Nimemuonea huruma mume wangu baada ya kukagua simu yake

Status
Not open for further replies.
Katika kagua kagua simu nimekutana na msg ya mchepuko anakumbushia ile biashara aliyoambiwa aaangalie kama itafaa afunguliwe biashara tayari mbona kama mume amenyamaza? jibu la mume ni kwamba "Tutaongea mama".

Nilipata ka mshtuko na ka hasira kidogo lakini baadae nikaingiwa na huruma sana nikimuangalia mume wangu.

He is so good kwetu mimi na watoto yani hakuna kitu tuombe asitimize. Ila huruma imenijia kwa sbb ana majukumu mazito mbele yake kwa sasa na huyu mchepuko hajui anawaza hela ya biashara.

Na kuhusu kumwambia nimepanga nimwambie yeye aendelee na mambo yake hela ni zake bwana ila chonde chonde asiniletee magonjwa as kwangu mimi nimetulia na najiamini kwa asilimia 100.

Na kupambana eti na mchepuko sijui kupambana na mume siwezi kisasi ni cha Mungu. Halafu kwa nature ya wanaume walivyo ntagombana na wangapi. Au mnasemaje wadau?

Mie ninamuonea sana huruma maskini unakuta anawaza familia kumbe kuna ka mchepuko kanampa stress tena naogopa kasije kakamroga akatusahau, Nifanyeje?
Samahan mkuu huna ndugu yako huko ambaye hajaolewa?
 
KAma ujamwonea Huruma tafuta kujua kwa nini kaenda nje:
 
He he he he dada unaumwa malaria nn?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umeniudhiii. Napata hasira kwa niaba yako.

Ningemjib text "bado hujajua kumkatia viuno vizuri ongeza bidii na mimi mama nyuki nitatop up"

Unalaaje kizembe hv[emoji23][emoji23]
Miss Pablo....!
 
Aisee ukimwambia Kua umeona na umefahamu kila kitu ila unampenda na unamhitaji bado daah katika uchawi namba moja huu ni wa kwanza, maana Jamaa atakuhandle tofauti na awali kabisa na atahitajidi mara zote kukuaminisha Kua anakupenda na ni muaminifu kwako trust me!
-Au anaweza kuongeza umakini Zaidi Katika kuchepuka
-Au anaweza kuanza kumuogopa Na kumpa talaka mana atahisi anaweza kuchomwa hata kisu usingizini
 
Katika kagua kagua simu nimekutana na msg ya mchepuko anakumbushia ile biashara aliyoambiwa aaangalie kama itafaa afunguliwe biashara tayari mbona kama mume amenyamaza? jibu la mume ni kwamba "Tutaongea mama".

Nilipata ka mshtuko na ka hasira kidogo lakini baadae nikaingiwa na huruma sana nikimuangalia mume wangu.

He is so good kwetu mimi na watoto yani hakuna kitu tuombe asitimize. Ila huruma imenijia kwa sbb ana majukumu mazito mbele yake kwa sasa na huyu mchepuko hajui anawaza hela ya biashara.

Na kuhusu kumwambia nimepanga nimwambie yeye aendelee na mambo yake hela ni zake bwana ila chonde chonde asiniletee magonjwa as kwangu mimi nimetulia na najiamini kwa asilimia 100.

Na kupambana eti na mchepuko sijui kupambana na mume siwezi kisasi ni cha Mungu. Halafu kwa nature ya wanaume walivyo ntagombana na wangapi. Au mnasemaje wadau?

Mie ninamuonea sana huruma maskini unakuta anawaza familia kumbe kuna ka mchepuko kanampa stress tena naogopa kasije kakamroga akatusahau, Nifanyeje?
Wewe unafaa sana. Big up..wanawake wotw wawe kama wewe dunia itakua eneo jema sana.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom