Mwanaume asiyechepuka utakuta ni wachache tu na sababu wanazo maalum, maana haya ni mambo ya kibayolojia, aidha atakua yuko busy mithili ya kufa mtu, kwamba yaani kazi na majukumu yanampa stress hana hizo hisia, wa aina hiyo utakuta hata kwake nyumbani hamtoshelezi mkewe, muda wote anazongwa na majukumu au anawza hela tu.
Wengine kunao, nguvu za kiume zimewapungukia, hata akiona mwanamke hapati hisia zozote, na kunao japo hawachepuki lakini wanateseka mbaya mno, kila siku wanapambana na vishawishi hadi inakua kama jela fulani hivi, wanavumilia na kujikaza sema tu hawajafikia ukingoni maana akifika tu ndio basi lazima aachie mavitu, nilikua kwenye hili kundi la mwisho, nikajikaza balaa na kuepuka kila aina ya vishawishi ila nilifika sehemu nikakamatwa shingoni na kuachia, hapakua na jinsi licha ya kwamba nampenda sana mke wangu.
kwamza kwa mimi hapa, yaani hamna mchepuko au mwanamke yeyote huko nje mtamu zaidi ya mke wangu, maana wote hao huko lazima nitumie kondomu, sasa hapo inapunguza mautamu, na kwamba kwa mke niko huru kwenda naye bila kondomu, kavu kavu na nisiogope, basi siku zote yeye ndiye namba one kwangu.....