Nimemuonesha mke wangu wanawake wanaojiuza ili ajue thamani yake

KWA HIYO NDIO KUSEMA UKAPAKI GARI MWENYEWE?Herufi kubwa ni msisitizo wa GARI tu wala hakuna ubaya
 
Ningekuwa Mimi ningekwambia niache ukaoe hao wajinga, na ningekupa kichambo kuwa hunitishi nakutana na wanaume pia tofauti tofauti, marriage sio favor aisee

Tena ungempeleka uwanja wa mpira kabisa ukamwambia unawaona wote hao [emoji23][emoji23]
 
Kwakwel, kiaina kavile amemtishia, ukizingatia hawajawah kua na ugomvi mkubwa wowote..
Binafsi ningepotezea pale ila moyoni ningekua najiuliza uyu kwani imekuaje mpaka kukumbushwa?
Feels almost like a favor kumuoa akati kampenda mwenyewe..
Kweli ndoa ni favour tu tunawafanyia ndio maana mnaitaka sana kuliko sisi
 
Mbona haiendani na matendo ya mtu aliyefuturu
 
Kiukweli mimi hata nisingependa unitishe hivo , ni kama unamaanisha katika malaya wote ukaamua kumchagua yeye🤔 kama anakupenda anakupenda tu bila hata vitisho bana.

Vipi how would you feel siku naye akikupeleka sehemu uone anavong'ang'aniwa na wanaume wenzako wengine?
 
Ajielewi eti atakuja juta kwa hili alilolifanya kumuonesha mke makahaba
 
How daft.

Ulikosa wanawake wenye hadhi zao na status za maana ukaenda kumringishia kwa wanawake wanaojiuza Ili kujisustain?

It's clear you did not deserve your wife. She is too good for you.
 
Kiukweli nimeshangaa sana, na huyo mkewe hajiulizi mbona vichochoro vya wanaojiuza mumewe anavijua na bei zao? mweeeeehhhhhh
Amtoe mke wake dinner, wamefurahi pamoja halafu ampitishe mitaa ya hivyo?

I hope mke wake ampige bonge la tukio ***** mpaka akili zimkae Sawa.
 
Yaani sijui hata alifikiria nini ila mimi tusingeelewana kabisa,ningefikiri kama ameweza kwenda na mimi ,naamini hata akiwa peke yake huwa anaenda na anafanya kweli aisee🤔
Mimi aisee ningeona amenidhalilisha. Being a good woman, beautiful in all aspects and self respectful it's not fair at all.
 
Mimi aisee ningeona amenidhalilisha. Being a good woman, beautiful in all aspects and self respectful it's not fair at all.
Indeed isn't good ,eti akaishia kukumbatiwa aah mimi ningemnunia hadi aombe msamaha. Na hii stori sidhani kama ni ya ukweli, kiuhalisia naona mtu hawezi kufanya hivo sijui labda🤷‍♂️
 
Indeed isn't good ,eti akaishia kukumbatiwa aah mimi ningemnunia hadi aombe msamaha. Na hii stori sidhani kama ni ya ukweli, kiuhalisia naona mtu hawezi kufanya hivo sijui labda🤷‍♂️
Wapo wanaume wasiojielewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…