Nimemuonea huruma mume wangu baada ya kukagua simu yake

Status
Not open for further replies.
Wewe huko kwako kwemaaa??? Hayo ni maneno tuu shoga angu ila mwisho wa siku nani mshindi Mungu au mganga?
 
Acha porojo dada utabinuka sana mpk utachana msamba kama ameamua ktk atatoka tuu
Sasa hiyo ni mimi ama ni mchepuko namwambia. Porojo? Huoni kama wewe ndo unalea matatizo? Yaani porojo sas ando zako hizi dada. Pambana. Or else subiria uletewe watoto hapo mama na ahamie huko kbs. Unalea ujinga in the name of mercy?
 
[emoji3][emoji3][emoji3] wanawake huwa wanateseka Sana waume hawawaridhishi chumbani hata na Mambo mengine wanavumilia kwelikweli eti hamu wa Peke Yao, wao wakiona k za wake zao zimekuwa mabwawa kwa kuzaa wanaenda kutafta tight pussy with chuchu saa sita huku wake wa ndoa wakizunguka kwenye maombi mara buldoza mara nabii suguye kumbe mumewe kafata sweet tight pussy wao wanalia tu nakuomba. Mwishowe ngoma hii hapa na watoto wa nje mume akifa kwa madawa ya michepuko migogoro ya mirathi, Ina maana wake wa ndoa kazi Yao ni kuwaombea waume wapate hela za kuhonga michepuko loh.
 
Sasa hiyo ni mimi ama ni mchepuko namwambia. Porojo? Huoni kama wewe ndo unalea matatizo? Yaani porojo sas ando zako hizi dada. Pambana. Or else subiria uletewe watoto hapo mama na ahamie huko kbs. Unalea ujinga in the name of mercy?
Tuko tafauti mpnz ww ndivyo ulivyo mm niko vingine kabisa si solve kwa kutafuta shari zingine nasolve kwa kwa kutafuta amani. Unapambana na huyu una quit uta quit mahusiano mangapi? halafu kumbuka huyu ni mume na sijawahi kuta its just a first time ndo nakuta hii kitu for 8yrs unasema niquit.
 
Huko wala siendi yani nikaombewe ili iweje?.mimi mwenyewe nikipiga goti kitaeleweka
 
Wewe huko kwako kwemaaa??? Hayo ni maneno tuu shoga angu ila mwisho wa siku nani mshindi Mungu au mganga?
Wanawake wengi wamefamikiwa had kuolewa na wengine kuachika loh. Hii mke wa ndoa kuwa na makaratasi huku mchepuko unakula Bata zakufa mtu isije tu kuwa ka case ya Caty mbunge mchepuko kalilia mumewe akiwa marehemu badala ya kuwa hai.
 
Sasa hiyo ni mimi ama ni mchepuko namwambia. Porojo? Huoni kama wewe ndo unalea matatizo? Yaani porojo sas ando zako hizi dada. Pambana. Or else subiria uletewe watoto hapo mama na ahamie huko kbs. Unalea ujinga in the name of mercy?
Mchepuko unafunguliwa had na biashara hapo utatega na mimba huku yeye anasali huku mumewe katafta pumziko loh
 
Wanawake wengi wamefamikiwa had kuolewa na wengine kuachika loh. Hii mke wa ndoa kuwa na makaratasi huku mchepuko unakula Bata zakufa mtu isije tu kuwa ka case ya Caty mbunge mchepuko kalilia mumewe akiwa marehemu badala ya kuwa hai.
Mama zetu walivumilia siku hizi changamoto ndogo tayari mnataka tuachane. Labda arudie kosa mara nyingi ntajua. hahahhahahaah
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…