Ed Kawiche
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 2,987
- 5,566
pole sanaSasa nimeanza kuami JF inapoteza credibility ...Kisa nilichokiwasilisha ni cha kweli na nahitaji msaada ajabu ...nimepitia michango yote na asilimia 95 watu wanechangua utani,masihara kejeli nk!
Inashangaza kidogo kwa Forum kama hii!
Tafsiri ya ndoto ni topic ngumu ngumu sana-Nakuelezea kama mtu mwenye experience kidogo wa mambo haya.Unapaswa kufahamu yafuatayo unapo-deal na ndoto,Ni tukio la kushangaza kidogo.
Majuzi nikiwa usingizini nilimuona jirani yangu akiwa chumbani kwangu ananiangalia akitabasamu! Nilipoamka alitoweka!
Ni binti mmoja ameshika Dini yake kwa mwonekano wa kibinadamu. Nimejaribu kulipuuza tukio hili nichukulie kuwa ilikuwa ni ndoto tu, lakini moyo unakataa kwa sababu nilipoamka nilikuta naweweseka sana.
Naamini hapa nitapata maelezo ya kina ya tukio hili na pengine ushauri muafaka!
Kinachoniuma zaidi siku hiyo sikuvaa chochote na kulikuwa na joto kali kwa hiyo hata shuka sikulihitaji!
Na inawezekana hata huyo aliyemwona siye mwenyewe-Ndoto inaweza kukukorofisha hata na wazazi mtu usipokuwa makin.Unaweza kukuta kila mara wife akipata mimba inatoka,alafu ndoto inakujia mama mzazi anakulogea wajukuu alafu unachukua maamuzi ya haraka ya kuua mzazi kumbe abortion inasababishwa na kitu kingine tofauti kabisa-Ni hatari sana 🤣 🤣 🤣 .Ndoto nyingine huletwa na mwovu kufitinisha watuMchunguze kwa makini, huenda ni mwanga.
Umenena vema mkuuKama unaishi na mtu nyumbani kwako awe mwanao,Ndugu,mke,mine au mtu yeyote akikuambia jambo kama aliloandika hapa mtoa mada,usimpuuze,fanya utafiti.
Katika utafiti utagundua mengi,na hata kama sio kweli utagundua kua huyo aliokuambia habari Hiyo Ana matatizo makubwa na anahitaji kusaidiwa.
Pengine anaumwa,ameanza kuchanganyikiwa au vinginevyo.
Unaweza kugundua kuwa anafuatwa na wachawi,au wachawi wanaisumbua familia yako na Yeye kapewa nguvu na Mungu ya kuwaona.
Zaidi ya hapo unaweza kugundua Mambo mengine yasiyo ya kawaida.
Watu makini huwa hawadharau kitu.
Na Hiyo ndio akili.
Mkuu tiririka walikua wanaonekaneje ujue mimi hua siamini sana hii makitu ulikua unaona nini?Salute mkuu mi niliwahi kuchanjia dawa ya kuwaona wachawi mbona inatisha sana,walikuwa wakija chumbani usiku uchi
Ni kama vile kuna majibu unayo tayari kichwani ambayo unatamani kuyapata kutoka kwa wadau, we hiyo ndoto unawaza nini kwani? Kwamba ni mchawi?kwamba amekukula? Au?Sasa nimeanza kuami JF inapoteza credibility ...Kisa nilichokiwasilisha ni cha kweli na nahitaji msaada ajabu ...nimepitia michango yote na asilimia 95 watu wanechangua utani,masihara kejeli nk!
Inashangaza kidogo kwa Forum kama hii!
ni nini cha kufanya baada ya kugundua?Kama unaishi na mtu nyumbani kwako awe mwanao,Ndugu,mke,mine au mtu yeyote akikuambia jambo kama aliloandika hapa mtoa mada,usimpuuze,fanya utafiti.
Katika utafiti utagundua mengi,na hata kama sio kweli utagundua kua huyo aliokuambia habari Hiyo Ana matatizo makubwa na anahitaji kusaidiwa.
Pengine anaumwa,ameanza kuchanganyikiwa au vinginevyo.
Unaweza kugundua kuwa anafuatwa na wachawi,au wachawi wanaisumbua familia yako na Yeye kapewa nguvu na Mungu ya kuwaona.
Zaidi ya hapo unaweza kugundua Mambo mengine yasiyo ya kawaida.
Watu makini huwa hawadharau kitu.
Na Hiyo ndio akili.