Nimemuonea huruma mume wangu baada ya kukagua simu yake

Nimemuonea huruma mume wangu baada ya kukagua simu yake

Status
Not open for further replies.
Yangekuwa makosa mengine madogo sawa ungesema unasubiri afanye tena kosa, ndio um confront , ila ndugu amka mumeo hajafanya tu sex one time useme ni kosa la mara moja MUMEO KAAMUA KUWEKA KAMBI SEHEMU NYINGINE, in other words anapata anachokitafuta muda wowote anoutaka, kwa maana nyingine anakukosea REPEATEDLY, ni makosa kila siku sio kitu cha mara moja POLE huoni picha halisi umeamua mwenyewe kwa utashi wako kuwa blind, nimeona texts za wanaume zimekulewesha, unakazana sana kutujibu wadada
Ndugu hili ni lako, utalewa na sifa za humu ila baada ya kuzima computer/simu etc unabaki na kasheshe lako.. lol
Asante kwa ushauri nadhani hujui ni nini nimefanya. Wala hawanileweshi na wala sitalewa.
 
Nipe mbinu za kumfanya asichepuke maana naona wewe uko vizuri shougaaa
 
Yangekuwa makosa mengine madogo sawa ungesema unasubiri afanye tena kosa, ndio um confront , ila ndugu amka mumeo hajafanya tu sex one time useme ni kosa la mara moja MUMEO KAAMUA KUWEKA KAMBI SEHEMU NYINGINE, in other words anapata anachokitafuta muda wowote anoutaka, kwa maana nyingine anakukosea REPEATEDLY, ni makosa kila siku sio kitu cha mara moja POLE huoni picha halisi umeamua mwenyewe kwa utashi wako kuwa blind, nimeona texts za wanaume zimekulewesha, unakazana sana kutujibu wadada
Ndugu hili ni lako, utalewa na sifa za humu ila baada ya kuzima computer/simu etc unabaki na kasheshe lako.. lol
Mleta mada ana machungu acha wanaume wamfariji kwa kumpaka mafuta na mgongo wa chupa I'm sure Halali huyu, nimpe pole
 
Yani my dear kwa hilo usijali kabisaaa yani mm huruma yangu ni kwa jinsi anavyoteswa na stress but sio mjinga wa kukaa kimya eti sijauliza nop au si take action yyte kwa mustkabali wa afya zetu.
Kwanza my wangu wewe ni yanga ama simba.?[emoji23] sema nikuambukize furaha sasa hv.

Okey, unakosea. Hakuna huruma kwa mjinga. U dont deserve ant of that shit. Ndo maisha aliyoyachagua. Kama ulikua ma shida alipaswa kukuadress. Kama mahitaji ni mengi kwa familia kwann akaongeze mizigo nje. Amejitakia mwenyewe. Utajikuta hata sometimes unachangia kipato muinuane kumbe jasho lako linahamishiwa kwa malaya huko nje. Sijaolewa ila naheshim sana wanandoa. Na naamini kujiengage na mwanandoa ninakua cheap sana. So huyo dada naamini pia lazima anajua kuna mke. Yaan nisivyopenda ujinga ningempa nafasi tutengane kbs kila mru aendw na life yake. Yaan of all things naogopa maradhi mimi pooh
 
Hapana hili ni kosa la kwanza na nitake action baada ya hapo kama ntaona habadiliki ntachukua action nyingine. Hakuna binadamu aliekamilika kwamba labda ww hujachitiwa au hujui kama anacheat basi useme umefanya kila kitu hiyo hakuna. Sijaona mabaya hapo nyuma, just for this issue let me wait. Asante kwa ushauri
Unakosea. What if huo mchepuko ulikuwepo hata kabla yako. What if alishakua na wengine ila tu hukumdaka? Tabia ni kama ngozi. Hapa ni kumpa limits. Tena uwe mkali na ajue unamaanisha na muende kinkakati sasa. Yaan mm ukanisaliti baasi
 
Mleta mada ana machungu acha wanaume wamfariji kwa kumpaka mafuta na mgongo wa chupa I'm sure Halali huyu, nimpe pole
Asante sana mdogo wangu nakesha sitting room yanii lol. Nisilale ili iweje? au labda ulitaka nijibuje?.ulitaka niseme namuua au nampeleka kwa paroko? Chill and relaax mm nimeshasema hatua ntachukua nazozijua mimi. Na nyingine nazoziona zinafaaa
 
Mimi sioni ubaya kwa wewe kuanzisha huu uzi lakini kama kuna kitu umefanya hata kama hupendi kuelezea A to Z basi briefly gusia tu isije tena miezi michache ukalalama humu mume kakuletea HIV, mtoto wa nje au kakutelekeza.

Asante kwa ushauri nadhani hujui ni nini nimefanya. Wala hawanileweshi na wala sitalewa.
 
Hehehe!! Nguvu za kiume ndo sababu kuu ya kwanini wanaume wengi huamua kutulia ndani badala ya hizo aibu, nakumbuka kipindi fulani nikiwa na mapungufu ya nguvu za kiume, kuna demu alikua ameniganda ofisini, nilikua natumia kila mbinu kumkwepa, aliniona kama jamaa moja mstaarabu asiyependa kuchepuka, ila sikua nataka aishie kunisema kwa wenzake ikitokea nimemkubali halafu nishindwe kutimiza shughuli.
Wanawake hata ka mwanaume hasimamishi as long as unatoa vihela hauachwi ng'o in short huwa mnaenda kuzalilisha wenzi wenu huko nje kah.
 
Kwanza my wangu wewe ni yanga ama simba.?[emoji23] sema nikuambukize furaha sasa hv.

Okey, unakosea. Hakuna huruma kwa mjinga. U dont deserve ant of that shit. Ndo maisha aliyoyachagua. Kama ulikua ma shida alipaswa kukuadress. Kama mahitaji ni mengi kwa familia kwann akaongeze mizigo nje. Amejitakia mwenyewe. Utajikuta hata sometimes unachangia kipato muinuane kumbe jasho lako linahamishiwa kwa malaya huko nje. Sijaolewa ila naheshim sana wanandoa. Na naamini kujiengage na mwanandoa ninakua cheap sana. So huyo dada naamini pia lazima anajua kuna mke. Yaan nisivyopenda ujinga ningempa nafasi tutengane kbs kila mru aendw na life yake. Yaan of all things naogopa maradhi mimi pooh
Mi nimepigwa mi ni Simba. Ila mmeotea. Eee ntakupa mrejesho
 
Mimi sioni ubaya kwa wewe kuanzisha huu uzi lakini kama kuna kitu umefanya hata kama hupendi kuelezea A to Z basi briefly gusia tu isije tena miezi michache ukalalama mume kakuletea HIV, mtoto wa nje au kakutelekeza.
Kitu gani tena Bak? au sijakuelewa?
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Mi nimepigwa mi ni Simba. Ila mmeotea. Eee ntakupa mrejesho
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tumewaotea wapi nyie nyau?
Na msitutishie eti tutaonana kigoma. Labda mzee mpili na watu wake wawe wamekufaaa.
 
Katika kagua kagua simu nimekutana na msg ya mchepuko anakumbushia ile biashara aliyoambiwa aaangalie kama itafaa afunguliwe biashara tayari mbona kama mume amenyamaza? jibu la mume ni kwamba "Tutaongea mama".

Nilipata ka mshtuko na ka hasira kidogo lakini baadae nikaingiwa na huruma sana nikimuangalia mume wangu.

He is so good kwetu mimi na watoto yani hakuna kitu tuombe asitimize. Ila huruma imenijia kwa sbb ana majukumu mazito mbele yake kwa sasa na huyu mchepuko hajui anawaza hela ya biashara.

Na kuhusu kumwambia nimepanga nimwambie yeye aendelee na mambo yake hela ni zake bwana ila chonde chonde asiniletee magonjwa as kwangu mimi nimetulia na najiamini kwa asilimia 100.

Na kupambana eti na mchepuko sijui kupambana na mume siwezi kisasi ni cha Mungu. Halafu kwa nature ya wanaume walivyo ntagombana na wangapi. Au mnasemaje wadau?

Mie ninamuonea sana huruma maskini unakuta anawaza familia kumbe kuna ka mchepuko kanampa stress tena naogopa kasije kakamroga akatusahau, Nifanyeje?
Kwani Kati ya mumeo na mchepuko Nani alimtafuta mwenzio kuanzisha mahusiano? Huruma Sana ikiwa stress amejitafutia mwenyewe....
Asirogwe tu kwakweli!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haya.
 
For sure niliwahi fanya kwa boyfriend wangu.
Mimi niliandika hivi . Babe nimekwama namanga namizigo naomba unitumie hela laki mbili kwa hii namba yangu imeisha charge nikaweka silent yule dada alipiga nikakata nikamwambia haina charge nanikikosekana nilipo itakuwa msala.
Kidogo akatuma laki tatu na nusu kwangu wewe .
Nilifurahi nikamtext asante babe you are the best akajibu usijali TUKO PAMOJA kitu kama hii .
Baadae kabisa kama wiki mbili 2 weeks akaja kukinukisha yule kaka hapendagi maneno.
Akaandika hivi dear kaka toto kazuri mbona umenifanyia hili jambooo?
Siungesema mimi ningekupa walahi hatoi angetoa njaa zisingekuwepo.
Akadai tuachane.
Nikadai powa .
Yule dada waleo hakupewa hela alipewa penzi tu.
Ila mimi nikaenda na hela .
unaona sasa [emoji2]
 
Jamani nimemuuliza hapa muda sio mrf na kwa sbb niliscreen short msg so nikampa ushahidi. Ameshtuka kwanza na akasema why unasachi simu yangu mie nikamwambia kuhusu kusachiwa simu hilo halina mjadala mie si mkewe?
so nisishike simu kwa sbb gani? So nikataka kujua what happened huyo dada wana issue gani nae. Akasema ni kweli wana mazoea but not love affair maybe na km ingetokea ingekua sio kwa akili yake anasema huyo bi dada aliomba apewe hela ya biashara kwa malipo badae sasa naamuuliza malipo ya papuchi? kasema hapana. Na anasema alipoomba hela ya mtaji alimjibu kuwa ntakupa but akawa anapotezea. So ndo jana anamkumbushia,nilichomwambia bado sijaridhika na maelezo yake ni bora akawa muwazi zaidi kasema hivyo ndivyo ilivyokua. Amenihakikishia hata kama alitaka kumla amehairisha. Nimemwambia maradhi mengi asije niua aisee
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom