Nimemuonesha mke wangu wanawake wanaojiuza ili ajue thamani yake

Mkuu we we ni muongo hakuna ndoa muishi miaka mitano chini ya jua eti hamjawahi kukwaruzana huo ni uongo...tena mtakatifu uliza hii kitu kwa wanandoa humu ndani....lazima kuna vimigogoro vya hapa na pale kuichangamsha ndoa kama hakuna kabisa basi mna matatizo.
 
usizani kila mtu anaishi kwenye maisha kama yako bro kama wew kila siku unagombana na mwenzio sio sisi
 
Mleta uzi Kama namuona alivyobunda mdomoni futari ya magimbi,sio kwa majibu haya yawanajamvi.Vumilia mkuu .
 
 
Bila ela hayo ni ubatili utupu
Afu why utake kumrusha roho mtu?
Nakuhakikishia huyo mkeo kakuhifadhi rohoni siku isiyo na jina utajua hujui
 
Mkeo atakuwa darasa la nne la Kikwete. Unampa shule kwa vitendo vilivyojaa dharau ya kutosha ndani yake na bado anachekelea. Ni kana kwamba ndoa lilikuwa hitaji lake—kakulazimisha kumuoa.
Ujinga ndo unafanya wanaume wengi wakimbilie kuoa wenye elimu na maarifa kidogo, iwe rahisi kuwapanda kichwani.
Wanawake nao mtaendelea kudhalilishwa ikiwa mtaendelea kuwa magolikipa na ujinga mwingi ndani yenu.
Good thing ni kuwa ukiwa mjinga ukidhalilisha na kudhalilishwa utaona kawaida tu. Ndo maana mleta mada bado kapata nafasi ya kuleta ujumbe wa kumsimanga mkewe bila yeye kujua hilo.
 
Umeangalia muvi ukaitungia uzi[emoji3][emoji3]
Vijana mna taabu.
 
Kweli mkuu .
Wakishaingia kwenye ndoa wengi wwanajisahahu nakuona kuwa wao ndo wame win na wengine wame loss.
Ukweli ni kwamba wengi wana hitaji kutambua kuwa tumewachagua wao na sio wengine kwani tuliona kuwa wao ndo muhimu na watakaoweza kujenga familia nao na sio hao wengine
WELL SAID
 
Siku naye akupitishe club akuambie unawaona hao wahuni nikitaka tu anawapa... lakini anawanyima anakupa wewe tu mumewake... hii itaitwa ngoma Droo
 
Wakolosai 3:17

"Nanyi wanaume wapendeni wake zenu Ila msiwe na uchungu nao"
 
Kupendwa wanapendwa wengi ila wanaishia kugegedwa tu bila ndoa! Hivyo ukimuona mtu kajitwisha zigo usimletee ya kuleta! Muheshimu I see, ohoooh[emoji12]!
Angefanya hivyo kama mke alizingua.. sasa kakiri mwenyewe hajamkosea wala hawakua na ugomvi mkubwa, kaamua tuu kumuharibia siku kumpeleka kwa malaya na kumwambia hzo shombo..
Acheni hizo men wenye hii mentality.. mnajionaga wa maana sana kuliko wake zenu ndomana hata ndoa automatically zinakua ngumu.
Why?? Eti ukimuona kajitwishwa zigo usimletee ya kuleta. This is so wrong on so many levels.

Sent from my Redmi 5 using JamiiForums mobile app
 
Kweli ndoa ni favour tu tunawafanyia ndio maana mnaitaka sana kuliko sisi
Usioe kama unaona unafanya favor.
Sio kila mtu kaandikiwa ndoa. Watu kama nyie ndo mnafanya wengine waone ndoa ni kaa la moto, kumbe mliingia for wrong reasons..


Sent from my Redmi 5 using JamiiForums mobile app
 
 

Attachments

  • VID-20210421-WA0119.mp4
    9.4 MB
Pole sonnita inaonekana imekugusa kumoyo hii😜! Usijali, huyo aliyefanya hivyo ni utoto tu, akikua ataacha😜! Wavulana bana wanatuaibisha sana wanaume🤔!
 
Heheyehehe.
No son of woman will do me such a stupid thing namwacha salama.
Wewe na mkeo wote zamwamwa.
 
Yaniiiiii upuuzi sana.
Heeey mo sijui kile kitu ningefanya aiseeeh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…