Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesema mama zetu walivumilia zama za ujinga hizo sio sikuhizi unavumilia na ngoma huo mfano wako ni irrelevant mie kabila langu wanawake kuzaa nje mtu ni ruksa tu, Sasa mvumilie wako Tena ni huyo umemjuaMama zetu walivumilia siku hizi changamoto ndogo tayari mnataka tuachane. Labda arudie kosa mara nyingi ntajua. hahahhahahaah
Amini nakuhakikishia wewe ni mwepesi mno, hapa unaandika tu but huna zaidi ya kukubali matokeo. Tafiti zinaonyesha wanawake wenye misimamo Kama yako huwa hawana ujanja wowote kwa mwanaume.Umpige nani chini? Labda niamue kuondoka mwenyewe au wewe uniachie nyumba usepe.
Kalpanamaybe amekuzoea badilika the way uishivyo(kimahusiano zaidi), be corious usiridhike.
Nikue mara ngapi shoga Mimi hata hisia sina Mimi huangalia furaha yangu na starehe basiHahaha dogo kua uyaone
[emoji3][emoji3][emoji3]mumeo ata change technique au atafte mpya Pole shoga anguBiashara haitafunguliwa tena na hivyo nimeshaona
Moto ntauwasha ndugu Bak
Nilishaachika Mimi napenda na waume wenye ndoa ka huyo wako[emoji3][emoji3][emoji3]Uko kwa ndoa best?
Sanamu lako lijengwe juu kwenye daraja la Mfugale haraka sana.
Nitatoa nondo mbili
ushaanza mambo yako ya ajabu 😆😆😆Endelea kupiga goti mama had upate sugu mchepuko unapewa Bata na tigo unatoa loh.
[emoji3][emoji3][emoji3]yapi hayo bestushaanza mambo yako ya ajabu [emoji38][emoji38][emoji38]
Sasa nini faida ya kuwa mchepuko?
Si inabidi afanye extra measurements kusecure nafasi? Hajapiga misamba vizuri. Ajitahidi kubinuka.
Ndicho nilichopanga mkuu. Tumetoka mbali na my husbandhuu mchepuko wala sina time nao maana kwanza najiamini kwa kila idara so hata kama ameamua kuchepuka ni vile ubinadamu tuu na nature vimemfosi. Nataka nikazane kumuombea tuu asije pata madhara
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] i used to pray for these niggaz miaka hiyo nikiamini nina matatizo. The sooner i realised these niggaz aint loyal baasii i mind my own business and stay on my lane. Men do things intentionally.. si kwamba hawako aware hapaana. Its exactly anavyokutreat ndo anavyojisikia juu yako. Men will always be men. Kwanza mtu mwenye muda wa kushinda kwa mwampoo asubuhi mpk usiku hana kazi za kufanya. Mwenye kazi za kufanya huwezi mkuta hapo. Nani anataka ulcers kisa maombi na tatu kavu[emoji23][emoji23][emoji119][emoji3][emoji3][emoji3] wanawake huwa wanateseka Sana waume hawawaridhishi chumbani hata na Mambo mengine wanavumilia kwelikweli eti hamu wa Peke Yao, wao wakiona k za wake zao zimekuwa mabwawa kwa kuzaa wanaenda kutafta tight pussy with chuchu saa sita huku wake wa ndoa wakizunguka kwenye maombi mara buldoza mara nabii suguye kumbe mumewe kafata sweet tight pussy wao wanalia tu nakuomba. Mwishowe ngoma hii hapa na watoto wa nje mume akifa kwa madawa ya michepuko migogoro ya mirathi, Ina maana wake wa ndoa kazi Yao ni kuwaombea waume wapate hela za kuhonga michepuko loh.