Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Ni ruksa baada ya iftar?Alipita baada ya Iftar
Aisee nimecheka! Imagine mmeo anakwambia ningeweza kuwa na malaya kila siku Ila nikaamua kukuoa wewe (na anategemea umshukuru Kwa hilo) . Khaaaa! Yaani ntamuona mwanamme fala Kweli na nimekosea kuolewa nae. Nonsense!Mke wako ana thamani ya k tu kwako??
Exactly.. he made t seem like a favor kumuoa. Sio kwamba wote wanahitajiana.
Wanaume sometimes muwe mnafikiria the other side of a shilling kabla ya kufanya vimbwanga ka ivo.
M sure somehow ame-damage feelings za mkewe.
Pale ambapo security yako kwenye ndoa Ni k tu lazima haya yatokee.hana kingine cha kuoffer kwenye huyo mke zaidi ya nyapu tu ndo maana akaona anaishi kwa huruma ya bwana wake.Aisee nimecheka! Imagine mmeo anakwambia ningeweza kuwa na malaya kila siku Ila nikaamua kukuoa wewe (na anategemea umshukuru Kwa hilo) . Khaaaa! Yaani ntamuona mwanamme fala Kweli na nimekosea kuolewa nae. Nonsense!
Acha tuu, imenigusa kweli kavile me ndo mkewe.Pole sonnita inaonekana imekugusa kumoyo hii[emoji12]! Usijali, huyo aliyefanya hivyo ni utoto tu, akikua ataacha[emoji12]! Wavulana bana wanatuaibisha sana wanaume[emoji848]!
Vivulana ndo huwa vinafanya hivyo. Real men hawana muda huo ni matendo tu pale wanapozinguliwaExactly.. he made t seem like a favor kumuoa. Sio kwamba wote wanahitajiana.
Wanaume sometimes muwe mnafikiria the other side of a shilling kabla ya kufanya vimbwanga ka ivo.
M sure somehow ame-damage feelings za mkewe.
Umeongea point na nimekuelewa siwezi fanya hivyo nilichoongea na nilivyo vitu viwili tofauti japo huu ndio ukweli mnazitaka sana ndoa kuliko sisi kwetu ndoa si big dealUsioe kama unaona unafanya favor.
Sio kila mtu kaandikiwa ndoa. Watu kama nyie ndo mnafanya wengine waone ndoa ni kaa la moto, kumbe mliingia for wrong reasons..
Sent from my Redmi 5 using JamiiForums mobile app
Alishafuturu,ungekua mchana ni noma na nusuKupita "mbugani" haijaharibu mfungo?
Baada ya futari ni ruksa kucheki mbochi?Alishafuturu,ungekua mchana ni noma na nusu