sugu wa magonjwa ya presha na depression na harara za magonjwa sugu tuliyoletewa na hawa wenzetu. Ten ujanani wanadangwa wee, wanatelekeza hadi familia, ila wakishafulia huko uzeeni apeche alolo na magonjwa juu, ndiyo hao ooh mke wangu nisamehe hehehhee

Mithali 6:26 Maana kwa malaya mtu hutiwa katika hali ya kuhitaji kipande cha mkate;Na kahaba humwinda mtu anase nafsi yake iliyo ya thamani

Mithali 6:32 Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa;Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.

Sasa siwezi nikakaa chini nikakituliza wakati baba watoto anaiangamiza nafsi yake; zaidi ya yote sitokuja kuchekelea huo ujinga wakati watoto wangu watakuja wakose hata vipande vya mkate. Eeh Mungu unisaidie
Ukiolewa na ukawa na watt utamuelewa mtoa mada
 
Wananichekeshaga na definitions zao za mke mwelewa na mkomavu teh teh teh
 
Unatunzwa sasa huko ni kunyanyaswa mrembo! Ishi kwenye ndoa ukijua cha pekeako kaburi tu
 
Nachojua mumeo uliompata kwa tabu huwezi kumletea fyoko! Tena ukimpata wa nyumbani huko hao ndo balaa kwa mitoto ya nje πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!!! Kina Mwaisa na tabia zao ukiwa na makasiriko namna hii mtawezana kweli?
 
Yaan ktk kutatua ujinga wenu ndo mnataka amani ila kwa sisi ndo retaliation[emoji23][emoji23][emoji23]

Maniooo
Eeh sasa kama ilisemwa mwanamke haachwi isipokuwa kwa umalaya tuwafanyaje mkishafanya umalaya?
 
Madamme, nikutumie parcel kwa bodaboda ama basi lipi[emoji23][emoji23]

Yaan vinavyoongeaga humu utafikiri vina hela vyote[emoji706][emoji706] nani asiyejua majority ya families ni wanawake wanahudumia. Na kwa hela gani walizo nazo. Wanashupazaga shingooo. Eti kwakua unahudumiwa ndo iwe ticket ya kucheatiwa. Unyanyaswe umerishika kwakua mume anahudumia. Vijana wamekua mchelemchele kweli. Mngejua tunavyowadharau basi tu. Majukumu hamtaki mnataka maisha mazuri na sent tano hamna. Kazi kudanga tu. Kuhamisha kwa mke kupeleka kwa michepuko. Halaf malipo ni kumuumiza kwa hela zake na mapenz yale kwkao na maradhi juu. So suala la kuhudumia mukae kwa kutulia. Na mnalijua hilo.

Mnataka nani ahudumie familia? Au nyie ndo mumeolewa?
 
Mimi na mume wangu wote tumepatana kwa tabu; kila mtu kapambana kweli kuhakikisha yeye ndiyo anatangazwa pale madhabahuni. So kila mtu anamtreat mwenzie kwa heshima as hataki kumpoteza: tunaijua thamani ya kila mmoja wetu. Hakuna aliyemfanyia favor mwenzie kwa kuwa naye.
Nachojua mumeo uliompata kwa tabu huwezi kumletea fyoko! Tena ukimpata wa nyumbani huko hao ndo balaa kwa mitoto ya nje [emoji23][emoji23][emoji23]!!! Kina Mwaisa na tabia zao ukiwa na makasiriko namna hii mtawezana kweli?
 
Hongera sana mkuu cha uchungu huwa kinathaminiwa! Nawatakia heri na mafanikio katika ndoa yenu muendelee kuheshimiana msije anza mazoea mkakwazana!
 
Ni ujinga kama huu ndo wana kazi ya kutuambia sisi siyo wife materials. Na si kila jambo litokee mpaka uwe kwenye hiyo scenario. Wanapaswa kujua kila mtu ana standards na limits katika maisha yake. Let it be mtu ameolewa ama lah. Hauvumiliki ujinga ili uonekane mwnaanke bora hapana. Mwanamke bora ni pamoja na kujua bora yako. Tuna ndoto zetu kubwa sana za kutimiza. Hatupendi so called ndoa za kuchekupiana ndo ziwe sababu ya kuua ndoa zetu kila siku kwa vilio vya samaki mpaka tushondwe kuwaza na kujenga ndoto zetu. Kama kuwa submissive ndo mke bora basi miye sitaki. Mfumo dume unazidi kuharibu vijana wetu sana.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…