Nimemuonea huruma mume wangu baada ya kukagua simu yake

Status
Not open for further replies.
Unazungumzia greda tu! Nitakodi kifaru kabisa [emoji23][emoji23][emoji23] siwezi kuona malikia wangu analetewa ujinga kabisa wakati baba yake nipo!
Kmmk[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unaona sasa. Kumbe hamtaki mabinti zenu wafanyiwe ila nyie unyambisi wenu ndo mmeona ni sawa tu siyo?[emoji23][emoji23][emoji23] basi ni jino kwa jino
 
Tena hakuna wanaume wachepukaji wazuri kama ambao wamepungukiwa na nguvu za kiume, yaani ile insecurity yake anaimalizia kwa michepuko. Na uzuri wa michepuko as long as anapata anachokitaka; atakusifia huyo kitandani kumbe ukitoka hapo anakucheka wewe hadi na mkeo anayejiita Mrs wako.

Still cheating is an ultimate choice. In all honesty: hata sisi wanawake tunatamani tu, kuolewa hakufanyi tamaa zetu zife instantly. Tunakutana na wale wakaka warefu weusi, akichomekea mkanda unaonekana jamaniii. Kuna wanaume unakutana nao huko wanakusifia "you looking good", kuna wanaokucare, wanakuchekesha n.k. Lakini ndiyo unakumbuka una kiapo mbele za Mungu na mumeo; so unamkemea tu shetani, unarudi zako kwa baba chanja unamkumbatia.

Kuna wanaume ambao ni wazima kiafya, wana hela pia: ila wameamua tu kutulia na kuheshimu wake zao. Whether ni kwa kuwa na hofu ya Mungu au kwa sababu wameamua tu iwe hivyo.
 
Wa kaskazini tunaelewana tu mbona ni jambo dogo 😅😅😅! Wala hata usihofu
 
Unazungumzia greda tu! Nitakodi kifaru kabisa [emoji23][emoji23][emoji23] siwezi kuona malikia wangu analetewa ujinga kabisa wakati baba yake nipo!
Hii reply iwekewe lamination[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji254][emoji254][emoji254][emoji254]
 
Upo sahihi kwa hili umeongea kwa uchungu hadi nimeogopa! Nahisi rungu la Mungu ni moja kwa moja kwenye utosi wa mume akichiti
 
[emoji23][emoji23][emoji23] sasa mbona mnatusimangaga humu na mnajua tunachokisimamia ni kina ukweli ndani yake[emoji23][emoji23]
Tatizo sio wote waaminifu! Katika mademu ambao hawapendi michezo ya cheating na wapo real hawazidi watatu katika hili jukwaa!

Wengi ni opportunists tu 😅😅😅 ukitangulia mashuka ya Mmasai umemaliza kazi yani!!! Hawa ndio wanawaponza binafsi napenda mwanamke faithful na asiye mbinafsi!
 
Yaani umeamua kututukanaaa? [emoji23][emoji23] yaan sisi humu hatufai? Hapana. Tunakufungilia uzi. [emoji23][emoji23] women are faithful hasa ukionyesha nafasi yako na kuisimamia kama mwanaume. Tabia zenu za kijinga ndo hupelekea haya. Binafsi namchukia mno mtu msaliti. Na wewe ukiwa msaliti hainipi nafasi na mm kuwa msaliti. Nitakua mjinga sana kukukomoa wewe angali najiumiza mimi. Si bora nife na upwiru wangu. Halaf hayo mashuka matatu huwa naonaga dharau kinoma yaani. Watu wakue wajitambue ili waje ona faida uzeeni wanakula bata.
 
Kmmk[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unaona sasa. Kumbe hamtaki mabinti zenu wafanyiwe ila nyie unyambisi wenu ndo mmeona ni sawa tu siyo?[emoji23][emoji23][emoji23] basi ni jino kwa jino
Na dingi yangu mkubwa alipokea mahari 4.5m ya sista angu mmoja! Binti alikuwa anaishi Canada mda mrefu tu. Jamaa alieowa ni mtu wa Morogoro na binti nae alikulia Morogoro!

So kuna kipindi walikaa Iringa ikawa binti akija Moro halali ukweni anapita tu kisha anarudi kulala home kwa mzee. Zikaanza kama kelele flani kuwa mbona mwanamke anaenda kulala kwao wakati ni mke wetu kaolewa inakuwaje.

Mzee akawaambia mwanangu akija akataka kulala kwangu atakuja tu na wala hilo halina utata kama kwenu ni shida mahari yenu ipo kwenye draw tu mje kuifata muda wowote 😂😂😂😂😂 hata sijaigusa. Kelele ikaisha!
 
Sijawatukana ila mie nafatiliaga kila mtu kwa umakini sana bila wao kuelewa! Ni intelijensia tu katika mazungumzo huwa nagundua mengi tu kimya kimya!
 
Hili tusi la nguoni kwetu miss pablo unaona sasa!?😎😎😎
 
Unaona sasa[emoji23][emoji23][emoji23] hapa ndo huwa nashindwaga waelewa kbs. Yaan munayajua matatizo yenu ilaaaa sijui kwann munanyanyasa watoto wa wenzenu. Bora huyo mzee wako. Wangu hapokei mahari kbs. Anakuambia siuzi binti zangu. Halaf no bonge la diplomatic kwenye kutatua migogoro. Sema sasa hapendi binti yake asumbuliweee... nikupeendeee nikujali nikuthamini jalaf usione thamani yangu na kanyumba kako ka chini si nirudi nikalale ghorofani mimi[emoji23][emoji23] mnatunyanyasa as if ni yatima. Kiukweli manyanyaso kwangu hapana
 
Hahahah mzee wako hapokei mahari kabisa😅 ndio maana una kiburi eeh!? Sema kuoa kwenu kwa sie watoto wa wakulima inakuwa ngumu maana mzee anaonekana atataka mbwembwe za kibepari zile
 
Khaaa yani unavyoongea ni kama vile hapa duniani hakuna wasiocheat😅😅

Vishawishi kila mtu anakutana navyo sasa kupotezea au kuamua kuvifuata ni uamuzi wa mhusika, hata sisi pia tunakutana na vishawishi kibao sema tu huwa tunaamua kupotezea

Binafsi nimeacha tabia ya kumtreat mwanaume kama object, na maisha ya stress yaliisha kabisa toka nilipofanya maamuzi hayo, iam grateful kwakweli!
 
Nimependa uandishi wako mkuu. We kweli ni mke wa mtu.
Mimi ni mwanaume hata mimi nina kamchepuko ninakokaheshimu na kengine hata kakitaka kaondoke sasahivi wala hakanishughulishi akili.
Sasa haka ninakokaheshimu kanaweza nipelekesha kidogo lakini hakawezi nifanya familia yangu ikateteleka, hilo kanalijua. Kalijaribu sana kuninunia nikimpost wife mwisho wa siku kamenyanyua mikono. Naona hata mmeo yupo makini kwa kuzingatia jibu alilompa huyo mchepuko, kama hutaki kumtaabisha mwache usimuulize.
[emoji120][emoji120]

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Sawa mkuu asante kwa ushauri wako wenye ukweli ndani yake. Ila nitamuuliza tuu ajue najua japo nitauliza kiungwana nategemea na yy anipe jibu la kiungwana na si vinginevyo. Hii ya kuuliza ni muhimu ili hata kama kuna litakalotokea huko mbele tujue tunaanzia wapi.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…