Yangekuwa makosa mengine madogo sawa ungesema unasubiri afanye tena kosa, ndio um confront , ila ndugu amka mumeo hajafanya tu sex one time useme ni kosa la mara moja MUMEO KAAMUA KUWEKA KAMBI SEHEMU NYINGINE, in other words anapata anachokitafuta muda wowote anoutaka, kwa maana nyingine anakukosea REPEATEDLY, ni makosa kila siku sio kitu cha mara moja POLE huoni picha halisi umeamua mwenyewe kwa utashi wako kuwa blind, nimeona texts za wanaume zimekulewesha, unakazana sana kutujibu wadada
Ndugu hili ni lako, utalewa na sifa za humu ila baada ya kuzima computer/simu etc unabaki na kasheshe lako.. lol