Nimemuonea huruma mume wangu baada ya kukagua simu yake

Nimemuonea huruma mume wangu baada ya kukagua simu yake

Status
Not open for further replies.
Ndicho nilichopanga mkuu. Tumetoka mbali na my husbandhuu mchepuko wala sina time nao maana kwanza najiamini kwa kila idara so hata kama ameamua kuchepuka ni vile ubinadamu tuu na nature vimemfosi. Nataka nikazane kumuombea tuu asije pata madhara
Huo mda wa kuomba na kukanyaga mafuta mchepuko anakuemdea Tanga na ndoa inakufa mazima. Chukua hatua mwambia aache ujinga kukaa na kusema utamuombea umekamilika Kila idara ni kujidaganya wanaume hufata sehemu wanakoridhika zaidi kuanzia kila kitu. Be careful na ngoja azae na watoto uletewe pia
 
[emoji3][emoji3][emoji3]ila wanaume huwa mna juhudi ya kutafta matatizo yanayo wanyima amani. I think wanaume huwa hampendi peace
hahaha!
huu uzi ungekuhusu wewe ungefanyaje? maana wewe sio peace kabisa
 
Katika kagua kagua simu nimekutana na msg ya mchepuko anakumbushia ile biashara aliyoambiwa aaangalie kama itafaa afunguliwe biashara tayari mbona kama mume amenyamaza? jibu la mume ni kwamba "Tutaongea mama".

Nilipata ka mshtuko na ka hasira kidogo lakini baadae nikaingiwa na huruma sana nikimuangalia mume wangu.

He is so good kwetu mimi na watoto yani hakuna kitu tuombe asitimize. Ila huruma imenijia kwa sbb ana majukumu mazito mbele yake kwa sasa na huyu mchepuko hajui anawaza hela ya biashara.

Na kuhusu kumwambia nimepanga nimwambie yeye aendelee na mambo yake hela ni zake bwana ila chonde chonde asiniletee magonjwa as kwangu mimi nimetulia na najiamini kwa asilimia 100.

Na kupambana eti na mchepuko sijui kupambana na mume siwezi kisasi ni cha Mungu. Halafu kwa nature ya wanaume walivyo ntagombana na wangapi. Au mnasemaje wadau?

Mie ninamuonea sana huruma maskini unakuta anawaza familia kumbe kuna ka mchepuko kanampa stress tena naogopa kasije kakamroga akatusahau, Nifanyeje?
Ili asikusahau hakikisha unampatia kitu Cha kipee, popote atakapoenda atakutana na vipya vizuri lakini Cha kwako atakimiss tuu.

Sisi wanaume hakuna kitu tunakihitaji Sana kwa wanawake zaidi ya sex, ikizidi Sana Basi watoto. Kama mtu anapata sex asilimia Mia moja huko kuchepuka kutampitia mbali mno.

Najua wanawake wanakutana na dharura ya kuchoka, kukosa hamu, kuwa kwenye siku zake, kuwa mzazi, kusafiri nk.
Hivyo vyote mwanaume anaepewa mapenzi ya uhakika na mke wake yupo tayari kuvumilia na kusubiria mpaka Hali iwe njema.

Pole ndugu Kalpana katika Safari ya maisha ya ndoa mambo Kama hayo yapo, ingestaajibisa Sana Kama usingepita situation hio, lakini kidogo Kuna sehemu ume lose ndio maana likatokea.
Usipani usimunyeshe umejua ila jiongeze na yeye atajistukia atamtema, hakuna kitu kinauma Kama kutoa hela kumpa mwanamke asie mke wako ila huwa hatuna namna .
 
Huo mda wa kuomba na kukanyaga mafuta mchepuko anakuemdea Tanga na ndoa inakufa mazima. Chukua hatua mwambia aache ujinga kukaa na kusema utamuombea umekamilika Kila idara ni kujidaganya wanaume hufata sehemu wanakoridhika zaidi kuanzia kila kitu. Be careful na ngoja azae na watoto uletewe pia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2222][emoji2222] is this lady Mother Theresa, Our Lady of Fatimah or Rita wa Kashia?

Praying for whoom?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mahfwax. Somebody is chewing somebodyz pussy and i gotta pray for that shit? Hahahahahaha oover my blaaackkk assssy... like wtf am i reading?

Heading to bulldoza mwampoo to step annointed oil? Lemme shake my bam bam[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119] Sister Mary Antony angeninasa kibao ingekua miye. Nishinde njaa nafunga kwaajili ya mtu anakojoa kwa raha hukoo[emoji23][emoji23][emoji23] kojoo pwaah la rahaaaaa mimi nimekesha na mawaridi ya sala nimeshinda njaa na nashinda kila semina sijui kwa kina ireene mbowe sijui wapi kumuombea mzinzi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Barikiwa saana sana sanaaa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom